Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Pigaaaaaaaaaaa sana tu..
Liverpool baba lao
Salah baba lao
Cody baba lao
Nunez baba lao
Firmino baba lao
Klopp kiboko yaooooo.
YNWA
View attachment 2538947
Captain Chaos anasema nani anabishaaa....
OllaChuga Oc you are next brother.
YNWA
Kabisa Mkuu sie letu moja Big four na hatutanii.
Spurs na Newcastle moto kama gari ya dizeli wakati wa baridi.
Msimu huu ushindi wetu ni kumchapa Manchester United rekodi ya magoli 7 hii sio haba na ni tamu ajabu.
YNWA
Chelsea magoli yamekata utadhani maji ya mgao yaaani tupia Auba, 007,Felix,Sterling nk matokeo ni yale yale...Huyu jamaa akitengezewa Timu yenye Midfielders wa kutengeneza pasi za Mwisho basi anaweza kufunga Magoli mpaka mengie tugawagawia na Chelsea angalau wamalize nafasi ya 8 na sio ya 12.
View attachment 2539125
Tukumbushane tu hapo Diaz haukuwepo na mambo ndio kama mlivyoona wale wageni kimyaa mtaani amani sana.
YNWA
Mpaka sasa hatunao Ox, Keita, Milner, Firmino, Adrian hao angalau asilimia kubwa sana wanasepa ili kupisha wengine wanunuliwe waje kuanzisha tena mapambano.Nafasi ya 4 tayari tunayo sasahivi kilichobakia tunafanya Mazoezi tu kwa ajili ya Msimu ujao na kiwaanga hawa Magarasa waliopo.
Aisee ni changamoto yenye afya kwa maslahi mapana ya Liverpool na kwa kua watapata dakika za kutosha na mechi pia ni nyingi na ndio maana Uefa msimu ujao lazima tucheze..Salah + Nunez + Gakpo + Diaz + Jota
👆 Hii nayo ni Changamoto nyengine wawili lazima wawe Supersub hivyo ni juu yao kupambana ili wazuie namba
Chelsea magoli yamekata utadhani maji ya mgao yaaani tupia Auba, 007,Felix,Sterling nk matokeo ni yale yale...
Captain Chaos ana hatari sana imemchukua muda kiasi kueleweka lakini anakaribia kua anakotaka Klopp especially kwenye converting chance anazopata kua magoli maana hilo ndio pekee linalokosekana.
YNWA
Kwa kua Klopp bado hana silaha za kuleta pasi za magoli kutoka Midfield naamini dirisha la usajili litaegemea kuleta wachezaji wenye jicho la pasi mpasuo design kama Debruyne ili huyu dogo sasa ang'are vyema pale mbele...Next season asipopata injury atakuwa leading goal scorer wa EPL ahead of Halaand.
Liva huwa hawapendi dharau kabisa aiseeView attachment 2539236
Hivi kweli eee.
ETG kawauza jamaa kuwaaminisha Anfield ni kama uwanja wa London Stadium ama Goodison Park kumbe hakujua hapa ni machijioni orijino.
YNWA

hayapendi dharau kabisa