BWANA WANGU
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 362
- 848
Akili nyingi mkuu , umefanya utafiti wa kutosha nilikuwa nashangaa kwa timu kama liverpool Elliott anapataje nafasi ya kwanza wakati EPL imesheheni MFs wenye kasi na nguvu , Hapo ndio walipokuwa wanatupiga bao , na pia nilikuwa natamani tupate beki mmoja wa kati ambaye atachukua nafasi ya GOMEZ bila kusahau back up ya TAA.Klopp wants Mason Mount, wont be a bad signing.
But, summer window ya Jude/Nunes/Mount kwenye MF itakuwa ni very underwhelming.
Unless iwe between Nunes & Mount, then tu-sign a powerful & combative MF.
Summer hii kutakuwa na MFs wengi sana sokoni, so we need to take our chances, i know Klopp anamuona. Mount kama longterm Henderson replacement, which is not bad, but we can do better, na pia sigining ya Mount ina-make sense kama hakutakuwa na Jude, maana wana-operate kwenye same angle, especially kama tutaendelea na 433.
I've profiled MFs wa kutosha for few months, and kuna MFs wengi tu ambao wanafit kwa haraka sana kwenye kikosi cha LFC, sample size niliyotumia ni MFs ambao ni easy sana kuwa-partner na Jude, au ambao wanaweza kuicheza 433 kwa urahisi sana, na pia sample size yangu imelenga zaidi kwenye MFs wanaoweza kuwa deployed as a 6 or 8, meaning inakuwa rahisi sana. kuwatumia as lone 6, pivot, or as LCM. or RCM.
Reason ya kufanya hivi, ni kuwa tuna FABINHO, a very competent number 6, but his legs got fucked apart, kwasababu he had to cover a lot of ground, wakati thats not his game, ni sawa na umwambie. Rodri au Busquets wa-kave a lot of ground/void spaces for their number 8s wakati ni very immobile MFs, game yao ni ku-break play, recycle possession & lock down the MF, and let their two 8s kufanya the rest, hence Busquets amecheza at the top kwa muda mrefu sana, tofauti na Fabinho ambaye he had to cover void ya our RCM henderson a lot. hence i've profiled mobile 6/8s ambao watakuwa msaada sana at LFC.
This is my LIST.
1. Moises Caicedo
2. Kouadio Kone
3. Youssouf Fofana
4. Manuel Ugarte
5. Romeo Lavia
I wont mind, Khephren Thuram or the likes of Fiorentino Luis, etc, but i've looked at MFs ambao ni attainable kwa sasa na watakuwa kwenye market, Moises Caicedo, is the Dream, ni player ambaye ana-fit moja kwa moja kwenye aina ya mpira wa Klopp, you can use him kwenye 433, 4231, 424, 4141, etc, we were the first club ku-register interest kwa Caicedo last summer, na Bloom had a gentleman agreement na Caicedo kuwa tuki-bid either january or this summer he will let him go, but Chelsea, then Arsenal ruined everything, Klopp and FSG value Caicedo at 45-50m, na ndiyo maana tulivyoona itakuwa ngumu ku-strike a deal na Brighton kutokana na bidding war iliyoanzishwa na Chelsea, we decided to use that budget on Cody Gakpo, na kwa summer sidhani kama Bloom atamuachia kwa si chini ya 80m, and the feeling at the club ni kuwa he's too overpriced kwasasa, hence i've listed MFs ambao tunaweza kuwapata kwa chini ya 50m, especially Kone & Fofana, but southampton wakishuka daraja, Lavia anaweza kupatikana kwa peanut, though i suspect Man City wanaweza kuwa na first refusal.
But kama mimi ningekuwa KLOPP, ningemwambia Ward arudi mezani na Bloom now, try to structure a deal, pay 80m for him, forget about the gentleman agreement na Jorge mendes kuhusiana na Nunes, pay 80m, even if it means tutaishia kuwapata Jude na Caicedo tu this summer, get Bajcetic at LCM, Jude at RCM and Caicedo as a 6, give Thiago a 2 year deal, Mbakize Fabinho, then Elliott & maybe Jones as squad options. then go for a Thiago replacement, the next summer.
Kusajili wachezaji wa gharama kubwa sio ishu kuna wachezaji wazuri kwa kloop ambao wana range kwenye 35-50 sijui ni paundi au nini lakini ni ivyo .