Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,570
- 235,411
Haya nyumbu ni bure kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji17]Newcastle wameonyesha Big 4 wanaihitaji kweli kweli hawataniii.
YNWA
Haya nyumbu ni bure kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji17]Newcastle wameonyesha Big 4 wanaihitaji kweli kweli hawataniii.
YNWA
Washukuru hata kwa kikombe cha kahawa walichokipata[emoji23]
Super subDah
Yaani mechi tumepigwa nne, anatolewa Gakpo anaingizwa Milner[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimesikitishwa saana kwa process kusitishwa
Yaani wewe ni chizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Super sub
Kiongozi uwanjani
Mzoefu wa comebacks
Milner the king
Kipenzi chetu
Milner mitano tena jumlisha na minne ya potter
.:Milner mitisa kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimesikitishwa saana kwa process kusitishwa
Ila Juliana atatulipia kisasi
Tutakua backView attachment 2574149
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We are no longer feared, teams are really looking to play us and earn the maximum points. Zamani kidogo we were feared even ugenini but fear us no more infact it's the other way.
YNWA
View attachment 2574525
Duuh hii klabu hua hawana jambo la uvumilivu kwao ni aidha matokeo ya ushindi ama kibarua kimeisha.
YNWA
Klopp:
"I don't want to speak about [internal talks within the squad] but yes, we've had meetings. Constant meetings!"Klopp:
Klopp atapiga watu ngumi huko
OkAcha ujinga wewe.
Mbona hamkusema haya tulivowafunga Man U 7-0
Tungeshinda mechi ya jana ungebwatuka hivi?
SawaAcheni ujinga nyie.
Mbona hamkusema haya tulivowafunga Man U 7-0
With a £13m pay cheque haha man is laughing all th way to bank.Inaitwaga kibarua kuota nyasi
Jana nimemuona VVD banaWith a £13m pay cheque haha man is laughing all th way to bank.
YNWA
Ana shinda gani na mshahara kwake wa £200k kwa wiki.Jana nimemuona VVD bana
Hasa lile goli la nne
Yaani VVD siyo beki kabisa safari hii
Mpira unaenda golini jamaa anakula tu goodtime.