Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,405
Jitoe tu ufahamuSaint Anne sio kwa ubayaView attachment 2554131
Jitoe tu ufahamuSaint Anne sio kwa ubayaView attachment 2554131
[emoji1787][emoji1787] acha basi avatar haihusiani na mahaba mahabuba.Umetoa yule bondia kwa avatar
Umeweka emoj ya majuto
Ndio unanifukuza kabisa [emoji23]
First impression matters[emoji23][emoji1787][emoji1787] acha basi avatar haihusiani na mahaba mahabuba.
Trent is pure Red blood in n out kwake its means more.Kwa kweli
Trent aliumia sana maskini,nilikaona kanavyotia huruma hadi nikajisikia uchungu machozi yananitoka.
Amepambana sana kijana ila ndio hivyo tena.
Halafu sikuelewa elewa dakika ziliisha vipi kule mwisho![]()
😂😂😂😂😂😂Hahaha kutesa kwa zamu Mkuu.
Ila angalau hao Fsg na Klopp wamejifunza in a hard wayTrent is pure Red blood in n out kwake its means more.
Hayo yamepita.
Maskini FSG hapa watapata pigo kubwa sana la kipato yaaani hii itawagharimu kwa kutokua wasikivu kuingia sokoni... Jana MF ilikua bossed na wazee wenye umri combined wa miaka 70 Krok
😂😂😂😂😂😂Hahaha kutesa kwa zamu Mkuu.
Tumekumbali mbona hatuna jeuri mbele ya Nyeupe Nyeupe yaaani wanajichapia tu kama mpera wa uani.
YNWA
Nani anakufundisha hii misemo sikuhizi?😆🤣🤣🤣Nyeupe yaaani wanajichapia tu kama mpera wa uani.
Na Jude nasikia Madrid washamrubuniBREAKING: Liverpool’s Stefan Bajcetic will be OUT for the rest of the season due to injury, has player has just confirmed. [emoji599][emoji837] #LFC
“It’s very sad to say goodbye to this season for me”, he added.
Fsg na Klopp shikilieni hapohapo, mna kikosi bora kuliko timu yoyote kwenye Premium league, kwa kikosi hikohiko mmepiga Bournemouth goli 9-0 na Nyumbu nae kala 7-0 yaani ndani ya mechi 2 tu timu imeweza kufunga goli 16.Ila angalau hao Fsg na Klopp wamejifunza in a hard way
Wasirudie tena kukaza mafuvu maboya hao..
Ona,tunaoteseka ni sisi mashabiki [emoji24]
Nina jamaa yangu shabiki kidakidaki wa Manchester United basi alivyopata matokeo kanishukia usiku ule ule kwenye simu kwamba kwa Nyeupe Nyeupe sina ubishi wananichapa nyumbani, ugenini watakavyo 🤣🤣akaongezea kama mpera wa uani haha... Nilimwambia ushindi wetu msimu hii ni kumtia adabu ETH kwa kichapo cha goli 7.Nani anakufundisha hii misemo sikuhizi?😆🤣🤣🤣
Sina imani na Jude kutua Liverpool maana tutawakosa Keita, Milner, Ox japo mchango wao klabuni hua sio tegemezi lakini tunahitaji kuwa replace kimkakati kwa mfano tupate Nunes wa Wolverhampton kwa bei chini ya £50m na mwingine na mwingine.. Sasa ukija kwa Jude tetesi kumbe hana release clause kwa hio utakua mnada highest bidder ndio ataodoka na dogo na tayali BVB wanapenyesha tetesi za bei ya £130m ili mradi kutuvuruga.. Endapo Liverpool haita uzwa mazima ama hisa kadhaa basi FSG watamwambia Klopp lazima auze ndio anunue wao hwana ela.Na Jude nasikia Madrid washamrubuni
FSG kukosa hatua zinazoedelea za Uefa, FA ni pigo kubwa sana kimapato ila fresh tu maana hata ng'ombe ili atoe maziwa mengi lazima arishwe vyema kwa muda sahihi... Hawa wamiliki wa Liverpool hii wamemkosea sana Klopp kwa miaka mingi sana kutompa kikosi kamilifu muda sahihi apambane vyema jino kwa jino na Kipara na Uefa. Sasa hapo ndio wataelewa kwa sababu kwanza bei ya wachezaji imepanda mara dufu na timu nyingi zime recover vyema baada ya corona hivyo ushindani wa kuwapata hao wachezaji upo juu sana meaning wachezaji wazuri wanakua na options nyingi tazama 007 wa Chelsea alikua na ofa Arsenal lakini Chelsea wakaongeza dau na kumnasa hivyo kwa FSG kufika walipo na kusaka mteja kuuza klabu ni kwa kua wao biashara hii hawawezi kabisa kwa kua ni waumini wa sell to buy..Ila angalau hao Fsg na Klopp wamejifunza in a hard way
Wasirudie tena kukaza mafuvu maboya hao..
Ona,tunaoteseka ni sisi mashabiki 😭
Jude ni mchezaji wa kawaida ambaye yupo overated sisi tumecheza dhidi ya Dortmund zote mbili ni mchezaji ambaye hana uwezo wa kudominate game, sio mbunifu wa kiwango Cha juu Cha pasi, sio mkabaji mzuri ukabaji wake ni wa kawaida nashangaa sijui kwanini thamani yake inatajwa kuwa ni paund million 100? Yule ni mchezaji wa paund million 15-20 hana vitu exceptional kwenye uchezaji wake bruno wa newcastle ni Bora by far kuliko huyo jamaaNa Jude nasikia Madrid washamrubuni
Klop ana wachezaji wake ambao anawaongeza kitu wanakuwa hatari..Jude ni mchezaji wa kawaida ambaye yupo overated sisi tumecheza dhidi ya Dortmund zote mbili ni mchezaji ambaye hana uwezo wa kudominate game, sio mbunifu wa kiwango Cha juu Cha pasi, sio mkabaji mzuri ukabaji wake ni wa kawaida nashangaa sijui kwanini thamani yake inatajwa kuwa ni paund million 100? Yule ni mchezaji wa paund million 15-20 hana vitu exceptional kwenye uchezaji wake bruno wa newcastle ni Bora by far kuliko huyo jamaa
Kuna wachezaji wangapi klopp kawasajili na wameshindwa kudeliver? Si kila mchezaji atakuwa anold au Robertson ebu niambie huyo jude ubora wake uko wapi ana nini special mpaka hata iwe ana thamani hata hiyo 50?Klop ana wachezaji wake ambao anawaongeza kitu wanakuwa hatari..
Jude kweli Thamani yake sio 120 lakini pia sio 20...yupo around 50...
We utamuona wa kawaida ila akija Liverpool utashangaa...kwani Konate Nani alikuwa anamjua kabla hajaja Liverpool?Leo anacheza national team... Liverpool wanaongeza ufundi
Hahaa Kama togwa ya ngomani wanajichotea tuTrent is pure Red blood in n out kwake its means more.
Hayo yamepita.
Maskini FSG hapa watapata pigo kubwa sana la kipato yaaani hii itawagharimu kwa kutokua wasikivu kuingia sokoni... Jana MF ilikua bossed na wazee wenye umri combined wa miaka 70 Krok
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha kutesa kwa zamu Mkuu.
Tumekumbali mbona hatuna jeuri mbele ya Nyeupe Nyeupe yaaani wanajichapia tu kama mpera wa uani.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji1787]Nina jamaa yangu shabiki kidakidaki wa Manchester United basi alivyopata matokeo kanishukia usiku ule ule kwenye simu kwamba kwa Nyeupe Nyeupe sina ubishi wananichapa nyumbani, ugenini watakavyo [emoji1787][emoji1787]akaongezea kama mpera wa uani haha... Nilimwambia ushindi wetu msimu hii ni kumtia adabu ETH kwa kichapo cha goli 7.
YNWA
Tulia weweFsg na Klopp shikilieni hapohapo, mna kikosi bora kuliko timu yoyote kwenye Premium league, kwa kikosi hikohiko mmepiga Bournemouth goli 9-0 na Nyumbu nae kala 7-0 yaani ndani ya mechi 2 tu timu imeweza kufunga goli 16.
Timu yenu imekamilika kila idara hamna sababu yoyote ya kuchezea pesa kwenye usajili, kitu muhimu ni kuwaongezea mkataba Milner na Henderson ila hizo kelele za mashabiki ni za kupuuzia tu hazina mantiki yoyote.
Waondoke tu aisee,FSG kukosa hatua zinazoedelea za Uefa, FA ni pigo kubwa sana kimapato ila fresh tu maana hata ng'ombe ili atoe maziwa mengi lazima arishwe vyema kwa muda sahihi... Hawa wamiliki wa Liverpool hii wamemkosea sana Klopp kwa miaka mingi sana kutompa kikosi kamilifu muda sahihi apambane vyema jino kwa jino na Kipara na Uefa. Sasa hapo ndio wataelewa kwa sababu kwanza bei ya wachezaji imepanda mara dufu na timu nyingi zime recover vyema baada ya corona hivyo ushindani wa kuwapata hao wachezaji upo juu sana meaning wachezaji wazuri wanakua na options nyingi tazama 007 wa Chelsea alikua na ofa Arsenal lakini Chelsea wakaongeza dau na kumnasa hivyo kwa FSG kufika walipo na kusaka mteja kuuza klabu ni kwa kua wao biashara hii hawawezi kabisa kwa kua ni waumini wa sell to buy..
June 2023 itakua super interesting.
YNWA