BWANA WANGU
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 362
- 848
Game nimecheki full time bila kupepesa macho , kwa upande wangu kuna vitu nimeona
👉 cha kwanza upande wa TAA hauwezi kuzuia , hata mashambulizi yamekuwa magumu kwa upande ule kuna mfanya sarah akose mipira mizuri.
👉KEITA , mchezaji mzuri lakini hana kasi ,hajui kupiga pasi mpenyezo kuzuia kwake ni kwa tabu , jamaa atakuwa kadanganya umri ana kama 39 hivi.
👉TIAGO , huyu jamaa tuna mpuna sana ana akili ya mpira na ana upiga mwingi sana TATIZO LAKE anaitaji mtu wa kazi kazi wafanye kazi pamoja utampenda sana.
👉BAJCETIC, ni mzuri anafanya kazi sawa sawa , kama kocha anavyo taka kuchukua mipira kwa timu pinzani tu ila bado mdogo kupewa majukumu yale inabidi akomae mifupa na apate punzi ya kutosha na energy pia.
👉ROBERTSON na KONATE , wanafanya kazi zao vizuri sana ila mchawi ni GOMEZI ana makosa mengi sana kwenye kuzuia
👉ELLIOT ,naona watu wapo kimya sana na huyu dogo ni mchezaji mzuri , ila kwangu mimi huyu dogo anabidi awe chaguo la pili la kocha inabidi tupate nondo ichukue nafasi yake HAWEZI KU FORCE KUTENGENEZA CHANCE KWA (CF) hakajui ku link na wenzake tabu tupu naona watu wamelifumbia mdomo lakini huyu dogo anatupuna sana.
hayo ni mawazo binafsi , yani ningekuwa mimi ndio klopp ningechukua hata U21 au U18 kwenye hizo nafasi kama Hawataki kusajili.

wasepe otherwise ma stress mpaka Henderson amalize mkataba 2026 sio leo ujue

Gakponlahor for Liverpool