Kiatu cha udongo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 443
- 1,158
Saint Anne sijui umekimbiaje Banda umiza next time nitakuja na kamba hamna kutoka mpaka mpira uishe dadeeeek
Alifikiri hii Ni barcelonaSaint Anne sijui umekimbiaje Banda umiza next time nitakuja na kamba hamna kutoka mpaka mpira uishe dadeeeek
Nyie mna nini kwani?Livafools hamna timu kweli man u tulitapikiwa na mlevi
Kwahiyo unadhani mechi imeishia hapo?
Mechi ndio kwanza imeanzaSaint Anne sijui umekimbiaje Banda umiza next time nitakuja na kamba hamna kutoka mpaka mpira uishe dadeeeek
Kwahiyo unadhani mechi imeishia hapo?
Kila kichwa unachokiona mbele kina bao mojamoja
Salah,firmino,Fabinho atascore
Bado Salah ataongezea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]liver Ni genge la wahuniNaona mmepindua Meza ya nyanya
Kwani hicho kimoja kafunga nani?Ndio huyo benzema mliyemnywesha alkasusu usiku kucha?
Mbona hana chochote sasa[emoji1787]
Mnadhani kuscore rahisi eeh?
Wazee wa Budapest mnamtoa Amina(Milner) mnamuingiza Chembalaini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mechi ndio kwanza imeanza
Liver ndio tunaanza sasa[emoji91]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]liver Ni genge la wahuni
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂Anaitwa Fundi Manywele hatoi hata jasho aafu kazi kazi...Ila kamodric kafupi