Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Gomez should stay.

We need to sell Matip and bring in a young CB.

Mabadiliko makubwa, yatafanyika kwenye eneo la MF, tunahitaji si chini ya £200m kwenye hilo eneo.

Na pia yanaweza yasifanyike kama Klopp hatopata funds kutoka kwa FSG.

Inasemekana kuwa, tulishatenga funds za Jude tangu last year, na Dortmund hawatamuachia Jude, kwa si chini ya £100m, na apart from Jude tunahitaji another 2 solid MFs, ambao kwa pamoja wanaweza. ku-cost si chini ya 90-100m.

Then tutahitaji few tweaks, kwenye backline, na kwenye upande wa RW.
Mkuu huyu Gomez ni failure aisee tangu apone hana ishu.. Akicheza na Matip janga akicheza na VVD pia janga sasa huyu kwa vile ana resale value naona pale Leicester ama Crystal Palace panamfaa angalau tupate pesa kiasi tutue mazima kwa Duje Caleta-Car pale South Coast especially kama wakishuka daraja na yule mwenzie Mohammed Salisu hawa wawili wanafaa sana kua replacement ya Matip na Gomez binafsi nimechoka nao haiwezekani tutegemee kupambana mazima na tuna beki ile huku VVD umri ukizidi kumpanguza ubora.

YNWA
 
View attachment 2524487
View attachment 2524490
Aisee huyu dogo Bajectic kwa kweli ameeleweka mpaka kwa wenye timu baada ya kuona dogo anawaokolea mapene ya kutosha kuingia sokoni hatimae FSG wasema hawauzi mazima klabu mbali wanauza hisa kadhaa.

Je nini kimepelekea jamaa kubadili msimamo au je hii ni danganya toto ama huu ushindi wa Newcastle na Everton umewapa ahueni kwamba tunaingia Big 4 ili kushiriki UCL na hatimae kuambulia pesa za Uefa msimu ujao...

Mambo ni mengi muda ni mchache.

YNWA
Hakukuwa na danganya toto, waliiweka club sokoni, but kwa £4bn, ilikuwa ngumu kwa kwa buyers ku-meet hiyo asking price, offers zilizopo nadhani nyingi sana zitakuwa zimeishia kwenye £2.5-stretching 3bn, kwa mtu kama JWH ambaye anajulikana kuwa ni very greedy bussinesman, ingekuwa ngumu sana kwake kukubali kuiachia club kwa kiasi hicho.

Na niliona, kutakuwa na ugumu tu wa kuuza, baada ya JWH ku-demand kwa waarabu £2bn kwaajili ya minor stake, 30%-40% ownership, hakuna mfanyabiashara anayeweza kukubali, huo upuuzi.

Wanachotaka FSG, kama full sale imeshindikana, wapate mtu ambaye atanunua 40% ya club, na kusimamia expenses zote za usajili, huku akiwa hana SAY ya mwisho kuhusu umiliki wa team, na at the same time, wenyewe wawepo tu wanakula faida, hakuna mtu anaweza fanya hiki kitu brother, ni suala la FSG kuwa greedy tu, na kama walikuwa hawataki kuuza, hakukuwa na haja ya kutoa taarifa kwenye vyombo vya habari, ni kitu ambacho kiliharibu mpaka utayari wa wachezaji kwenye dressing room.

Kwasasa, wanatafuta investors, ni kama suala lile la Redbird, linaweza kuwa tofauti kwasababu Redbird waliwekeza kwa FSG, nadhani ilikuwa ni zaidi ya £500m, but FSG waliipa club hata shilingi mia kwenye huo uwekezaji? NO, na redbird waliwekeza FSG kipindi kile tunahitaji sana players, lakini hawakuweka hata sent tano kwenye club.

Watu hawajui, implications za kubaki na FSG beyond this summer, YES kwa maneno ya Klopp na JWH jana, it seems funds za kuspend this summer zitakuwepo, (kutoka kwa investors), but what about NEXT summer? au tutasubiria tena baada ya miaka zaidi ya SITA kuspend tena? FSG havent really backed Klopp for nearly 7 years, nasema kila siku, big purchases zote zilizofanyika at LFC, ni baada ya kuuza big players, from Torres, Suarez, Sterling, Coutinho to Mane, na its astonishing maana big summer yetu ilikuja baada ya kumuuza Coutinho for 145m, owner ambaye anatafuta investors kwaajili ya a summer rebuild, huyo siyo good owner, it means hana uwezo wa ku-compete na big boys kwenye market.

Man City, wanajiandaa kwaajili ya a simple rebuild in the summer, but huoni wakihangaika kutafuta investors, na hata kama tuki-spend BIG this summer, ni lazima club itakuja kujikuta kwenye same duara kama hili tunalopitia sasa, tunahitaji owners ambao hawatohitaji kuuza big players ili kununua wachezaji wapya, na most of all, tunahitaji owners ambao hawatokuwa wanakimbilia kwa investors pale suala la kuuza big players linavyokuwa gumu.
 
Mkuu huyu Gomez ni failure aisee tangu apone hana ishu.. Akicheza na Matip janga akicheza na VVD pia janga sasa huyu kwa vile ana resale value naona pale Leicester ama Crystal Palace panamfaa angalau tupate pesa kiasi tutue mazima kwa Duje Caleta-Car pale South Coast especially kama wakishuka daraja na yule mwenzie Mohammed Salisu hawa wawili wanafaa sana kua replacement ya Matip na Gomez binafsi nimechoka nao haiwezekani tutegemee kupambana mazima na tuna beki ile huku VVD umri ukizidi kumpanguza ubora.

YNWA
Harsh on Gomez.

Msimu huu kwenye games zote kubwa, ame-perform vizuri.

Gomez ana tatizo la concetration, hence huwa anahitaji leader pembeni yake, Matip is not a leader, na isitoshe Matip msimu huu umekuwa m-baya sana kwake, i think zile injuries za mara kwa mara, zimeanza kuwa na effect kwa upande wake.

VVD + Gomez ni good partnership, mpaka. Konate atakaporudi, na pia Konate + Gomez ni very good partnership, wamecheza mechi kadhaa msimu huu, na wame-produce positive feedback, Gomez huwa anakuwa lost-cause akicheza na Matip.

kuwa na Gomez kama 4th choice, ni very ideal, na pia Gomez can cover at RB.

Hatuwezi kuuza kila young player brother, kwenye backline anayetakiwa aanze kuondoka ni Matip.
 
High expenses not a good way in my opinion It happened we when we landed Salah and Mane for less than £40 and Jota for less than £50 with few exceptions of VvD and Allison

Buying just a single Midfielder for a long time was none other than poor Prioritizing by Klopp

cc: MosDef
Form aliyokuwa nayo Salah wakati yupo Italy ilikuwa ni zaidi ya Khavcha & Leao, but now hawa players wote quoted price yao si chini ya €100m.

Suala ni kuwa yule Salah tuliyemnunua kipindi kile, kwasasa asingekuwa anagusika, same kwa Sadio Mane, huwezi kwenda na 30m at Newcastle kwaajili ya Saint-Maxmin, au Cystal Palace wakupe Olise for 30m, Brighton wakupe Mitoma for 30m etc, Antony Gordon wa Everton kaenda Newcastle for £45m, Market haipo the same now.

Tulikuwa na nafasi ya ku-sign players kama Jota, Diaz etc kwasababu, kama nilivysema huko mwanzo, kuwa tulikuwa tayari na WC stars kwenye team (Mane/Firmino/Salah), so hakukuwa na haraka ya kina Jota ku-deliver, ujio wa Jota & Diaz at LFC ulikuwa tofauti na wa Nunez & even Gakpo, tena ilikuwa mbaya kwa Nunez, maana alikuwa anakosolewa kila. kukicha, because fans walikuwa wanahitaji a-deliver, ingekuwa ni case tofauti kama Nunez angekuja LFC bila. Mane kuondoka, it means kusingekuwa na pressure, but ishu yake ilikuwa ni tofauti.

Then, forget about our Striking force, summer hii tunahitaji kufanya re-build kwenye MF, hatuwezi kuanza kununua wachezaji wa mafungu (5m-10m) kwaajili ya MF rebuild, utakuwa ni upuuzi, our MF ilikuwa jalala kabla ya Fabinho, humu ndani tulikuwa tunatukanwa kila siku kuhusu kukosoa kiungo chetu, but MF yote ilikuwa transformed tulivyoleta a £50m Fabinho, signing ya Fabinho ili-raise game-play ya Henderson and Gini, we won TROPHIES, the we got Thiago, yes we signed him for 20m kwasababu alikuwa yuko mwishoni mwa mkataba wake na Bayern, but Thiago yupo kwenye tatu bora ya wachezaji wanaolipwa mshahara mkubwa at LFC (Salah, VVD, Thiago), na we ALMOST won every single trophy last season, Thiago gave us another dimension, sasa now unaona Fabinho anavyo-struggle, Henderson ana-struggle, Thiago is getting older, na bado unataka tu-sign players wa MAFUNGU ambao wakija bado watakuwa wanategemea kushikwa mikono na kina Fabinho? really? tunahitaji players ambao wakija, watamwambia Fabinho "you've done a GOOD job, now rest, let me take it from here", we need players ambao watakuwa ready ku-transform our MF.

Kwenye our attacking, kuna young bloods kama Jota, Diaz, Nunez, Gakpo etc, so unaweza sema mpe time Keito Nakamura (Kama tukim-sign), but what about our MF? tuna nafasi ya kumpa mchezaji time?

Klopp wants Jude, i dont care ni kiasi gani ata-cost, but he deserves to be backed, Jude is 19, watch him at Dortmund, utaelewa why Klopp is obsessed with him, the last time Klopp alikuwa obsessed na mchezaji namna hii, alikuwa ni Virgil Van Djik.

Then, suala la ku-sign 1 MF for the last 8-10 windows, siyo la Klopp, tusiwatetee FSG please, i've personally blamed Klopp kwa blunder ya last summer (turning down Nunes), but for the past 4-5 years, it was on FSG, tunasahau kuwa FSG gave Klopp Ben Davies & Ozan Kabak kwenye ile january transfer window ambayo tulikuwa na crisis ya CBs injuries, na Potential WC CBs kama Sven Botman walikuwa AVAILABLE, and Klopp was crying kwenye medias kuwa anahitaji CBs, FSG walifanyaje? fund cheap loan deal ya Kabak, na kununua a championship CB, mind you we were competing in the CL, and we were on top of the league that Christmas day, but FSG thought Kabak & Davies wangefanya tuendelee ku-compete.

Then, this January, they gave Klopp £40m, Ward alikuwa. kishaongea na Camps za Caicedo na Enzo, but yeah, FSG sunctioned £40m, as if it was enough to buy Caicedo or Enzo, and Klopp WANTED a MF this january, walim-back? NO.
 
You cant compete with the big boys kwa mtindo huu, Klopp amefanya maajabu kwa muda mrefu sana, but this stupidity cant continue.

20230220_220430.jpg
 
As it stands, there are 3 concrete offers on the table, 2 offers za a full takeover na 1 offer ya minority stake

It remains to be seen, kama hizo offer ni enough kwa FSG, as kwenye suala la full takeover JWH wants a LOT of money, na kwenye suala la minority stake, JWH still wants a full control, main reason ya watu wa Qatar ku-withdrew offer yao.

Bado mapema sana, na kuna mawili FSG wanaweza ku-buy sometime as hakuna real pressure kutoka kwa fans ya kuwaondoa, as they are still heavily backed by SOS and local fans, AU wakapata offer ambayo hawataweza kuikataa, but either-way, wawepo au wasiwepo, Klopp needs to be backed in the summer, tunahitaji kama £250m kui-reshape team.
Hiyo £250 m anaitoa wap sasa
 
Hakukuwa na danganya toto, waliiweka club sokoni, but kwa £4bn, ilikuwa ngumu kwa kwa buyers ku-meet hiyo asking price, offers zilizopo nadhani nyingi sana zitakuwa zimeishia kwenye £2.5-stretching 3bn, kwa mtu kama JWH ambaye anajulikana kuwa ni very greedy bussinesman, ingekuwa ngumu sana kwake kukubali kuiachia club kwa kiasi hicho.

Na niliona, kutakuwa na ugumu tu wa kuuza, baada ya JWH ku-demand kwa waarabu £2bn kwaajili ya minor stake, 30%-40% ownership, hakuna mfanyabiashara anayeweza kukubali, huo upuuzi.

Wanachotaka FSG, kama full sale imeshindikana, wapate mtu ambaye atanunua 40% ya club, na kusimamia expenses zote za usajili, huku akiwa hana SAY ya mwisho kuhusu umiliki wa team, na at the same time, wenyewe wawepo tu wanakula faida, hakuna mtu anaweza fanya hiki kitu brother, ni suala la FSG kuwa greedy tu, na kama walikuwa hawataki kuuza, hakukuwa na haja ya kutoa taarifa kwenye vyombo vya habari, ni kitu ambacho kiliharibu mpaka utayari wa wachezaji kwenye dressing room.

Kwasasa, wanatafuta investors, ni kama suala lile la Redbird, linaweza kuwa tofauti kwasababu Redbird waliwekeza kwa FSG, nadhani ilikuwa ni zaidi ya £500m, but FSG waliipa club hata shilingi mia kwenye huo uwekezaji? NO, na redbird waliwekeza FSG kipindi kile tunahitaji sana players, lakini hawakuweka hata sent tano kwenye club.

Watu hawajui, implications za kubaki na FSG beyond this summer, YES kwa maneno ya Klopp na JWH jana, it seems funds za kuspend this summer zitakuwepo, (kutoka kwa investors), but what about NEXT summer? au tutasubiria tena baada ya miaka zaidi ya SITA kuspend tena? FSG havent really backed Klopp for nearly 7 years, nasema kila siku, big purchases zote zilizofanyika at LFC, ni baada ya kuuza big players, from Torres, Suarez, Sterling, Coutinho to Mane, na its astonishing maana big summer yetu ilikuja baada ya kumuuza Coutinho for 145m, owner ambaye anatafuta investors kwaajili ya a summer rebuild, huyo siyo good owner, it means hana uwezo wa ku-compete na big boys kwenye market.

Man City, wanajiandaa kwaajili ya a simple rebuild in the summer, but huoni wakihangaika kutafuta investors, na hata kama tuki-spend BIG this summer, ni lazima club itakuja kujikuta kwenye same duara kama hili tunalopitia sasa, tunahitaji owners ambao hawatohitaji kuuza big players ili kununua wachezaji wapya, na most of all, tunahitaji owners ambao hawatokuwa wanakimbilia kwa investors pale suala la kuuza big players linavyokuwa gumu.
I like the way Gary Neville has been really vocal kuwa dis Glazer family at point blank kwamba hawatakiwi kubaki pale Stretford End kwa sababu kama walivyo FSG hawa Yankees ni makupe wanazinyonya hizi timu kwa manufaa yao binafsi...

Kimsingi hili suala la kuuza Liverpool limesemwa in all ways left and right kwamba ule mfumo wao sell high and reinvest the sales back to the club ilikua ina mwisho wake kwanza main clients Barcelona na Real Madrid went bust na pia ikaja Corona mpaka hapo ilitakiwa FSG aidha wauze klabu ama waamue sasa kuwekeza kwa kujenga kikosi cha kushindania makombe huku revenues zikiongezeka kwa kua itakua more games on the way nk lakini wamiliki wetu walivyo waajabu waliwekeza tu kwa imani kwa Klopp na wazee wake majeruhi bila FSG kuelewa washindani wetu Manchester United, Arsenal na Chelsea has been trash for a few years na badala FSG wamsapoti Klopp to mount real fight with Manchester City walitulia tuli expecting Klopp miracles mwisho wake 7 years Klopp ana just 1 EPL to brag na hio kwangu regardless ya any achievement is under achievement kwa Klopp na FSG... Tazama Manchester City waliona fursa kutwaa EPL trophies kwa spidi kali na jamaa hawarudi nyuma walijipanga vyema buying right players and keeping the right players lakini sisi we let go right players and kept the wrong players huku data ikiwa ignored in making conclusions yanayotukuta leo sio kwa bahati mbaya ni failing under our very own making...

Coutinho ndio mwanzo wa mabadiliko Liverpool mauzo yake yalibadili kabisa mustakabali wa hii klabu kwa miaka kadhaa iliyopita lakini kwa kua tuna wamiliki wa binafsi kama FSG tumejikuta tumefika hapa tunafungwo na Brighton twice bila pa kujificha tena hata kabla ya mechi tu tukijua fika tunapigika nwa kila zama zina mwisho...

Bila FSG kuuza hatuna chetu tena EPL kwa sababu Chelsea is matter of time waanze kuelewana, Manchester United are ahead of thier rebuilding, Arsenal well buying really smart, Newcastle are a force in the making na Tottenham nao muda wowote wanapata mwekezaji awabusti kipesa waweza kushindana vyema na Manchester City being em will keep on pumping cash to remain the major threat... Sasa mpaka unadhani uwekezaji unaotakiwa Liverpool ni huu wa FSG wa kutegea kwa kweli tutakua na hali mbaya kuliko sasa huku kikosi kikizidi kuchoka umri wa main starters umesogea parefu...

We need a miracle FSG wabadili mawazo wauze tu.

YNWA

YNWA
 
Harsh on Gomez.

Msimu huu kwenye games zote kubwa, ame-perform vizuri.

Gomez ana tatizo la concetration, hence huwa anahitaji leader pembeni yake, Matip is not a leader, na isitoshe Matip msimu huu umekuwa m-baya sana kwake, i think zile injuries za mara kwa mara, zimeanza kuwa na effect kwa upande wake.

VVD + Gomez ni good partnership, mpaka. Konate atakaporudi, na pia Konate + Gomez ni very good partnership, wamecheza mechi kadhaa msimu huu, na wame-produce positive feedback, Gomez huwa anakuwa lost-cause akicheza na Matip.

kuwa na Gomez kama 4th choice, ni very ideal, na pia Gomez can cover at RB.

Hatuwezi kuuza kila young player brother, kwenye backline anayetakiwa aanze kuondoka ni Matip.
Gomez hajiamini napata wasiwasi sana dogo akiwa on pressure na kimbaya zaidi anacheza upande wa Trent ambae msimu huu imeonyesha udhaifu mkubwa sana ku defend yaaani hali ni tete sana kwa combination ya Trent Gomez... Hatuwezi kua na mchezaji wa big games alone ndio ana shine huku timu ambazo sio big games zikiwa ndio nyingi ina maana ata perfom tu kwenye mechi chache sana zenye pointi chache sana huku akiache mechi nyingi zenye pointi nyingi tunapoteza...

Solid defence win titles and that proven fact.. Nina amini hata Alison hua anakua na wasi wasi kumuona Gomez kwenye starting line up haha japo at times inakua ni yeye tu hakuna mwingine lakini huyu hapana nwa akiwa chaguo la nne ni sawa tu atulie ila ikija ofa ya maana wauze tu wapo wachezaji huko wenye ubora kuliko huyu mwamba...

Matip nae ni wale wale kwa sasa sijui wamepeleka confidence wapi yaaani game ya Brighton twice na Brentford ndio nilijua bila VVD hatuna chetu pale nyuma.

YNWA
 
I like the way Gary Neville has been really vocal kuwa dis Glazer family at point blank kwamba hawatakiwi kubaki pale Stretford End kwa sababu kama walivyo FSG hawa Yankees ni makupe wanazinyonya hizi timu kwa manufaa yao binafsi...

Kimsingi hili suala la kuuza Liverpool limesemwa in all ways left and right kwamba ule mfumo wao sell high and reinvest the sales back to the club ilikua ina mwisho wake kwanza main clients Barcelona na Real Madrid went bust na pia ikaja Corona mpaka hapo ilitakiwa FSG aidha wauze klabu ama waamue sasa kuwekeza kwa kujenga kikosi cha kushindania makombe huku revenues zikiongezeka kwa kua itakua more games on the way nk lakini wamiliki wetu walivyo waajabu waliwekeza tu kwa imani kwa Klopp na wazee wake majeruhi bila FSG kuelewa washindani wetu Manchester United, Arsenal na Chelsea has been trash for a few years na badala FSG wamsapoti Klopp to mount real fight with Manchester City walitulia tuli expecting Klopp miracles mwisho wake 7 years Klopp ana just 1 EPL to brag na hio kwangu regardless ya any achievement is under achievement kwa Klopp na FSG... Tazama Manchester City waliona fursa kutwaa EPL trophies kwa spidi kali na jamaa hawarudi nyuma walijipanga vyema buying right players and keeping the right players lakini sisi we let go right players and kept the wrong players huku data ikiwa ignored in making conclusions yanayotukuta leo sio kwa bahati mbaya ni failing under our very own making...

Coutinho ndio mwanzo wa mabadiliko Liverpool mauzo yake yalibadili kabisa mustakabali wa hii klabu kwa miaka kadhaa iliyopita lakini kwa kua tuna wamiliki wa binafsi kama FSG tumejikuta tumefika hapa tunafungwo na Brighton twice bila pa kujificha tena hata kabla ya mechi tu tukijua fika tunapigika nwa kila zama zina mwisho...

Bila FSG kuuza hatuna chetu tena EPL kwa sababu Chelsea is matter of time waanze kuelewana, Manchester United are ahead of thier rebuilding, Arsenal well buying really smart, Newcastle are a force in the making na Tottenham nao muda wowote wanapata mwekezaji awabusti kipesa waweza kushindana vyema na Manchester City being em will keep on pumping cash to remain the major threat... Sasa mpaka unadhani uwekezaji unaotakiwa Liverpool ni huu wa FSG wa kutegea kwa kweli tutakua na hali mbaya kuliko sasa huku kikosi kikizidi kuchoka umri wa main starters umesogea parefu...

We need a miracle FSG wabadili mawazo wauze tu.

YNWA

YNWA
Nasimama na FSG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom