Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Amechoka,Hahaha
Sisi tunasomea vvd wa sasa sio yule tu namfahamu hakabi inavyopaswa kananyua makwapa juu mno
Klopp asipopata pata presha mara hii basi tena atakua salama... VVD kabaki kunyooshea wengine tu vidole utadhani yeye sio beki...VVD na ndugu zake uchochoro dk 25 washaliwa kamba 3
Bwana mkubwa speed kwisha, kazi kuagiza wenzie tuuKlopp asipopata pata presha mara hii basi tena atakua salama... VVD kabaki kunyooshea wengine tu vidole utadhani yeye sio beki...
YNWA
Jamaa atakua anatamani aamke kesho akute ni June 2023 akapumzike ajiweke tayari kwa msimu mpya wa 2023--2024.Bwana mkubwa speed kwisha, kazi kuagiza wenzie tuu
What has this got to do with Liverpool ?
Same as you are here.What has this got to do with Liverpool ?
Nilikuwa kindergarten Bobby[emoji23],View attachment 2564579
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Saint Anne where were you when the streets were enjoying this fantastic man show.
YNWA
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂Cool Miss Liverpool. At least umemkuta mridhi wa Captain Fantastic akituletea makombe kama yote🤣🤣🤣😅😅😅.Nilikuwa kindergarten Bobby[emoji23],
Huko Mwakaleli Tukuyu Mbeya ndanindani huko [emoji1787]
OllaChuga Oc kakatwa mkia hana bwebwe kabisa yale maneno yake ya taka taka yamemrudia mwenyewe kila akiamka na kusoma msimamo wa EPL anatoka duki na kurejea LiveScore fasta.Huyu bachelor ana nyekundu mbili
Bila kumsahau chalii yangu mzee wa LiveScore OllaChuga Oc