Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

He is almost there... Meaning akirejea na Klopp aache uoga itakua itakua Diaz LW, Nunez CF, na Salah RW hapo itakua kazi kazi.

YNWA
Afadhali arejee
Mfia timu aliyetumwa na kijiji kuchezea liver [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakati hua nashindwa swa kuelewa kabisa hiki kitengo cha usajili Liverpool kwa sababu baadhi hawa wachezaji trend zao za majeruhi zinajulikana hata kabla hawajaja Liverpool kwa mfano Konate, Thiago na huyu Arthur Melo...

Ni hatari sana kwa Klopp kama muumini wa kikosi kiduchu kinachocheza pressing game aafu wanakwenda kusajili wachezaji design hii na huku pia kikosini kukiwa na wagonjwa wengine Ox, Keita, Gomez na Matip aafu tutegemee nini sasa kama sio maumivu kwa sababu uzima wao sio guaranteed na msimu huu ni mfano mzuri kabisa namna majeruhi yalivyotuadhiri.

YNWA
Hivi huyu jamaa Arthur Melo ana undugu na boss wetu Maxence Melo ??

Kwanza amecheza mechi ngapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Tulipigwa.
 
Hivi Nyie liverkenge ili jukwaa mmewaachia hawa tu Captain Marvelous pamoja na Saint Anne tu maana ndo wanajichekesha tu hapa wenyewe.

Yani mna mashabiki vilaza kweli man u pamoja na kubolonga lakini jukwaa letu alijawai kupoa kama huku.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ule uzi wenu kwa kweli haujawahi kupoa
Last season mlipoteana ila nilikuwa napita naangalia namna nyumbu mnaruka na kukanyagana,,Uzi bandika bandua comments hazipoi.
 
Hivi Nyie liverkenge ili jukwaa mmewaachia hawa tu Captain Marvelous pamoja na Saint Anne tu maana ndo wanajichekesha tu hapa wenyewe.

Yani mna mashabiki vilaza kweli man u pamoja na kubolonga lakini jukwaa letu alijawai kupoa kama huku.
😂 😂 😂 😂 😂 We are super pathetic losers man... Probably mashabiki wengi hawajazoea tulipo sasa wameamua kujipa likizo mpaka msimu ujao...

Mie na Miss Liverpool tupo tupo na fresh kabisa hakuna noma ndugu.

YNWA
 
Hivi huyu jamaa Arthur Melo ana undugu na boss wetu Maxence Melo ??

Kwanza amecheza mechi ngapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Tulipigwa.
Anacheza klabu za vijana ana dakika kadhaa kule lakini timu ya wakubwa sidhani hata kama ana dakika 15 huyu tena ilikua mechi ya ugenini UCL vs Napoli na baada ya hapo hajawai kua na uzima wa kupata dakika.

Alifurahia sana kuja Liverpool lakini majeruhi kwa mara nyingine katika career yake yamemtupa hukoo.

Historia kwa ufupi tangu ahamia Ulaya.
Mwaka 2018 Barcelona walimnunua £35m kutoka Gremio Brazil akiwa ndio mridhi wa Inesta na akapewa jezi namba 8 pale Barcelona akasaini mkataba wa miaka 6 na kipengele cha mauzo kikawekwa £345m...

Mwaka 2019 aliuzwa kwenda Juventus kwa bei ya £66m. Alicheza pale Juventus kwa miaka.

Mwaka jana 2022 akahamia Liverpool kwa mkopo na Liverpool akapewa kipengele rafiki kwamba Liverpool wakiona anafaa wanaweza kumnunua na kama hafai basi arejee Juventus na ndio maana unaona mapema tu kambi yake wamejuzwa Liverpool hawatamnunua tena mkopo ukiisha June 2023.

Hajawai kucheza gemu 20 kwa msimu katika popote pale tangu ahamie Ulaya kutokana na majeruhi.

Japo Barcelona walimnunua kama mridhi wa Inesta lakini dogo akiwa na uzima hua ni pass master design kama Xavi.

Bye bye Arthur Melo.

YNWA
 
Klabu za vijana ana dakika kadhaa lakini timu ya wakubwa sidhani hata kama ana dakika 15 huyu tena ilikua mechi ya ugenini vs Napoli na baada ya hapo hajawai kua na uzima wa kupata dakika.

Alifurahia sana kuja Liverpool lakini majeruhi kwa mara nyingine katika career yake yamemtupa hukoo.

Historia kwa ufupi tangu ahamia Ulaya.
Mwaka 2018 Barcelona walimnunua £35m kutoka Gremio Brazil akiwa ndio mridhi wa Inesta na akapewa jezi namba 8 pale Barcelona akasaini mkataba wa miaka 6 na kipengele cha mauzo kikawekwa £345m...

Mwaka 2019 aliuzwa kwenda Juventus kwa bei ya £66m. Alicheza pale Juventus kwa miaka.

Mwaka jana 2022 akahamia Liverpool kwa mkopo na Liverpool akapewa kipengele rafiki.

Hajawai kucheza gemu 20 kwa msimu katika popote pale tangu ahamie Ulaya.

Bye bye Arthur Melo.

YNWA
Akwende tu[emoji16]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] We are super pathetic losers man... Probably mashabiki wengi hawajazoea tulipo sasa wameamua kujipa likizo mpaka msimu ujao...

Mie na Miss Liverpool tupo tupo na fresh kabisa hakuna noma ndugu.

YNWA
Sisi tupo, ije mvua, lije jua
We are Liverpool [emoji7]
YNWA[emoji3590]
 
Screenshot_20230323_225748.jpg

One of the greatest cool operators in Epl era.
Salute kwake.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom