Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,467
- 14,618
Amkeni jamani
FSG mitano tenaHili litimu nimeachana nalo mpaka siku nisikue FSG au klop mmoja au wote wametimka
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unategemea nini beki Gomez huku pale kati una mvinyo wa Urusi aka Modric....Captain Marvelous kwema? Ile hoteli aliyowaambia klopp msha book tayari?
Yule kivuruge Saint Anne yupo kweli? Embu njoo ugonge hata like nijue bado uko hai sis.
choza choza nimeona unataka ulikimbie hili timu lako, hehehehee njoo pale city tu maana klopp & FSG are there to stay.
Itabidi atu refund hela zetu sisi tulio book hotelUnategemea nini beki Gomez huku pale kati una mvinyo wa Urusi aka Modric....
Nilisema vyema enjoy while you can kwa sababu pale Liverpool tuna walevi wa sifa nyingi nyingi za kitambo wakati sisi tunataka sasa.
Nipo wala siedi kokote.. I have seen worse bro...
Anfield kupigwa 5 huku wenyewe tukijitapa twataka revenge ni aibu ya karne mkuu... Mwenye kibali cha kupiga 5 hua ni Arsenal wengine wanatuonea tu...
YNWA

Mimi sijapoteza muda wangu kuangalia mechi ambayo matokeo yake nishakuwa nayo mkononi hata kabla ya mechi.
Liverfool
We are fool
We are poor
We are stupid.
Liverfool
Liverpoor

Nikutumie jezi ya United??IMAGINE BEING USMimi sijapoteza muda wangu kuangalia mechi ambayo matokeo yake nishakuwa nayo mkononi hata kabla ya mechi.
Liverfool
We are fool
We are poor
We are stupid.
Liverfool
Liverpoor
Huyo ndiye anapenda kusema anataka revengetungeshinda wangemweka salah kwenye cover? wabaguzi kabisa hawaView attachment 2525838
Kuna vitu havitakiwi kutushangaza. Liva ikiwa inajihesabia ni bora kabisa ikapigwa 7 na Villa, so hizi 5 na mnavyotapatapa mi sioni kama tunatakiwa kushangaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unategemea nini beki Gomez huku pale kati una mvinyo wa Urusi aka Modric....
Nilisema vyema enjoy while you can kwa sababu pale Liverpool tuna walevi wa sifa nyingi nyingi za kitambo wakati sisi tunataka sasa.
Nipo wala siedi kokote.. I have seen worse bro...
Anfield kupigwa 5 huku wenyewe tukijitapa twataka revenge ni aibu ya karne mkuu... Mwenye kibali cha kupiga 5 hua ni Arsenal wengine wanatuonea tu...
YNWA
Liverkuku amekufa kifo cha mendeIMAGINE BEING US View attachment 2525967View attachment 2525968
Hata Milner haguswiCarragher mnafiki anamshambulia Van Dijk badala ya Muingereza mwenzake Gomez
Timu Kila mwaka inatufunga tutaiwezea wapi?Ila Madrid wanatembeza boli mazee sio masiara. Kikosi chetu hakiiwezi Madrid aisee
Ila utashangaa hasemwi na yeyoteIf it was north korea...Gomez would be liquidated
Hotel ya nyoko
Sasahivi tupo kwenye kiwango cha manure mlichokuwa nacho last season.Nikutumie jezi ya United??
HahaCaptain Marvelous kwema? Ile hoteli aliyowaambia klopp msha book tayari?