Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20230219_133802_com.android.chrome_edit_190848835271398.jpg



๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Haya soon kule kwa mahasimu wetu.

YNWA
 
Screenshot_20230219_133618_com.android.chrome_edit_190832153120880.jpg


๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Chugga una hali tete nafasi ile waliozoea kuwepo wanakushangaa kulikoni umejenga kibanda hutoki.

YNWA
 
Milner bila shaka ndio dalali wa Klopp kusaini Liverpool 2015. Bila Milner naamini huyu Klopp asingetua Liverpool otherwise utajiuliza Milner ana nini ambacho hana Gini au wengine ambao wamesepa Liverpool huku babu 37 + akiedelea kuupiga mchache sana na akisubiri mkataba mpya...

Klopp tafadhali asituangushe.

YNWA
Inashangaza Mane ameondoka
Origi ameondoka

Ila Milner anaongezewa tu mkataba
 
Inashangaza Mane ameondoka
Origi ameondoka

Ila Milner anaongezewa tu mkataba
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Bahati zipo katika maisha na huyu Milner ni kielelezo cha bahati na upedeleo katika levo za juu sana...

Milner na Henderson ni ma bosi wa Klopp pale Liverpool. Na waadishi walivyombana Klopp kwamba ana upedeleo kwa baadhi ya wachezaji January mzee baba aling'aka balaa sasa hata bila yeye kusema hii mikataba mbona kielelezo tosha.

YNWA
 
Gomez mwingereza
Henderson mwingireza
Na wote wana mkataba hadi 2026 huko.

Milner hata kosa kamoja tena. Ingawa Klopp alisema mabadiliko makubwa yanahitajika we shall see. Tupambanie top four. If we are going to win next two epl games story ya qualification inaenda kugeuka

YNWA
 

As it stands, there are 3 concrete offers on the table, 2 offers za a full takeover na 1 offer ya minority stake

It remains to be seen, kama hizo offer ni enough kwa FSG, as kwenye suala la full takeover JWH wants a LOT of money, na kwenye suala la minority stake, JWH still wants a full control, main reason ya watu wa Qatar ku-withdrew offer yao.

Bado mapema sana, na kuna mawili FSG wanaweza ku-buy sometime as hakuna real pressure kutoka kwa fans ya kuwaondoa, as they are still heavily backed by SOS and local fans, AU wakapata offer ambayo hawataweza kuikataa, but either-way, wawepo au wasiwepo, Klopp needs to be backed in the summer, tunahitaji kama ยฃ250m kui-reshape team.
 
Gomez mwingereza
Henderson mwingireza
Na wote wana mkataba hadi 2026 huko.

Milner hata kosa kamoja tena. Ingawa Klopp alisema mabadiliko makubwa yanahitajika we shall see. Tupambanie top four. If we are going to win next two epl games story ya qualification inaenda kugeuka

YNWA
Gomez should stay.

We need to sell Matip and bring in a young CB.

Mabadiliko makubwa, yatafanyika kwenye eneo la MF, tunahitaji si chini ya ยฃ200m kwenye hilo eneo.

Na pia yanaweza yasifanyike kama Klopp hatopata funds kutoka kwa FSG.

Inasemekana kuwa, tulishatenga funds za Jude tangu last year, na Dortmund hawatamuachia Jude, kwa si chini ya ยฃ100m, na apart from Jude tunahitaji another 2 solid MFs, ambao kwa pamoja wanaweza. ku-cost si chini ya 90-100m.


Then tutahitaji few tweaks, kwenye backline, na kwenye upande wa RW.
 
Klopp wants Mason Mount, wont be a bad signing.

But, summer window ya Jude/Nunes/Mount kwenye MF itakuwa ni very underwhelming.

Unless iwe between Nunes & Mount, then tu-sign a powerful & combative MF.

Summer hii kutakuwa na MFs wengi sana sokoni, so we need to take our chances, i know Klopp anamuona. Mount kama longterm Henderson replacement, which is not bad, but we can do better, na pia sigining ya Mount ina-make sense kama hakutakuwa na Jude, maana wana-operate kwenye same angle, especially kama tutaendelea na 433.

I've profiled MFs wa kutosha for few months, and kuna MFs wengi tu ambao wanafit kwa haraka sana kwenye kikosi cha LFC, sample size niliyotumia ni MFs ambao ni easy sana kuwa-partner na Jude, au ambao wanaweza kuicheza 433 kwa urahisi sana, na pia sample size yangu imelenga zaidi kwenye MFs wanaoweza kuwa deployed as a 6 or 8, meaning inakuwa rahisi sana. kuwatumia as lone 6, pivot, or as LCM. or RCM.

Reason ya kufanya hivi, ni kuwa tuna FABINHO, a very competent number 6, but his legs got fucked apart, kwasababu he had to cover a lot of ground, wakati thats not his game, ni sawa na umwambie. Rodri au Busquets wa-kave a lot of ground/void spaces for their number 8s wakati ni very immobile MFs, game yao ni ku-break play, recycle possession & lock down the MF, and let their two 8s kufanya the rest, hence Busquets amecheza at the top kwa muda mrefu sana, tofauti na Fabinho ambaye he had to cover void ya our RCM henderson a lot. hence i've profiled mobile 6/8s ambao watakuwa msaada sana at LFC.

This is my LIST.

1. Moises Caicedo
2. Kouadio Kone
3. Youssouf Fofana
4. Manuel Ugarte
5. Romeo Lavia

I wont mind, Khephren Thuram or the likes of Fiorentino Luis, etc, but i've looked at MFs ambao ni attainable kwa sasa na watakuwa kwenye market, Moises Caicedo, is the Dream, ni player ambaye ana-fit moja kwa moja kwenye aina ya mpira wa Klopp, you can use him kwenye 433, 4231, 424, 4141, etc, we were the first club ku-register interest kwa Caicedo last summer, na Bloom had a gentleman agreement na Caicedo kuwa tuki-bid either january or this summer he will let him go, but Chelsea, then Arsenal ruined everything, Klopp and FSG value Caicedo at 45-50m, na ndiyo maana tulivyoona itakuwa ngumu ku-strike a deal na Brighton kutokana na bidding war iliyoanzishwa na Chelsea, we decided to use that budget on Cody Gakpo, na kwa summer sidhani kama Bloom atamuachia kwa si chini ya 80m, and the feeling at the club ni kuwa he's too overpriced kwasasa, hence i've listed MFs ambao tunaweza kuwapata kwa chini ya 50m, especially Kone & Fofana, but southampton wakishuka daraja, Lavia anaweza kupatikana kwa peanut, though i suspect Man City wanaweza kuwa na first refusal.

But kama mimi ningekuwa KLOPP, ningemwambia Ward arudi mezani na Bloom now, try to structure a deal, pay 80m for him, forget about the gentleman agreement na Jorge mendes kuhusiana na Nunes, pay 80m, even if it means tutaishia kuwapata Jude na Caicedo tu this summer, get Bajcetic at LCM, Jude at RCM and Caicedo as a 6, give Thiago a 2 year deal, Mbakize Fabinho, then Elliott & maybe Jones as squad options. then go for a Thiago replacement, the next summer.
 
Fiorentino Luis, is a perfect Klopp MF, but after deal ya Darwin Nunez, na deal ya Chelsea na Enzo, Rui Costa atataka pesa ndefu sana.

Besides, kama LFC wakirudi at Benfica, itakuwa vizuri zaidi kama itakuwa ni kwaajili ya Antonio Silva (Centre Back), funny thing is, nae ata-cost a lot of money.
 
As it stands, there are 3 concrete offers on the table, 2 offers za a full takeover na 1 offer ya minority stake

It remains to be seen, kama hizo offer ni enough kwa FSG, as kwenye suala la full takeover JWH wants a LOT of money, na kwenye suala la minority stake, JWH still wants a full control, main reason ya watu wa Qatar ku-withdrew offer yao.

Bado mapema sana, na kuna mawili FSG wanaweza ku-buy sometime as hakuna real pressure kutoka kwa fans ya kuwaondoa, as they are still heavily backed by SOS and local fans, AU wakapata offer ambayo hawataweza kuikataa, but either-way, wawepo au wasiwepo, Klopp needs to be backed in the summer, tunahitaji kama ยฃ250m kui-reshape team.


250 million pounds that is such a gigantic amount too high to be feasible
 
Klopp moulding Gakpo into Firmino, and its working, i mean maendeleo ni mazuri.

Gakpo offers a lot of things kwenye our attacking phases, itamchukua muda kufikia level ya prime Firmino, but you can see the vision, na anaweza kuwa zaidi ya Firmino kwenye angle ya kufunga goals.

He has good pressing game, good hold up play, good at finding spaces (running, passing, attacking spaces), good passer, good ball retention, clinical ball striking, he has good volume of pace etc.

The settling period inaweza ikachukua muda, but mpaka sasa tumefanikiwa ku-replace na ku-shape attacking line yetu kwa ufasaha sana.

Darwin Nunez
Cody Gakpo
Luis Diaz
Diogo Jota
Fabio Carvalho.

Salah & Firmino as our old guards.

And We are scouting Keito Nakamura very heavily, think he will be our only signing kwenye upande wa attacking line this summer.
 
Mason Mount is less talented and overrated Englishman in my opinion MosDef which implies he will be our waste of money money that is needed to be wisely spent to catch up with what is happening now at EPL (Terrifying competing with all top six in addition to one or two(Newcastle in this case) reincarnated)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom