Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

334946954_759776648840440_7664481301984794252_n.jpg
Alikuwa anaenda kumshtua De gea wasepe zao mpira umewashinda
 
Bobby kaangalia maslahi mapana ya Liverpool hakua mbinafsi na baada ya kuona tupo kwenye mikono salama ya Nunez, Jota na Gakpo ameamua kuodoka zake akacheze kwingine na amegoma kuanzisha mazungumzo yoyote na timu yoyote ile mpaka ligi iishe kwa kuheshimu mkataba wake na Liverpool...

YNWA
Dah
Kuna mijitu ya kina Milner hata haiangalii maslahi mapana na timu

Bobby hata akibaki angalau ana kitu cha kutupa
 
Arsenal alitufunga OT na sio kwamba alimiliki mchezo ,akaongea shombo ,

View attachment 2538599
Kile Kipara atakikuna sana leo na maswali mengi bila majibu.

Uzuri wa EPL haina matokeo ya kujipa kichwa utaona Manchester City anatoa sare Nottingham Forest na Liverpool anachapwa na Leeds nyumbani yaaani EPL ni habari nyingine kabisaa.

YNWA
 
Klopp leo apewe tu 10 zote

Leo jamaa ametuprove wrong tuliokuwa tumekata Tamaa
Matumaini yamerudi. Sio kwa sababu ya game ya leo. Tangu tulipocheza na Real Madrid tulicheza vizuri. Sema Madrid walituzidi. Tutaenda Uefa tena. Nina uhakika kwa % nyingi Spurs, Newcastle hawawezi kumaliza ligi wakiwa juu yetu. Labda Brighton wanaweza kutusumbua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom