Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,452
- 32,882
Enjoy while you can
YNWA
YNWA
Mane aliongea hiyo kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha hizo aiseeGomez hua lazima afanye jambo cha msingi apewe presha ndogo tu na utaona akiweweseka.. Henderson huyu hata sina neno ni kiongozi kama Kapteni alisema Mane ila uwanjani ni zuzu yupo yupo.
YNWA
Mane alishia kusema ni kiongozi bora kabisa akimaanisha Best Captain... Hayo ya zuzu nimeongeza mimi kwa kua sina cha uongozi wala nini zaidi ya Henderson kupambwa...Mane aliongea hiyo kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha hizo aisee
Tayari kimenukaNgoja tuone 2nd Half Leo tutalala na viatu
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona tunaenda kurudi kwenye fom sasa.
Poa poaThis is Liverpool we know dadeki [emoji23]
SurelyNaona tunaenda kurudi kwenye fom sasa.