Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
😂😂😂😂Unajua ukichukua Uefa aafu Liverpool akamaliza nafasi ya nne basi natupwa hukooo Europa alipo allypipi duuh atanipa dodoo za huko maana tumeshashahua kabisa hio Ligi ya mchangani😂😂Ngoja tuchukue kwanza UEFA maana huku kwenye manafasi hatuna cha kupoteza tena😀😀😀
YNWA