Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wachezaji hawana kiu ya kushindania second balls yaani hii tatizo tangu October mpaka leo lipo pale pale...

Timu pinzani sasa wanatuchezea ule mpira wetu wa kuhakikisha we win the second ball, close the channels nk yale yote yaliyotufanya tuwe dominant miaka yote sasa tumeyaacha na kucheza wanavyojua wao.. Klopp nae hasaidii sana tunakua open vile na bado anategemea Trent na Robertson wapande juu kupeleka mashambulizi aafu hata kabla hayo mashambulizi hayajaanza tunakoponywa mpira mpaka hapo VVD na Konate wanakua exposed kwa kua Henderson na Fabinho hii combination imegoma kabisa kwa sasa..

Angalau uhakika wa hio Big 4 haupo na hii ni blessings in disguise kwa Klopp kwa kua FSG wataumia haswa kipesa na itawapa somo kwamba mpira ni uwekezaji edelevu sio one stop buy aafu wanasubiri maajabu ya Klopp..

Ingekua safi sana hata huko Europe League tusiwepo kuwatia adabu hawa ma Yankees.


YNWA
Naona Wachezaji Hawataki KU Work Tena Under klopp

Hii ishu ni kama Ile ya kocha wa Leicester

Hawataki hawajitumi, wala hawakabi kabisa in short wachezaji wanataka klopp aondoke

Hawana Imani na klopp Tena maskini

I see naegelsman coming aisee trust me
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ushanyayua mikono kumbe... Tazama highlight uone.

Allison ni pound for pound gk they come rarely na bila yeye kutuweka mchezoni msimu huu kuna uwezekano tungekua nafasi ya 15 huko...

Msimu huu kama Alison hatapata mchezaji bora wa msimu huu Liverpool basi kuna hujuma, dogo anajitahidi sana lakini wale wenye jukumu la kumpa ulinzi wamepoteana wamebaki kurushiana maneno kushoto kulia...

Sisemi kama Kelleher hawezi anayofanya Allison pengine anaweza kwa hata bora lakini hatuna muda wa trial n error pale golini wakati ndani defence pameoza.. binafsi naona big chance saver nitasimama na Allison any day of the week.

YNWA
We lack intensity and solidarity
 
Gundogan yuko free msimu huu
Ila kocha anawaamini kina milner na Ox.


Hii timu tuna safari ndefu.
Maajabu ya dunia eti nae Klopp analalamika haelewi nini kimetokea kwa sababu game plan imetupwa hukoo 🚮 na wachezaji wakaamua kucheza wanavyojua wao... Ikitokea wakati wowote ule timu kama Manchester City imetuzidi running, sprinting, second ball recovery, accuracy ya passing, sleeping on the job kama goli la Gudgon basi ujue ni collective responsibility sio kunyosheana vidole.. Nimeona akisema Gakpo, Fabinho, Henderson, Konate, Jota na VVD wamehitahidi sasa unajiuliza Klopp ameangilia mpira upi.

Milner mkataba upo juu ya meza Klopp kashatoa baraka zake...

YNWA
 
We lack intensity and solidarity
Klopp has been speaking haya mauzauza kwamba we will learn from this defeat we come back stronger next game sasa unajiuliza has Klopp lost the dressing room labda hawa wachezaji wamechoka kuwabeba akina Milner na Henderson 😂😂wameacha mambo yajiedee kama yalivyo kwa sasa maana Dokta hii mechi ya 9 EPL tunapoteza msimu huu na Klopp atasema we learn from this defeat and respond next game yaaani msimu mzima we are learning wakati pointi za Big 4 zinatupiga chenga lol... Klopp need his glasses back aone mambo clear n direct maana tumechoka timu haina passion, hakuna cohesion...

Unajua football is about transition that th whole concept sasa ipo divided in 3 main dynamics defending, joinery na attacking ambapo kwa sasa unaona hakuna popote penye utulivu kwa kua hio joinery ni center of the park panapitwa kama hawapo na wakishapitwa mara nyingi tumeona defence hawawezi kuzuia mashambulizi kumbuka magoli ya Brentford walivyotu harass tukaharibu haoo wakatufunga chap na leo ni hivyo hivyo tuna MF kibogoyo mara ngapi umewaona Jota na Gakpo wakija nyuma kabisa kusaka mipira kwa kua haiwafikii mbele... We are really poor aidha boys are playing just for payday au kuna behind the scenes zinaedelea klabuni maana there is no way same mistakes zinarudiwa na senior players game after game yaaani hawaleweki.

YNWA
 
Naona Wachezaji Hawataki KU Work Tena Under klopp

Hii ishu ni kama Ile ya kocha wa Leicester

Hawataki hawajitumi, wala hawakabi kabisa in short wachezaji wanataka klopp aondoke

Hawana Imani na klopp Tena maskini

I see naegelsman coming aisee trust me
Kwa mara ya kwanza Dokta nakumbaliana na hili yaaani there is no way wachezaji wanarudia makosa yale yale kila tukifungwo.. Its like they are programed to be pathetic loosers same result same script same mistakes same response same culprit game after game no new issue, Brighton, Brentford, Manchester City nk utaona hizo game the players went AWOL hivi hivi Klopp akaja ba na maneno mengi mengi lakini mpaka sasa ameishiwa kwa sababu hatupi jipya...

Tujiadae kushiriki Conference League if we are lucky msimu ujao. Sasa FSG wataelewa kwa nini kila dirisha wangekua wanawekeza na sio kutarajia maajabu ya Klopp kuwavusha. Hapa wanapata hasara kubwa sanaaaa kuanzia msimamo wa EPL, kukosa UCL, wadhamini na nk. Yaaani FSG watatoa macho hawataamini wanachapwa na kitu kizito sana kichwani kujikuta nafasi ya 7 au 8.

Unavuna unachopanda hakuna bahati mbaya hapa.

YNWA
 
Naona Wachezaji Hawataki KU Work Tena Under klopp

Hii ishu ni kama Ile ya kocha wa Leicester

Hawataki hawajitumi, wala hawakabi kabisa in short wachezaji wanataka klopp aondoke

Hawana Imani na klopp Tena maskini

I see naegelsman coming aisee trust me
Yaani niko pamoja naww, maana nakumbuka kipindi tunacheza na Man U ule mpira tulio cheza siuoni kabisa saivi. Na pale walionesha kabisa wanaweza ila saivi morale iko chini sijui kwann tu.
 
Naona Wachezaji Hawataki KU Work Tena Under klopp

Hii ishu ni kama Ile ya kocha wa Leicester

Hawataki hawajitumi, wala hawakabi kabisa in short wachezaji wanataka klopp aondoke

Hawana Imani na klopp Tena maskini

I see naegelsman coming aisee trust me

Kama tunawaza katika kichwa kimoja mkuu na mie niliwaza hivyo hivyo sema weee umeechambua vizuri
 
Sisi Liverpool wabovu
Lakini Chelsea wabovu zaidi
Chelsea hawana finishing kabisa ,ila Liverpool mmezidi aisee yaan Midfielders zenu zikipitwa tu backline inakuwa matatani

Hamuwezi Tena kukaa na mpira hata dakika 1 ,

Leo mnaongoza 1-0 ila unaona 7 zinakuja ,maana kila mkishamuliwa mnajichanganya tu

Mnatamani kufanya Gegen pressing ,Anord asogee juu Kama alivyozoea , ndio mnajikuta mnaharibu kabisa

Roho i radhi lakini mwili ni Dhaifu

Hamtaki kukubaliana na Hali halisi kwasasa mcheze tu Kama middle teams ,mnataka ku press, kupishana

Mfano leo mlipoongoza Moja mngecheza low block ,but mkataka muendelee kupishana na city
 
Klopp kapewa raha misimu mitatu na wachezaji wale wale, kajisahau.. akajua umri hauendi na project haziishi wakati project ya hawa jamaa walokuwepo ilishaisha tangu msimu ulioisha.

Kuna muda unawaona wachezaji wa4 wa Liverpool wanamfata Mahrez na kumzunguka lakini hawapati kitu, Mahrez anaitoka pressing kilaini na ku create chance.

Kuna kazi ya kufumua kikosi kizima. Anaestahili sifa kwenye kikosi chenu chote ni only Mo Salah.
 
😂 😂 😂 😂 Ushanyayua mikono kumbe... Tazama highlight uone.

Allison ni pound for pound gk they come rarely na bila yeye kutuweka mchezoni msimu huu kuna uwezekano tungekua nafasi ya 15 huko...

Msimu huu kama Alison hatapata mchezaji bora wa msimu huu Liverpool basi kuna hujuma, dogo anajitahidi sana lakini wale wenye jukumu la kumpa ulinzi wamepoteana wamebaki kurushiana maneno kushoto kulia...

Sisemi kama Kelleher hawezi anayofanya Allison pengine anaweza kwa hata bora lakini hatuna muda wa trial n error pale golini wakati ndani defence pameoza.. binafsi naona big chance saver nitasimama na Allison any day of the week.

YNWA
Nitaangalia marudio kesho kwenye channel ya liver.
Siwezi poteza bando langu kuitazama mikubwa jinga inabwabwaja uwanjani Bure hadi tunafungwa mabao manne.


Mimi nasimama na Kalleher.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom