Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,446
- 32,863
Jana ilikua kwanza kujiweka sawa pointi na goal difference kuisaka Top 4 na hilo limefanikiwa with a bonus ya goli 7 kwa sufuri...Nlkwambia you had to dream about bernabeu and you have to believe tunaweza tusishinde
But Atleast we have shown them some respect
Kuwafunga Manchester United goli 7 wakiwa kwenye momentum ujue ni big plus plus kwetu. Sasa kazi kwa Klopp kuhakikisha viwango vya wachezaji wetu vinabakia pale pale kwa kumaliza ligi kwa kishindo.
YNWA