Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi huyu Gapko kweli ndio hajapiga shuti hata moja dakika zote 90!!!!????

ON TARGET [emoji777]
OF TARGET [emoji777]
BLOCKED. [emoji777]


Aiseeeehhh hawa waholanzi hawajatufanyia uhuni kweli????
Huu usajili ni wa future eti haha usimuangalie sasa mbali muangalie msimu ujao.. sasa sijui kaacha shooting boots Uholanzi atapewa msimu ujao labda.

Boy has potential lakini EPL potential pekee haitoshi inabid ajipange kila nafasi anayopata aitumie vyema.

YNWA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chugga man hata Livescore hatumii tena hicho kifua hana alishasepa... Hayupo FA hayupo Carabao na EPL nafasi ya 9 wakati alituaminisha humu huu msimu wake anakuja moto fire sanaaaaa.

Ila hatuchekani wote tunachechemea ni kitubua na andazi[emoji23][emoji23][emoji23]

YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pamoja na kikosi kipana kama mzinga wa nyuki ila bado wanachapika[emoji16]
 
Huu usajili ni wa future eti haha usimuangalie sasa mbali muangalie msimu ujao.. sasa sijui kaacha shooting boots Uholanzi atapewa msimu ujao labda.

Boy has potential lakini EPL potential pekee haitoshi inabid ajipange kila nafasi anayopata aitumie vyema.

YNWA
Amekuja wakati timu imejichokea.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamani Kapteni ni mzima kabisa lakini anasugua benchi na halalamiki kwa kua anajua anatuvusha mazima Champions League [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...

YNWA
Hivi ule mpango wa kuweka mapema booking Hotel bado upo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji174]
 
Tatizo pia ni klopp, wakicheza tunaoita wazee tunapigwa, wakiwekwa vijana kina jones, elliot, bajetc, crvalio tunapigwa, TAA na Gomez tukumbuke ni vijana lakini bado tunapigwa

Fergie hakua ananua wachezaji watano kila usajili ila kila mwaka ni wa kwanza au 2

Timu huwezi singizia eti ipo hivi kisa ilimuuza Mane, fergie aliuźa inform Cr7 na akaendelea kuchukua EPL

Pep aliuza Sane, akaondoka Aguero timu ikabeba Epl tena points 90+ bila striker
😂😂😂😂😂Klopp hua anatia huruma akianza kutetea wazee wake wakati wenyewe wakiingia uwanjani wala hawajitumi li vile aisee huyu mzee ametengwa ni kama amebaki mwenyewe FSG wapo bizy kusaka wateja hawana muda nae wanajua ana benchi dhaifu anawategemea hao hao ndio maana wamo tu.. Ilikua hatari sana kujitakia eti anapenda kikosi kiduchu yaaani ni sawa lakini kiwe ni ratio ya vijana wengi na wazee wachache tu... Kuliko sasa wazee wengi kuliko vijana sasa by the time Klopp anakuja kustuka wazee wapo hoi bench halina msaada ikabidi atue academy kuchukua dogo Bajectic aje alete nguvu mpya pale kati lakini kwa matatizo yaliyopo dogo peke yake haitoshi.

Silva, Dzeko, Mangala, Fernadhitho, Baloteli, Hart, Otamendi, Kokolov nk bado wanacheza naamini hawa chini ya Klopp wangekua bado wanakipiga pale Ethad 😂😂

YNWA
 
Hivi ule mpango wa kuweka mapema booking Hotel bado upo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji174]
😂😂😂😂😂😂😂Utaliwa ukimfuatisha Klopp wewe soma ubao unasema aje achana na Klopp ameshavurugwa ujue.

Real Madrid unamchapa aje sasa kwa kikosi hiki jamani maana ndio njia pekee ya kupata kombe. Hatumo FA Carabao na EPl ni Arsenal to lose... Hivyo angalau ingekua wishes were horses tiketi tungekata 😂😂😂.

YNWA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utaliwa ukimfuatisha Klopp wewe soma ubao unasema aje achana na Klopp ameshavurugwa ujue.

Real Madrid unamchapa aje sasa kwa kikosi hiki jamani maana ndio njia pekee ya kupata kombe. Hatumo FA Carabao na EPl ni Arsenal to lose... Hivyo angalau ingekua wishes were horses tiketi tungekata [emoji23][emoji23][emoji23].

YNWA
Yaani huyu baba alijua kutudanganya [emoji23][emoji174]
 
Ukabaji mpya uitwao chura defending
JamiiForums-1171228599.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MMa
Save ua energy Miss Liverpool tuungane pamoja tupige magoti mpaka Henderson, Milner, Ox, Keita, Gomez, Matip 😜wasepe otherwise ma stress mpaka Henderson amalize mkataba 2026 sio leo ujue😁😁😁😁

YNWA 😁
Magoti tena? Mnataka kuwahusisha wa mbinguni katika mambo yenu ya hovyo? Yaani mumtoe Mane halafu mtegemee msamaha kutoka juu? Haipo hiyo😄😄😄
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom