Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna wachezaji wangapi klopp kawasajili na wameshindwa kudeliver? Si kila mchezaji atakuwa anold au Robertson ebu niambie huyo jude ubora wake uko wapi ana nini special mpaka hata iwe ana thamani hata hiyo 50?
Jude hana kitu special na sijui klopp kampendea nn tu, mchezaji wa Euro milioni 100+ wanini sasa kwetu? Ni bora klopp atafute mido wa around £40m alafu afatilie kimya kimya. Maana akisha dokeza kuwa anamtaka mchezaji fulani na offer ya around £40m na tim zingine zikasikia na kuanza kumnyemelea anapanda bei mpaka £100m[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui kwanini tu. Yaani afanye usajili wakushtukiza kama kwa Cody.
 
Waondoke tu aisee,
Unataka mambo mazuri na hutaki kutoa pesa[emoji174]
Klopp naye anatakiwa akaze,siyo kukubali tu kila kitu.

Nina uhakika,Pep angekuwa nafasi ya Klopp,asingekubali huu upuuzi.
Pep aje kufanya nini Liverpool chini ya FSG yaani hio ndoa ina talaka ya mapema sana kwa sababu kwanza katazame tangu katua Pep pale Manchester City wametumia £581.8million huku Klopp akiwa na net spend ya £207.32million. Hizo net spend ni bila biashara ya January 2023. Mpaka utaona Pep hana utani kwenye wachezaji anaowahitaji kikosini.

Klopp anajionaga kama Wenger wa Liverpool sasa muache yatakuja kumkuta yaliyomkuta Wenger pale Emirates kiasi alijipiga ban kwa muda mrefu sana.

YNWA
 
[emoji23][emoji23][emoji1787]
Nilijua tu mashabiki wa nyumbu wamekuharibu na hiyo misemo.
Nimeshangaa,muingereza wetu Bobby na haya mambo wapi na wapi![emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣Acha bhanaaa ila hawa mashabiki wa nyumbu wana vimaneno vya kero balaa na bora sasa kwenye mbio za ubingwa hawapo tena maana baada ya Carabao waliona kama kweli wanaweza kushinda quadruple msimu huu.

Eti Quadruple
Nyooo🤣🤣🤣
Imetushinda sisi itakuwa wao??
Kile kikombe cha chai kinawatosha sana.

Masikini wamekuharibu Bobby wetu jamani😆 umekuwa mswahili 🤣🤣
Next match nataka tuangalie pamoja.
 
Pep aje kufanya nini Liverpool chini ya FSG yaani hio ndoa ina talaka ya mapema sana kwa sababu kwanza katazame tangu katua Pep pale Manchester City wametumia £581.8million huku Klopp akiwa na net spend ya £207.32million. Hizo net spend ni bila biashara ya January 2023. Mpaka utaona Pep hana utani kwenye wachezaji anaowahitaji kikosini.

Klopp anajionaga kama Wenger wa Liverpool sasa muache yatakuja kumkuta yaliyomkuta Wenger pale Emirates kiasi alijipiga ban kwa muda mrefu sana.

YNWA
Klopp Baba huruma
Klopp Baba miujiza

Safari hii janjajanja zake zimegoma,
Mbio za sakafuni huishia ukingoni.
 
Tupate tangazo kutoka Kwa wadhamini.

What is he doing? [emoji23][emoji23]
IMG_20230317_133330.jpg
 
Bro has realized that eating is better than football 😭😂
He's here at the moment eating ugali.
 
Attachments

  • Screenshot_20230317-221927.jpg
    Screenshot_20230317-221927.jpg
    101.3 KB · Views: 8
Klopp Baba huruma
Klopp Baba miujiza

Safari hii janjajanja zake zimegoma,
Mbio za sakafuni huishia ukingoni.
🤣🤣🤣FSG wametembelea sana nyota ya Klopp na wakali wake.. Hii timu bila prime Mane, VVD, Allison, Gini, Fabinho, Salah, Robertson, Salah, Trent ingekua na hali mbaya sana long time sasa badala ya Klopp kupewa fungu aboreshe kikosi mdogo kusudi kisichoke kwa pamoja hilo halikufanyika kamwe badala yake ni eti sasa wanakumbuka shuka kumekucha.

Liverpool hii hii kweli ndio watoe £200m bila kuuza hata mchezaji mmoja mkubwa itakua muujiza wa aina yake.

Waondoke.
Kama vipi tuinunue tu timu wenyewe😆

Sitaki kuamini tunakwenda kucheza Europa😭
 
Eti Quadruple
Nyooo🤣🤣🤣
Imetushinda sisi itakuwa wao??
Kile kikombe cha chai kinawatosha sana.

Masikini wamekuharibu Bobby wetu jamani😆 umekuwa mswahili 🤣🤣
Next match nataka tuangalie pamoja.
🤣🤣🤣🤣🤣Msimu uliopita tulikua na amani sana aisee kwa sababu Manchester United na Arsenal walikua hukooo wanapambana nani atacheza Conference League hivyo hata mtaani kulikua hakuna kelele walijikumbali hali ndio kama ilivyo.. Sasa msimu huu wamerejea kwa kishindo kwa pamoja tena mbona tunakoma aisee na vile tumepoteana ndio kabisaaaa wanatuchapa na ma utani, kejeli kama zoteee haha mpira bhana ukiwa na hasira na presha unaweza rusha ngumi..

Next match ni April tutakua ugenini Ethad kwa Kipara sasa hapo ni hawa vijana huko timu ya Taifa zao warejee wakiwa wazima wa afyaa ili tuanze kuisaka Big 4 kwa kishindo.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom