Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaitwa Fundi Manywele hatoi hata jasho aafu kazi kazi...

Umeona mechi imeisha PA wa Real Madrid katuchezea anthem yetu pale Bernabeu ya you'll never walk... Kama unakumbuka mechi ya kwanza Modric alivyopewa sub Anfield uwanja wote ulimshangalia kwa classic performance na leo Real Madrid nao wametulipa kwa kutuchezea kitu roho ipedacho cha YNWA... Woow that a super class act from Real Madrid management.

YNWA

Unyama saana hii nimeipenda....Hallah Madrid
 
Nafasi ya Milner heri aingie yeyote yule aliyepo benchi.
Klopp bhana anaona Ancelot anamuacha half fit uwanjani Benzema sababu anajua akipata nafasi moja ni goli lakini Klopp anamtoa Nunez na kumuacha msidikizaji Milner uwanjani yaaani hYa mambo sitokaa nielewe kama kweli alihitaji kutoa front guy basi huyo ni Salah kwa sababu huyu anawazanga tu revenge na si kingine...

Ulimuona Klopp mpaka amepewa kadi ya njano kwa kujitia lesi yaaani mpaka hapa msimu huu karibu £40m klabu inazokosa kwa kutolewa kwenye haya mashindano kizembe hivi. Klopp anang'aka tukiwa nyuma ya goli 5 seriously kwani mechi ya Anfield alikua likizo...

YNWA
 
Livafools hamna timu kweli man u tulitapikiwa na mlevi
Zile goli 7 mpka leo kila nikifiria ilikuajekuaje hua nakosa jibu, hakika uchawi upo ni vile tu hauwezi kuvuka maji.
Siku ile hawa wahuni waliroga midfielders na beki zote, Casemiro anasema kila alipokua anagusa mpira mbele yake alikua anaona bahari na mitumbwi ya wavuvi.
Kwenye suala la Ushirikina katika soka kuna kamstari kembamba sana kanakoitenganisha liverpuuuh na Simba.
 
Screenshot_20230304_205755_com.android.chrome_edit_695719856052170.jpg

🤣 🤣 🤣 🤣 Hivi Klopp hakushauriwa avae namna hii jamani.

YNWA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaitwa Fundi Manywele hatoi hata jasho aafu kazi kazi...

Umeona mechi imeisha PA wa Real Madrid katuchezea anthem yetu pale Bernabeu ya you'll never walk... Kama unakumbuka mechi ya kwanza Modric alivyopewa sub Anfield uwanja wote ulimshangalia kwa classic performance na leo Real Madrid nao wametulipa kwa kutuchezea kitu roho ipedacho cha YNWA... Woow that a super class act from Real Madrid management.

YNWA
Mechi imeisha machozi yamenibana
Dah,tumetia huruma,hapa machozi hayakauki[emoji174][emoji24],wanavyoaga akina Trent
Tukutane kesho asubuhi

Hivi Milner naye alikuwa anapiga makofi ya Nini?
Hebu nilale mimi[emoji24]
 
Klopp bhana anaona Ancelot anamuacha half fit uwanjani Benzema sababu anajua akipata nafasi moja ni goli lakini Klopp anamtoa Nunez na kumuacha msidikizaji Milner uwanjani yaaani hYa mambo sitokaa nielewe kama kweli alihitaji kutoa front guy basi huyo ni Salah kwa sababu huyu anawazanga tu revenge na si kingine...

Ulimuona Klopp mpaka amepewa kadi ya njano kwa kujitia lesi yaaani mpaka hapa msimu huu karibu £40m klabu inazokosa kwa kutolewa kwenye haya mashindano kizembe hivi. Klopp anang'aka tukiwa nyuma ya goli 5 seriously kwani mechi ya Anfield alikua likizo...

YNWA
I'm so disappointed, Bobby[emoji24]

Huyu mzee nasemaga mm kuna muda anakuwa kama amevuta bangi.
Nimeona.
 
Nyt nyt fellow Red Brigade... Tumepambana lakini uwezo umeishia pale na ndio safari yetu imeishia hapa kwa Uefa msimu hii na ndoto za kutua Istanbul bye bye my fellow Red Army.
Congratulations kwa Real Madrid wametufunga clean n tidy hakuna bla bla pale goli 6 kwa 2 jamani wala tisihuzunike kwani wapinzani wetu wapo vyema sana karibu kila idara huku na sisi tukiwa hovyo kabisa hatuna identity msimu huu Uefa. Niseme tu sasa Klopp kibarua chake ni vipi atatuvusha mechi zilizobaki tuingie nne bora mpaka ligi inaisha ili tupate nafasi bora kuvutia wachezaji wapya Juje 2023 maana bila Uefa ndugu zangu aidha tulipe prime figures ama tutaambulia chaguo la 2 au 3 la target zetu.

We will come back stronger next season.

YNWA
 
Wapo matured sana
Siyo kama wale nyumbu wa gengeni pressing..
Ila ntasapoti timu yoyote itakayokutana na Madrid
Hawawezj kutuonea hivi sisi[emoji24]
Mzee wa Cuban Cigar ni rafiki wa Klopp itakua imeona sio jambo njema wale ma elfu wa mashabiki waodoke bila jambo njema pale Bernabeu basi wakawapa wimbo wao pendwa kuwaaga na kuwapa nguvu kurejea Uingereza nk.

YNWA
 
I'm so disappointed, Bobby[emoji24]

Huyu mzee nasemaga mm kuna muda anakuwa kama amevuta bangi.
Nimeona.
Klopp bhana hatuna mechi wekedi hii mpaka aamue kutoa threat kufunga sijui anawazaga nini siseme tungefunga lakini he has to gamble with this boy...

Nwa Uefa for us is a foregone conclusion so lets wait for busy April kwenye Epl mambo ni moto sana tuna Manchester City, Chelsea na Arsenal haha itakua April kali sana.

Mara mia angemtoa Salah
Nunez tangu mwanzo ameonyesha kupambana
,, Anakwenda kulipachika li Ox..
Mechi ngumu unaanzisha Milner 😭
Asingewaweka hawa,hata kama tungefungwa, lakini tungekuwa tumepambana kiume😭
 
Mzee wa Cuban Cigar ni rafiki wa Klopp itakua imeona sio jambo njema wale ma elfu wa mashabiki waodoke bila jambo njema pale Bernabeu basi wakawapa wimbo wao pendwa kuwaaga na kuwapa nguvu kurejea Uingereza nk.

YNWA
Wachezaji wana roho ngumu
Mimi nipo nanjilinji ndani ndani huku nipo nalia
Wao wametoka wakavuu
 
Klopp bhana hatuna mechi wekedi hii mpaka aamue kutoa threat kufunga sijui anawazaga nini siseme tungefunga lakini he has to gamble with this boy...

Nwa Uefa for us is a foregone conclusion so lets wait for busy April kwenye Epl mambo ni moto sana tuna Manchester City, Chelsea na Arsenal haha itakua April kali sana.

YNWA
Hao Man City na Chelsea hakikisheni mnawapiga haswa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom