Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,448
- 32,877
Why is Carvalho on the list... The boy just lack EPL physique of which am sure club dietitian Mona Nemmer is working with the boy to raise his body standards for EPL pressure. Boy should be sent to Blackburn together with Ben Doak for a full season loan next season.Liverpool ni moja ya vilabu vinaisubiri summer hasa zaidi mashabiki na wanachama wake.
Tetesi ni nyingi na zitakuwepo tu. Ila deal litakaloshangaza ni Madrid kukubali kumuuza tchoumeni kwa LFC, ikiwa ndio msimu wake wa kwanza pale Santiago. Ikumbukwe LFC walikua favorite kuseal deal kabla ya kuwa hijacked na bwana Perez.
Jude (huenda kweli Klopp amelower interest kwa Jude au ni kujaribu kupunguza bei au itategemeana na season imeishaje).
Nunes (huyu alikua heavely linked na lfc kutoka Benfica baadae Klopp akajitoa baada ya kuona wolves wanamtaka (indirect loan [emoji28])). Sasa Klopp amerudi kumuwania tena Nunes (Nunes to Nunez Gooooooooal.!)
Barella tetesi zinaonesha Klopp anamhitaji Barella LFC kufanya nae kazi.
Najua Klopp na ward wana list yao on the table watakaoachwa na wanaofukuziwa.
Kwa vyovyote itakavyokua Mbinu za Klopp bado zitawatesa wengi ikiwa tu atapata fresh legs. Bado Klopp ana mvuto haijalishi atamaliza wapi msimu ila atasajili wachezaji wazuri tu.
Kuna wachezaji wapo njia panda hawajui hatima zao zitakuaje na Klopp amewaacha njia panda makusudi ili wampiganie amalize msimu atleast top six kwa mechi zilizosalia.
Ila ni wazi
Ox
Keita
Adrian
Milner
Hawa ni bye bye…!!!
Kuna
Matip
Jones
Kelleher
Carvalho
Ama (Mkopo au kuuzwa)
Bobby tayari.
Bado mimi ni miongoni mwa ninaomuamini sana Klopp na ataturejesha kwenye ramani ya mpira licha ya misimamo yake inayokera. Kidoooogo ameanza kukubaliana na hali TAA is no more a defender. Ameanza kupunguza loyalty kwa watoto wake pendwa akifanikiwa kuacha baaaaasi watu wataumia.
Msimu mbaya sana huu, bora ule wa 2020/2021 japo nao haukuleta matumaini mpka dakika za mwisho.
YNWA.
Kelleher is direct sale no loan. Allison is there until 2027 if he honour his current contract and maintain the standards.
YNWA