Hahaha na kweli kuna majini Anfield maana jana nilijiuliza hivi hawa ndio wale wale wachezaji waliohenyeshwa na Newcastle akiwa mtu pungufu mpaka muda wote wakawa wanachungulia dakika kama zimeisha yaaani ndani ya wiki+ hivi mambo yamebadilika sanaaa aisee.Liva huwa hawapendi dharau kabisa aisee
Liva hata iwe mbovu vipi ukileta dharau wanakuua
Pale anifilidi Pana majini pale kakahayapendi dharau kabisa
Ukitaka uamini hili Madrid huwa wanatufunga sababu hawana dharau kabisa
Hatutaki kuishi kuhofia yajayo tunakula good time kwa sasa hayo yajayo yatajulikana maana hata jana ungeniambia nashinda 7 juu ningekwmabia uamke upo ndotoni.Nyie nao msijisahau sana, kuanzia wiki ijayo mnarudi kwenye hali yenu ya kutembelea mkongojo.
Huo moto wa jana inabidi mumpelekee na arsenyau akikatiza pua lake pale anfield, piga fyekelea mbali.Hatutaki kuishi kuhofia yajayo tunakula good time kwa sasa hayo yajayo yatajulikana maana hata jana ungeniambia nashinda 7 juu ningekwmabia uamke upo ndotoni.
Hii ni EPL mzee baba muda wowote upepo unageukaga hivyo mtuache tule good times, tumeteswa sana, matusi sana, utani kwa sana, nk lakini jana tumetoka kifua mbele kwa kipigo halali kitakatifu bila zengwe.
Scoring 7 past Manchester United is sweet man yaaani utamu kama utamu...
Bado wewe jitahidi yasikukute
Hatutaki kuishi kuhofia yajayo tunakula good time kwa sasa hayo yajayo yatajulikana maana hata jana ungeniambia nashinda 7 juu ningekwmabia uamke upo ndotoni.
Hii ni EPL mzee baba muda wowote upepo unageukaga hivyo mtuache tule good times, tumeteswa sana, matusi sana, utani kwa sana, nk lakini jana tumetoka kifua mbele kwa kipigo halali kitakatifu bila zengwe.
Scoring 7 past Manchester United is sweet man yaaani utamu kama utamu...
Bado wewe jitahidi yasikukute
To all Liverpool fans cheers![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mmevumilia mengi msimu huu
YNWA
Hivi kumbe Arsenal anakuja machijioni maana pale mahala sio salama sana kwa timu pinzani... Katika mechi 90 EPL tumepoteza mechi moja tu hivyo inabidi kujipanga sana kupata matokeo pale.Huo moto wa jana inabidi mumpelekee na arsenyau akikatiza pua lake pale anfield, piga fyekelea mbali.
But wait captain, pale etihad una point zangu 3 nakudai si unalijua hilo?