Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔 Yaaani nyie hapo ndio mtoe mvua ya magoli aaa wapi sahau ndugu yangu.Sisi hapo tunatoka siku siyo nyingi. Ngoja mweiz wa tatu ufike tutafungulia mvuwa za magoli kila timu itakayokutana na Chelsea itajuta.
Kile ni kijiwe cha kupiga ela.
YNWA

