Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,854
We have to believe we have to believeMara pap Klopp akapindua matokeo Bernabeu hahaha mpaka hapo Klopp atakua immortal... Legend wa legend.
YNWA
We have to believe we have to believeMara pap Klopp akapindua matokeo Bernabeu hahaha mpaka hapo Klopp atakua immortal... Legend wa legend.
YNWA
Amka unaota wwMara pap Klopp akapindua matokeo Bernabeu hahaha mpaka hapo Klopp atakua immortal... Legend wa legend.
YNWA


🤓🤓🤓🤓Kila mchezaji mkuu ana bei yake na Chelsea walifika bei kwa Torres tukawa hakuna namna zaidi ya kuuza na maisha yasonge.. Usisahau hata huyo Surez alijaribu kufosi move ya Arsenal baada ya Wenger kutoa ofa ya 40m+1cents 😁😁 ikabidi Henry aulize huko Emirate wanavuta ya wapi.Suarez.
Salah
Torres
Suarez namrate zaidi kutokana na workrate yake uwanjani. Tukiachilia mbali masuala yake ya kinidhamu jamaa alikuwa complete footballer.
Ana kuoffer kila kitu, ana press balaa, dribbling zisizoeleweka ila anachana msitu hivyo hivyo, magoli ya kushangaza.
Suarez ni mchezaji mfia timu. At his best angefanya lolote team yake ishinde.
Salah is magical. Sihitaji kumuelezea.
Torres will forever be JUDAS to me. 🚮
Ni kweli mkuu ila jamaa dah alituacha tukiwa wabovu sana bora hata Suarez aliacha kuna uafadhali.🤓🤓🤓🤓Kila mchezaji mkuu ana bei yake na Chelsea walifika bei kwa Torres tukawa hakuna namna zaidi ya kuuza na maisha yasonge.. Usisahau hata huyo Surez alijaribu kufosi move ya Arsenal baada ya Wenger kutoa ofa ya 40m+1cents 😁😁 ikabidi Henry aulize huko Emirate wanavuta ya wapi.
Niseme tu kwa mtazamo wa kila mmoja atakavyo wa rate yuko sahihi kwa kua hawa ma strika waliitedea haki baji ya Liverpool...
Torres enzi hizo alikia msumbufu ajambo yaaani na mabeki wengi wastaafu walimchagua kua tishio.
YNWA
Ile penati pale liva kuna mutu anaeza piga?! Ule ufundi siyo wa kitoto mkuu.Eti ni penati ya mchongo haha by most sort UK MF maestro.
YNWA
Kwa sasa Chelsea hatushikiki hasa likija suala la UEFAHata Ndanda FC ya kule Mtwara haiioopi Chelshit![]()
Salah ana EPL ngapi?Yeah ukiweka ubora wa vikosi vya tangu Torres, Surez na sasa Salah kuja tofauti kubwa sana... Torres alicheza na prime Gerrard akiwa kwenye form.. Surez the viper huyu timu haikua na utulivu kabisa lakini alipambana vya kutosha single handily...
Salah amecheza chini ya Kocha bora na pia akiwa na prime Mane na Firmino pembeni yake na kumsaidia kuleta numbers za kutosha.
YNWA
Kweli Chugha man umeishiwa yaaani mpaka unafurahia ushindi wa penati hahaha.Ile penati pale liva kuna mutu anaeza piga?! Ule ufundi siyo wa kitoto mkuu.
UEFA watupe kombe letu tu
Ni kweli mkuu ila jamaa dah alituacha tukiwa wabovu sana bora hata Suarez aliacha kuna uafadhali.
Yeah El Nino alikuwa mzuri ila nilikuwa nampenda zaidi kwenye game vs Man United alivyokuwa anampindua Vidic. Ilikuwa karibu kila match Vidic anakula umeme.
Goli langu bora kwa Torres kuna msimu mmoja nahisi 2009/10 au wa 2008/09 vs Blackburn Rovers alipokea pass akiwa amelipa goli mgogo akaushusha kwenye freezer aka turn akaachia volley ya maana.
Chelsea ipi hiyo?🤣Kwa sasa Chelsea hatushikiki hasa likija suala la UEFA







Umesha kosa chakuandika zaidi ya hicho hicho?FSG mitano tena
Sisi tupo na hii