ivan1212
JF-Expert Member
- Mar 4, 2019
- 937
- 2,459
Game ya napoli wanaonesha channel namba ngapi dstv?Kuna mwenye stream ya mechi ya Leo. Maana super sport zetu zitaonyesha mechi ya napoli
Game ya napoli wanaonesha channel namba ngapi dstv?Kuna mwenye stream ya mechi ya Leo. Maana super sport zetu zitaonyesha mechi ya napoli
Download burma tv app na u-enjoy mubashara bila chenga ni mb zako tuKuna mwenye stream ya mechi ya Leo. Maana super sport zetu zitaonyesha mechi ya napoli
223 au ss3Game ya napoli wanaonesha channel namba ngapi dstv?
Naona zipo nyingi playstore nashindwa kujua ipi ni ipiDownload burma tv app na u-enjoy mubashara bila chenga ni mb zako tu
iyo inayoishia proNaona zipo nyingi playstore nashindwa kujua ipi ni ipi
Naona Nunez niKikosi cha leo vs Real Madrid
View attachment 2525632
Substitutes
7 J Milner
8 N Keita
9 R Firmino
13 Adrián
15 A Oxlade-Chamberlain
17 C Jones
19 H Elliott
20 D Jota
21 K Tsimikas
28 F Carvalho
32 J Matip
62 C Kelleher
YNWA

Namm nilale tu maana naona 2:2 huko.For few minutes nmeiona Liverpool yetu ya msimu wa 2019 nlale Sasa matokeo ya mbili moja yananitosha mengine mtayajua wenyewe
Yuko fire sana dogo... Taratibu anaanza kueleweka hata Saint Anne sasa anasema Nunez anatosha🤣🤣Naona Nunez ni![]()
For few minutes nmeiona Liverpool yetu ya msimu wa 2019 nlale Sasa matokeo ya mbili moja yananitosha mengine mtayajua wenyewe

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii timu yetu bhana huwezi kujua wanakupa nini mechi husika...binafsi msimu huu napokea kila matokeo kwa mikono miwili bila chenga wala nini...For few minutes nmeiona Liverpool yetu ya msimu wa 2019 nlale Sasa matokeo ya mbili moja yananitosha mengine mtayajua wenyewe
Henderson na Gomes wamechomesha goli zote mbili.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii timu yetu bhana huwezi kujua wanakupa nini mechi husika...binafsi msimu huu napokea kila matokeo kwa mikono miwili bila chenga wala nini...
Cha msingi Klopp akumbuke kwamba alituahidi tiketi kwenda kucheza fainali hivyo kazi kwao na vijana wake.
YNWA
Sawa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii timu yetu bhana huwezi kujua wanakupa nini mechi husika...binafsi msimu huu napokea kila matokeo kwa mikono miwili bila chenga wala nini...
Cha msingi Klopp akumbuke kwamba alituahidi tiketi kwenda kucheza fainali hivyo kazi kwao na vijana wake.
YNWA
Gomez hua lazima afanye jambo cha msingi apewe presha ndogo tu na utaona akiweweseka.. Henderson huyu hata sina neno ni kiongozi kama Kapteni alisema Mane ila uwanjani ni zuzu yupo yupo.Henderson na Gomes wamechomesha goli zote mbili.