allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,336
- 10,991
Sawa mama ila ni kuanzia msimu wa 2024/2025 maana msimu ujao tuonane ueropa tu.Nyie wapuuzi wote mnaojipitisha humu
Nasema tutalipa tu Mungu akipenda misimu ijayo kenge Nyie[emoji24]
Sawa mama ila ni kuanzia msimu wa 2024/2025 maana msimu ujao tuonane ueropa tu.Nyie wapuuzi wote mnaojipitisha humu
Nasema tutalipa tu Mungu akipenda misimu ijayo kenge Nyie[emoji24]
Huyu Origi na Mayele wana tofauti gani?View attachment 2553002
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hii ngumu kutekeleza jamani angalau ingekua pale machijioni Anfield tungekuwa na ahueni fulani kwa hii knock out.
YNWA
Klopp hana mbinu zozote tena za kuirudisha liverpool juuMimi natizama katika usajili ndio itatupa dalili wapi tunaenda sehemu za kuongeza nguvu ziko wazi kabisa kati kati ni lazima na beki mmoja na matumaini yangu system ya 4.3.3 tuacheni nayo hatuna tena wachezaji wakucheza huo mfumo ni matumaini Klop ni Manager mkubwa ni lazima plan ziko ni issue ya kupewa back up kifedha na wamiliki, huu msimu dalili mbaya zilianza na toka pre-season ni kama Arsenal nyota njema ilianza pre-season tukadhani si mechi za kujiandaa tu kumbe ndio imetoka, kuanzia sasa pre-season nitaangalia sana maana pale tunajuwa mwelekeo. huu msimu tumeshusha mapanga chini tu tumie nguvu zote kushinda mechi za EPL tuzifanye kama finals tumalize top 4 basi nsio target.
Wale ni waajiriwa mwisho wa siku pay day ipo pale pale, wewe ni shabiki mafanikio ya kuchukua kombe ndio kilele cha furaha kwako.Wachezaji wana roho ngumu
Mimi nipo nanjilinji ndani ndani huku nipo nalia
Wao wametoka wakavuu
Hivi Miss Liverpool huna nguo fulani au kiatu fulani ambacho ukitupia bahati hua inakufuata fuata haha sasa ndio Milner na Klopp 🤣🤣Klopp aliamini fika his lucky guy kutuvusha ni babu Milner na si vinginevyo...Mara mia angemtoa Salah
Nunez tangu mwanzo ameonyesha kupambana
,, Anakwenda kulipachika li Ox..
Mechi ngumu unaanzisha Milner 😭
Asingewaweka hawa,hata kama tungefungwa, lakini tungekuwa tumepambana kiume😭
Hahaha wasiwasi wangu ni zile timu za hukooo nafasi ya kumi kushuka chini hao kwa kua kila gemu ni fainali na kushuka Championship kugumu sana hapakaliki kabisa. Hizi timu za nafasi za juu kama kawaida vijana wanakamia mechi balaa.Hao Man City na Chelsea hakikisheni mnawapiga haswa
Perhaps he meant on Game Mode 🤣🤣🤣bure kabisa."Liverpool fans should book their tickets in Istanbul early, cos we're going to the finals again"
View attachment 2553315
Can' t wait to see self-proclaimed UCL finalists struggling in Europa league or even the Conference league next season.Perhaps he meant on Game Mode 🤣🤣🤣bure kabisa.
Proper overhaul is needed from players to formation.. Can't be business as usual.
YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ushirikina usifanywe kwa Bournemouth na Madrid tuje tuufanye kwenu? Sema tu mlizidiwa [emoji1787][emoji1787]Zile goli 7 mpka leo kila nikifiria ilikuajekuaje hua nakosa jibu, hakika uchawi upo ni vile tu hauwezi kuvuka maji.
Siku ile hawa wahuni waliroga midfielders na beki zote, Casemiro anasema kila alipokua anagusa mpira mbele yake alikua anaona bahari na mitumbwi ya uvuvi.
Kwenye suala la Ushirikina katika soka kuna kamstari kembamba sana kanachoitenganisha liverpuuuh na Simba.
Kwa kweliWale ni waajiriwa mwisho wa siku pay day ipo pale pale, wewe ni shabiki mafanikio ya kuchukua kombe ndio kilele cha furaha kwako.
Pale wenye maumivu ya kweli ni Trent na Jones hawa wengine is another bad day kazini.
YNWA
Yaani acha tuHivi Miss Liverpool huna nguo fulani au kiatu fulani ambacho ukitupia bahati hua inakufuata fuata haha sasa ndio Milner na Klopp [emoji1787][emoji1787]Klopp aliamini fika his lucky guy kutuvusha ni babu Milner na si vinginevyo...
YNWA
Hao wakushuka pia nawatakia Kila la heri muwapige pia. Muingie top 4 nyie watoke UTD na Spurs.Hahaha wasiwasi wangu ni zile timu za hukooo nafasi ya kumi kushuka chini hao kwa kua kila gemu ni fainali na kushuka Championship kugumu sana hapakaliki kabisa. Hizi timu za nafasi za juu kama kawaida vijana wanakamia mechi balaa.
YNWA
Fainali dream game Real Madrid vs Manchester City... Aafu Vincius kama kawaida atawakimbiza mbaya mabeki wako.. Kwanza Kipara hua anafeli kwenye selection ya mechi muhimu.. Kama juzi katoa kali ya mwaka beki kapanga LB na RB wamecheza ma CB na baada ya ushindi akatupa dongo kwamba akishinda hakuna maneno ila wakifungwo hua kelele kama zote kwamba anajilesi balaa.Can' t wait to see self-proclaimed UCL finalists struggling in Europa league or even the Conference league next season.
Ngoja the cityzens tuanze kuandaa suti za kuendea Istanbul mapemaa.