dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,956
- 8,344
std 6 mwaka 2007/08?..........Ulianzaje kuipenda liverpool FC?
Mimi nilikuwa darasa la 6 , nikanunuliwa jezi ya torres (9) ikawa kwisha habari yangu , hadi now nimemaliza chuo still YNWA.
std 6 mwaka 2007/08?..........Ulianzaje kuipenda liverpool FC?
Mimi nilikuwa darasa la 6 , nikanunuliwa jezi ya torres (9) ikawa kwisha habari yangu , hadi now nimemaliza chuo still YNWA.
Vice versa ipo piaSi ntazimia Mimi😂
LoL!
Humu ndani mpole ni Captain Marvelous tu,,
Ana soft words😋
Wengine wagumu kuanzia avatar hadi majina
Hayana maana, sie tumekuwa wa kuteleza teleza mwishoni, 2014$ 19 ilikua ujinga wetu kabisa kukosa hayo makombeWatupe Makombe yetu 3
2013/14
2018/19
2021/22
Wamefanya Utapeli vya Kutosha kwenye Ligi.
Chelsea is next
Kwasasa Wacha waendelee kufurahia kutumia £300M+ only in January




😂😂😂😂😂Huyo kwa namna hii timu imemvuruga hana nguvu ya kurusha ngumi tena.Our manager,the floor is yours
Wataka nikapigwe magumi waniuwe eeh??!
Haunitakii mema wewe.Huyo kwa namna hii timu imemvuruga hana nguvu ya kurusha ngumi tena.
YNWA



Dogo uwe unaamkia wakubwa zako humu2010/11
Atusalimie wakubwaDogo uwe unaamkia wakubwa zako humu

najifanza kutoka kwako mkuuDogo uwe unaamkia wakubwa zako humu
Finally Steven Gerald Anaenda kupata kikombe cha epl,Klabu ya Manchester City imeshtakiwa Ligi kuu England kwa madai ya ukiukaji wa sheria za fedha, jambo ambalo linaweza kusababisha kukatwa pointi au hata kuondoshwa kwenye Ligi. Hii inakuja baada ya uchunguzi wa miaka minne wa Ligi Kuu ya Uingereza kuhusu fedha za klabu hiyo.
Katika taarifa ya Premier League leo Jumatatu Februari 6, 2023, Man City wanadaiwa kukiuka sheria zinazohusu utoaji wa taarifa sahihi za fedha, hasa kuhusiana na mapato ya klabu, ikiwa ni pamoja na mapato ya udhamini na gharama za uendeshaji, kati ya misimu ya 2009-10 na 2017-18, pamoja na maelezo ya malipo kwa mameneja na wachezaji wakati wa kampeni za 2009-10 na 2015-16.
Adhabu mbalimbali zinaweza kutozwa Man City iwapo watapatikana na hatia ya makosa hayo, ikiwa ni pamoja na adhabu ya pointi.
Premier League pia ilipeleka City kwenye tume huru kutokana na klabu hiyo kushindwa kufuata Kanuni za Utoaji Leseni za Klabu na Uchezaji wa Haki za Kifedha za UEFA kati ya 2013 na 2018.
Mnamo 2020, City ilipigwa marufuku ya miaka miwili kutojihusisha na soka la Ulaya lakini adhabu hiyo ilibatilishwa na Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo kwa ukiukaji huu.
Hata hivyo Klabu hiyo ilipigwa faini ya Euro milioni 10 kwa kushindwa kutoa ushirikiano lakini ikaruhusiwa kucheza katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
#KitengeSportsView attachment 2508637
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
So ni Man United and liverpool only?? Where is Asenal??
Tunazoa zoa msimu ujao, kila ligi na line up yake
Nitakubembekeza wewe, wababe ndio kwakubembeleza.Na hiyo avatar imejaa magumi ya ndoinge lol!
Halafu Mimi last born, na ngumi wapi na wapi![]()
Naona kakimbilia kwako et una soft wordsFloor meneja nimo hapa kuhakikisha itifaki zote zinangatiwa.
YNWA

Mimi nilikuwaga nashabikia jezi nyekunduUlianzaje kuipenda liverpool FC?
Mimi nilikuwa darasa la 6 , nikanunuliwa jezi ya torres (9) ikawa kwisha habari yangu , hadi now nimemaliza chuo still YNWA.
😂😂😂😂😂😂😂Hajui mto ulipotulia ndio pana kina kirefu ajabu 😂😂😂Naona kakimbilia kwako et una soft words![]()