Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nyie nyumbu wote mliojaa humu ndani
Nawaambia Liverpool ni Chama kubwa na mapema sana tunaibuka kidedea

Sasa tukishashinda jiandaeni
Nitadeal na mtu mmoja baada ya mwingine.

Nimekaa pale[emoji1371][emoji1371][emoji1371][emoji2093]
 
Yale masaa yamekaribia kuisha sasa nilikuwa nasema hapa kitu inayofanya Liverpool iendelee kubaki Uefa ni masaa tu nayo yamekaribia tayari.

Naona mmetupangia Babu milner sawa sawa.
1678905437592.jpg
 
Screenshot_20230315_220421.jpg

Duu allypipi huyu ndugu kweli noisy neighbour ebu waini pale Napoli mazima kwa Victor Osimen naamini mtakua na jambo lenu kuwazima kelele.

YNWA
 
View attachment 2552996
[emoji23][emoji23][emoji23] Saint Anne njoo huku umuone Milner akiweka rekodi mpya ya mchezaji mzee zaidi kutoka Nchi ya Malkia kucheza Uefa.

YNWA
Yaani ndugu yangu acha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nazidi kupata magonjwa ya moyo Mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mechi ngumu kama Madrid ni ya kumuanzisha Milner kweli?
Dah.

Hebu ngoja tuone.
 
Yaani ndugu yangu acha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nazidi kupata magonjwa ya moyo Mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mechi ngumu kama Madrid ni ya kumuanzisha Milner kweli?
Dah.

Hebu ngoja tuone.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Usiumwe bhana ni maisha ya mpito aisee... Ila Klopp ana kifua yaani hapa mpaka Milner atafutiwe mkataba mpya kwa nguvu yotote ile.

Au Miss Liverpool huyu Milner atakua msoma nyota wa Klopp aisee ndio maana anakoma nae mazima.. Ngoja siku ale nyekudu kwa kucheza karate ndio Klopp atauchuna kama vile hakumpanga yeye.

YNWA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiumwe bhana ni maisha ya mpito aisee... Ila Klopp ana kifua yaani hapa mpaka Milner atafutiwe mkataba mpya kwa nguvu yotote ile.

Au Miss Liverpool huyu Milner atakua msoma nyota wa Klopp aisee ndio maana anakoma nae mazima.. Ngoja siku ale nyekudu kwa kucheza karate ndio Klopp atauchuna kama vile hakumpanga yeye.

YNWA
Yaani huyu Milner mganga wake ni kiboko[emoji119][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom