Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Bora apate Gerrard wetuFinally Steven Gerald Anaenda kupata kikombe cha epl,
Bora apate Gerrard wetuFinally Steven Gerald Anaenda kupata kikombe cha epl,
Yatawakuta kama yanayowakuta mama Cita.Tunazoa zoa msimu ujao, kila ligi na line up yake

Ah wapiNitakubembekeza wewe, wababe ndio kwakubembeleza.

YeahNaona kakimbilia kwako et una soft words![]()

Unanitisha eeh?Hajui mto ulipotulia ndio pana kina kirefu ajabu
YNWA

😂😂😂😂😂Lol kumbe a champ...Unanitisha eeh?
You're the best still![]()
😂😂😂😂😂😂 Umenikumbusha kuna mdau mmoja anaitwa mbabe sijui alipotelea.Ah wapi
Jina na huyo bondia anatisha.
Mimi na wababe wapi na wapi
Mm mwenyewe mbabe
Baada ya Kipara kuchemka kuchukua Champions League pale Ethad sasa amepata njia ya kusepa kwamba alidanganywa.. Yaaani huyu sioni akibaki pale kwa sasa na vile hata uwanjani hakuna jipya wapo wapo naona amepata sababu kusepa.
Acha roho mbaya wewe takataka..unadhani sisi ni wajinga kuwapa wachezaji mikataba mirefu?Chelsea is next
Kwasasa Wacha waendelee kufurahia kutumia £300M+ only in January
Sisi tunajenga project ya muda mrefu nyie bakini na kina salah 😂😂😂
My secret admirer ♥️😂😂😂😂😂Lol kumbe a champ...
Cheers 🥂 🥂 🥂.
YNWA
Na Bado kichapo kitakuwa palepale 😂Sisi tunajenga project ya muda mrefu nyie bakini na kina salah 😂😂😂
Kenueni tu macho😂Acha roho mbaya wewe takataka..unadhani sisi ni wajinga kuwapa wachezaji mikataba mirefu?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Umenikumbusha kuna mdau mmoja anaitwa mbabe sijui alipotelea.
Kajipiga ban na haya matokeo yetu.
YNWA
Unamwaga siri tu naonaMy secret admirer ♥️