Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

HUYU MWAMBA ANA MIAKA 28 LAKINI ANGETUFAA SANA SANA (Stanislav Lobotka) au nakosea wakuu.
licensed-image
 
Tatizo siyo fsg

Tatizo ni aged team

Tulikumbatia sana brexit

Tia maji tia maji kama mwanamke wa ngomani
Tatizo ni mishara isio fata haki mkuu zingatia hilo mkuu

Asenal wamejisafisha Man u wapo njiani kujitoa humo eti sisi ndo tunaingia

Haiwezekani kundi la watu lilete mafanikio hafu angaliwe mtu mmoja kua ndo sababu ya mafanikio.

Ndo wanaangalia sasa hayo mafanikio yalio letwa na huyooo mpekeee

Hamuwezi kuniamini najua
 
Unasemea ongezeko kubwa la mshahara wa Mo Salah eeh?
 
Tatizo ni mishara isio fata haki mkuu zingatia hilo mkuu

Asenal wamejisafisha Man u wapo njiani kujitoa humo eti sisi ndo tunaingia

Haiwezekani kundi la watu lilete mafanikio hafu angaliwe mtu mmoja kua ndo sababu ya mafanikio.

Ndo wanaangalia sasa hayo mafanikio yalio letwa na huyooo mpekeee

Hamuwezi kuniamini najua
Japo Salah sio Messi au Ronaldo(business wise) lakini kibiashara pale Liverpool yupo juu sana anauzika zaidi ya wachezaji wengine hivyo analeta mpunga wa maana kwa timu. Kwa mfano mauzo ya jezi tu Salah peke yake anachangia asilimia 35 ya mauzo yote hivyo ingekua ni uzembe kumwachia Salah kuodoka Liverpool regardless matokeo uwanjani yapo vipi kwa sasa.

Ukifuatilia kwa kina utagundua kwamba mikataba mingi ya wachezaji Liverpool ipo capped kwenye incentives zaidi hivyo inakua win win situation kwa Liverpool na kwa mchezaji husika.. Utakuta kwa mfano Salah kila jezi inayouzika ana asilimia kadhaa pale inayoingia kwenye mshahara wake...

Mwaka 2021 Salah alikua tano bora kwa mauzo ya jezi duniani..

Mkataba wa Liverpool na Nike upo kimslahi sana kwamba kila jezi au merchandise inayouzwa chini ya Nike basi! Liverpool wanapata asilimia 30 au 20 ya mauzo hayo, malipo hayo ni nje ya zile £30m kila msimu Nike wanalipa ina maana kwa msimu Nike wanalipa £70m+ pale Liverpool. Mkataba ule ni based on incentives pia.

Salah anapata anachostahili japo kama mchezaji ana mapungufu yake lakini fursa ya kucheza Liverpool ameitumia vyema kujijenga ki soko na kampuni nyingi tu kama Pepsi, Oppo, Vodafone, Adidas nk zinamtumia kutangaza bidhaa zao.

Huku kupoteana kwa Salah Klopp amesema ni kwa kukosa utulivu wa wachezaji aliozoea pale mbele Firmino na Mane. Lakini pia sikutegmea Salah afunge sana wakati timu kila idara imechuja sana.

YNWA
 
Kuna magendeheka ya kiingereza pale
Milner
Hende
Gomez
Jones
Ox

Yanajaza vyoo tu
 
View attachment 2500363
Huyu Arthur apone tu amuokoe Klopp maana ameishiwa maneno sasa kujitetea baada ya kila mechi ni kipigo.

YNWA

Kumbe Carvalho naye injury??

Wanaumiaje hawa wachezaji wetu jamani. Uwanjani wanatoka salama ghafla majeruhi.

Tunahitaji transformation ya hali ya juu

Owners
Transfer committee
Mambo haya yakiwa positive mengine yatafuata vizuri.
 
Kuna magendeheka ya kiingereza pale
Milner
Hende
Gomez
Jones
Ox

Yanajaza vyoo tu
Usishangae Milner akapewa mkataba mpya hivi hivi aisee...

Tuna wamiliki wanaopenda short cut ya mambo hawataki kupita njia ngumu kama vile kukopa kwa ajili ya usajili wao wanaona bora kuuza aafu kununua sasa ule mfumo umepitwa na wakati otherwise ingekua huyu Nunez kaingia na motooo wangemuuza PSG au Real Madrid June 2023 😂😂😂...
Klopp alisema mambo yatabadilika yetu macho ngoja tusubiri tuone haswa ni mambo gani yanabadilika.

Hao wajukuu wa Malkia wasepe tu muda wao klabuni umekwisha... Muda mrefu sana sijasikia ma pundits wa Uingereza wakimsifia Henderson "oooh what a guy a leader on and off the pitch" 😂😂😂surely do we need leaders ama tunahitaji ushindi tu yaaani bure kabisa.

YNWA
 
Kumbe Carvalho naye injury??

Wanaumiaje hawa wachezaji wetu jamani. Uwanjani wanatoka salama ghafla majeruhi.

Tunahitaji transformation ya hali ya juu

Owners
Transfer committee
Mambo haya yakiwa positive mengine yatafuata vizuri.
Muda utasema hapa mchawi mmiliki mpya apatika mapema hii. Haya mengine yataji sort yenyewe.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom