Acha kutudanganya!!!!Yaani acha tu
Mtu amekomaa na Milner mwanzo mwisho[emoji706]
Nilivyoona tu ule mkeka Milner yupo nikaanza kupata wasiwasi
Mara mia Hendo, Kuna muda bahati huwa upande wake.
Kwa muda wote sijamuona Milner akifanya chochote,zaidi ya kupiga yale makofi mwisho wa mechi na kujinyoosha nyosha kama bondia kabla ya mechi.
Wengine wote siwalaumu ,hasa madogo pale mbele, wamejitahidi sana
Ila dakika ya 6 pale Lilikuwa goli kabisa[emoji24]mdogo wako hakutulia tu kupiga vzr[emoji24]
Kwa kazi gani ya maana mliyofanya?Tuacheni tupumzike jamani [emoji24]
Kwa hiyo unasema laana inawatafuna na sharti wafungwe mechi 7 mfululizo? Kila goli moja mechi moja?Liverpool zimebaki game tano ndio nyota yenu irudi,,mnatupigaje Saba[emoji35][emoji35][emoji35]
Msimu ujao tutawachapa 10Liverpool zimebaki game tano ndio nyota yenu irudi,,mnatupigaje Saba[emoji35][emoji35][emoji35]
Mpaka sasa umrtusumbua [emoji1787][emoji1787]Sema ni vile Arsenal na Liverpool sio rivals kivile ila tungewasumbua humu [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2553329
We mdada unanipa mzuka wa kukutongoza [emoji39][emoji39][emoji39]Liver hatuna baya
Tuendelee na sodaView attachment 2554098
Umetoa yule bondia kwa avatarWe mdada unanipa mzuka wa kukutongoza [emoji39][emoji39][emoji39]
Angalau waanze kufunguka aiseeVirgil Van Dijk on Liverpool plans: “We have to sign new players, if we want to be where we have been the last five years”, told The Athletic [emoji837] #LFC
“Obviously, players are going to leave. If we want to be at top level we need quality imports”, he added.