sultanrama16
Senior Member
- Jan 29, 2019
- 100
- 135
Potter sacked chelsea.
Hatukubali kabisaJamani hatimaye Mungu katukumbuka Washabiki wa Chelsea FC [emoji16]View attachment 2574436
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂@allypipi kajipiga ban baada ya kichapo cha Newcastle.
Toka hata kabla hajafikaAllyPipi, Bachelor II, Verifaidiyuza, Malcolm XII poleni sana kwa unafki wenu.
Karibuni tena darajani [emoji3]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Yaani Hawa wanisubiri kesho natinga kwenye Uzi wao.😂😂😂😂😂@allypipi kajipiga ban baada ya kichapo cha Newcastle.
YNWA
😂😂😂😂😂😔Newcastle wameonyesha Big 4 wanaihitaji kweli kweli hawataniii.Yaani Hawa wanisubiri kesho natinga kwenye Uzi wao.
Ngoja nimalize kazi hapa.
Hatari sana, kati ya wote ni wawili tu ndo naona walistahili kufukuzwa mapema sana...Andre Villas Boas na G. Potter. Wengine walikuwa ni ajali kazini.View attachment 2574525
Duuh hii klabu hua hawana jambo la uvumilivu kwao ni aidha matokeo ya ushindi ama kibarua kimeisha.
YNWA
Kabisa Andre na Peter ni middle team gaffers sio demanding team kama Les Blue.Hatari sana, kati ya wote ni wawili tu ndo naona walistahili kufukuzwa mapema sana...Andre Villas Boas na G. Potter. Wengine walikuwa ni ajali kazini.
Unajiuliza Potter timu iliongoza dk 60 anafanya sub ya Either Denis Zakaria, Gallagher, Ekwechuku sijui, au Loftus...Sasa huyu kocha anataka kupata kitu gani? Wachezaji wanajigonga gonna tu.Kabisa Andre na Peter ni middle team gaffers sio demanding team kama Les Blue.
YNWA
Siyo kwa mtaalamu huyo Profesa wa Mpira Potter🤣🤣🤣🤣View attachment 2574525
Duuh hii klabu hua hawana jambo la uvumilivu kwao ni aidha matokeo ya ushindi ama kibarua kimeisha.
YNWA
All the best Arse8.