Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Raha jipe mwenyewe ukisubiri FSG na Klopp utachelewa sana aisee..

YNWA
Kabisa.

Wakati tunasubiri mechi Bobby endelea basi kunichambulia wachezaji jamani
Tuanze na hawa new comers,..Diaz,Nunez,Gakpo na wengine tuliowaacha wazee wale tukianzia na Babu yetu mpendwa JMilner.
 
No changes on Oxlade-Chamberlain and Liverpool, expected to part ways in June — he’s gonna leave as free agent [emoji837] #LFC

Arthur Melo will return to Juventus while Oxlade will listed to bids — the plan was already clear in November [emoji1313]
 
Kabisa.

Wakati tunasubiri mechi Bobby endelea basi kunichambulia wachezaji jamani
Tuanze na hawa new comers,..Diaz,Nunez,Gakpo na wengine tuliowaacha wazee wale tukianzia na Babu yetu mpendwa JMilner.
😂😂😂😂😂Milner aaaa wapi nikome. Huyo mcheki Klopp atakupa dodoo zote muhimu.

YNWA
 
Sema pale mbele pamesheheni vipaji
Diaz sijui anarudi lini,I'm missing him badly[emoji3064]
Screenshot_20230321_102521_com.huawei.filemanager~2.jpg

Dogo Diaz kashaanza mazoezi mbona soon utamuona ndaniiiiiiiiii.

YNWA
 
Screenshot_20230320_230301_com.android.chrome~2.jpg

Klopp jamani hiu dili kapigwa mapema hivi yaaani wenye mpunga na consistent mapema wananyakua mtu wao... Sie tuna ma babu pale kati Thiago babu, Milner babu, Henderson babu, Fabinho kachoka kama babu aafu utasikia Klopp eti ana kikosi kipana sana na hajaona wa kusajili, hii timu kuishabikia haitaki hasira.

YNWA
 
View attachment 2562012

[emoji1787][emoji1787][emoji174]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hadi wewe jamani??
Ndio mimi huyo situmii kabisa data zangu kwa Milner labda kama ataachia ngazi June 2023 nitakujuza mawili matatu ya babu huyu kutoka Leeds lakini kama ataedelea kushikiria jezi ya Barela basi tena utulie hivyo hivyo 🤣🤣🤣.

YNWA
 
Arthur Melo will leave Liverpool at the end of the season, as expected — he’s returning to Juventus. Buy option clause won’t be triggered. [emoji837] #LFC

“He’s been unlucky with injuries, Arthur is now back but I think he will return to Juventus in July”, agent Pastorello told Tmw.
Wakati hua nashindwa swa kuelewa kabisa hiki kitengo cha usajili Liverpool kwa sababu baadhi hawa wachezaji trend zao za majeruhi zinajulikana hata kabla hawajaja Liverpool kwa mfano Konate, Thiago na huyu Arthur Melo...

Ni hatari sana kwa Klopp kama muumini wa kikosi kiduchu kinachocheza pressing game aafu wanakwenda kusajili wachezaji design hii na huku pia kikosini kukiwa na wagonjwa wengine Ox, Keita, Gomez na Matip aafu tutegemee nini sasa kama sio maumivu kwa sababu uzima wao sio guaranteed na msimu huu ni mfano mzuri kabisa namna majeruhi yalivyotuadhiri.

YNWA
 
Ndio mimi huyo situmii kabisa data zangu kwa Milner labda kama ataachia ngazi June 2023 nitakujuza mawili matatu ya babu huyu kutoka Leeds lakini kama ataedelea kushikiria jezi ya Barela basi tena utulie hivyo hivyo 🤣🤣🤣.

YNWA
😂😂😂😂😂😂😂
Nimecheka hadi usingizi umeniisha.

Hivi nani huyo anakufundisha tabia mbaya jamani🤣🤣🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom