Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20230402_165418.jpg

🤣 🤣 🤣 🤣 We are back but to no where....

YNWA
 
Screenshot_20230402_165338.jpg

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 We are no longer feared, teams are really looking to play us and earn the maximum points. Zamani kidogo we were feared even ugenini but fear us no more infact it's the other way.

YNWA
 
Maisha haya 🤣🤣🤣🤣🤣
Maisha yanabadilika jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unajua ingekua usajili ndio ushindi mpaka sasa Chelsea wangeshatangaza ubingwa wa EPL msimu huu na uhakika wa kucheza fainali UCL angekua nao.

Lakini sasaaaaaaaa hao kumaliza 10 bora kushuka chini na hii kwa kweli ni fundisho kubwa kwao kuwatema pale Marina, Peter na Tuchel ilikua disaster kwa wamiliki wapya.

YNWA
 
Nitaangalia marudio kesho kwenye channel ya liver.
Siwezi poteza bando langu kuitazama mikubwa jinga inabwabwaja uwanjani Bure hadi tunafungwa mabao manne.

Mimi nasimama na Kalleher.
Msimu ujao Kelleher hayupo kuna uwezekano mkubwa sana akauzwa June 2023 kupata zaidi za usajili na hio ikitokea nitamtakia mema aedako kwa kua sasa amekua kabisa hili la kuchaguo la pili sio mahala pake tena ana deserve kuanza gemu na kwa Liverpool akiwemo fully fit Alisson haliwezekani kabisa...

Hopefully atabakia EPL ili Miss Liverpool uedelee kumuona akifanya yake.

Bora aondoke Allison.
Huyu mtoto ni mdogo Bado.
Alison mzee tayari.
 
Unajua ingekua usajili ndio ushindi mpaka sasa Chelsea wangeshatangaza ubingwa wa EPL msimu huu na uhakika wa kucheza fainali UCL angekua nao.

Lakini sasaaaaaaaa hao kumaliza 10 bora kushuka chini na hii kwa kweli ni fundisho kubwa kwao kuwatema pale Marina, Peter na Tuchel ilikua disaster kwa wamiliki wapya.

YNWA
Tuchel anawaangalia anasema hiii
 
Kwa mambo yalivyo taiti msimu huu,kile kikombe kina maana kubwa sana kwetu.

Unakumbuka mwaka jana kutoka kuwa na matarajio ya quadraple hadi kuishia kupata hiki kikombe na FA kisha mkakitembeza mitaa yote ya jiji lenu.

Imagine being Liverpool.
Tuliingia fainali zote 4
No mafanikio pia
 
Dah
Yaani mechi tumepigwa nne, anatolewa Gakpo anaingizwa Milner[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom