Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20230306_121643.jpg


Tukumbushane tu hapo Diaz haukuwepo na mambo ndio kama mlivyoona wale wageni kimyaa mtaani amani sana.

YNWA
 
Screenshot_20230306_084209_com.android.chrome~2.jpg

Jota, Gakpo, Nunez na Diaz wana mengi ya kujifunza kutoka kwa Salah ukitazama EPL dogo anakupigia wastani wa mechi 35+ katika misimu minne iliyoisha hapo ukiweka UCL, Mechi za kimataifa, FA na Carabao utaona hakika dogo anajua kujilinda na majeruhi.

YNWA
 
Salah jana kacheza dynamically aisee maana alikuwa anadefence na kushambulia walishindwa kuelewa wamkabe vipi , kila wakishika mpira manjesta liva nao hawakuwa nyuma ku recover na kupeleka mashambulizi.
Kama ujuavyo Liverpool wachezaji wengi hung'ara wakicheza kama unit hivyo jana likua ni mfano bora wa collective attack na collective defence bila kutegeana.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom