Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20230306_161258_com.android.chrome~2.jpg

Ndio kwanza wamecheza gemu yao ya kwanza vs Manjesta na wametoka na kila mmoja na double goals.. Haya sasa tuonane msimu ujao.

YNWA
 
Nyie kenge mnatukamia sisi tu hafu Madrid anawatoa maini kirahisi nguvu mliyoitumia kwetu mkaitumie na kwa Madrid Sasa sio mnatukazia sisi hafu hafu nyie mechi za maana mnachapika tu.
 
Nyie kenge mnatukamia sisi tu hafu Madrid anawatoa maini kirahisi nguvu mliyoitumia kwetu mkaitumie na kwa Madrid Sasa sio mnatukazia sisi hafu hafu nyie mechi za maana mnachapika tu.
benzema: I don't know what is going in Manchester United this week but i think what has happened is disrespectful to Manchester United hence Liverpool will pay for it next game
 
Nyie kenge mnatukamia sisi tu hafu Madrid anawatoa maini kirahisi nguvu mliyoitumia kwetu mkaitumie na kwa Madrid Sasa sio mnatukazia sisi hafu hafu nyie mechi za maana mnachapika tu.
Sisi ni wabovu hatujawahi pinga hilo soma nyuzi zote Humu tunaiponda team yetu Sana

Team yetu ni mbovu mnoo

Lakini ndo mfungwe saba na wabovu hahaha
 
hahaha yani kuwapiga wale wavimba macho kusikufanye uone kama una timu ya kumfunga Chelsea. Yani ukija pale darajani juwa kabisa umekuja kufa kimya kimya 😀😀😀
🤓 🤓 🤓 🤓 🤓 Yaaani wewe nakuwekea MF Milner na Kieta na watakusabaratisja mazima.

Ushauri tulia ulipo hata LiveScore usirejee bado.

YNWA
 
Kama ni kweli tunamfukuzia Josko tuachane nae tutafute CB mwingine wa bei chee maana huyu atakuwa ghari sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom