Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Michezo 8 ya Liverpool na Manchester United katika dimba la Anfield
2-0
0-0
0-0
3-1
2-0
0-0
4-0
7-0
Liverpool 18-1 United on aggregate.
⚽
⚽
soka bhana
Mara ya mwisho United kupata ushindi pale Anified Rooney alikuwa bado anaichezea united. Ashley Young, chriss smalling Mateo Damian, Lingardinho, Juan Mata walikuwa bado wapo united. Kabaki De gea tu. Wengine washaacha soka.
 
Matumaini yamerudi. Sio kwa sababu ya game ya leo. Tangu tulipocheza na Real Madrid tulicheza vizuri. Sema Madrid walituzidi. Tutaenda Uefa tena. Nina uhakika kwa % nyingi Spurs, Newcastle hawawezi kumaliza ligi wakiwa juu yetu. Labda Brighton wanaweza kutusumbua.
Kwa pira tulilopiga leo
Pira 5G,hakuna kima yeyote atatufunga
 
Nunez sikuwahi kukata tamaa naye kwa zile chances missed zake. Niliamini mpaka mwisho kuondoka kwa Mane halikuwa pengo la kufanya tudrop vile.

Kama vile niaminivyo Klopp ataturudisha kwenye ramani ya mpira tena, licha ya madhaifu yake, he is still the best.

Best us towards our coming matches.

Speechless today, happy joyous, FURAHA teeeeeeele. Thank You Boys you gave us words to speak, kifua mmetutunishia.

Ukiwa na furaha sana usionge sana.

Goodnight Guys.

YNWA
 
Saivi naishi maisha magumu sana mkuu apa nasubiri msimu uishe tu nianze kutamba tena
Tuliwaambia lakini GP siyo kocha,
Mkasema sijui mbele kwa mbele

Pamoja na kujaza benchi kama siafu,ila hakuna kitu amefanya..timu linaenda poromoka huko darajani

Sisi tukijaza benchi vile,hakuna timu itatamani kucheza na sisi.
Itakuwa kichapo bandika bandua.
 
Tuliwaambia lakini GP siyo kocha,
Mkasema sijui mbele kwa mbele

Pamoja na kujaza benchi kama siafu,ila hakuna kitu amefanya..timu linaenda poromoka huko darajani

Sisi tukijaza benchi vile,hakuna timu itatamani kucheza na sisi.
Itakuwa kichapo bandika bandua.
Kisa jana mumemjaza mutu bao saba 🤣🤣
Sisi tatizo ni kocha tu ila tukituliya mutajuta kutujuwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom