Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hili litimu nimeachana nalo mpaka siku nisikue FSG au klop mmoja au wote wametimka
Akitimka Klopp anaweza kuja Graham Potter 😁

0_GettyImages-1350223223.jpg
 
2018 mulibamizwa mukasema Salah hakuwepo 😂😂
2022 tena mukaliwa kichwa na Salah alikuwepo ila Ramos hakuwepo.
Leo tena Anfield “kiwanja kigumu hatoki mtu pale “ hahaha mumekula hamsa 🤣🤣🤣🤣

Jumla kwa hizi mechi tatu tu na madiris munechezea bao tisa.
Yani kama ni mkongo basi Madirid waliwapakia haswa. Mulikula nauli yao nini 🤣🤣🤣🤣
 
Nilijua kinachofuata [emoji23][emoji23][emoji23]

Sisi ni wabovu na klopp ni mpuuzi mmoja aliyekataa kusajili kuamini team yake ni nzima na kuamini maajabu yapo kwake milele

YNWA nyoko nyoko [emoji23][emoji23] now we are walking alone mazafaken
[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom