Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255


Kapteni tunamhifadhi ili nguvu zake aje awazime Real Madrid asije kuumia
YNWA




eti kuwazima Madrid 


Ataijengaje timu kwa kuwakumbatia Henderson, 50yrs Milner na Keita? Ile timu ifumuliwe walete vijana sio kukomaa na akina Matip, Fabinho.Yani kumuuza mane sijui ilikuwa tamaa au ni Ego ya kochaa kudhani angemuongezea mshahara angefaidi sanaaa... Ona sasa timu imevunjikaaa anaanza kuteseka kuijengaa upyaa
Klopp asinge wezaErik Ten hag kumkaziaa Cr7 haukuwa msimamo rahisi hata kidogoo ilaa leoo tunatambaa..![]()
Tatizo pia ni klopp, wakicheza tunaoita wazee tunapigwa, wakiwekwa vijana kina jones, elliot, bajetc, crvalio tunapigwa, TAA na Gomez tukumbuke ni vijana lakini bado tunapigwaAtaijengaje timu kwa kuwakumbatia Henderson, 50yrs Milner na Keita? Ile timu ifumuliwe walete vijana sio kukomaa na akina Matip, Fabinho.
Timu ivunjwe ile walete proper Right back maana TAA yule ni midfilder, walete CB mmoja, pia wasajili Attack midfilder 1. Hapo timu atleast itatengeneza nafasi sio kukomaa namibabu ya miaka 50
hata yaya toure bado angekuwepo.Klopp angekuwa city
Mpaka leo angekuwa na David Silva, Fernandinho, Joe hart, Company, dzeko
😂😂😂😂😂Duh kwa mzuka huo utapata presha Miss Liverpool.Yaani style yangu ya kuangalia mechi hadi Mpira uishe nakuwa hoi taabani.
Nitarusha mguu,mara mkono,mara kichwa
Yaani
Ikifika half time,naenda na kuoga na kunywa maji kushusha presha
LoL Nina moyo mwepesi,naweza hata toa machozi,na vile timu imepoteana sitaki tabu🥲
Maskini hili timu limeshaanza kukuzeesha mrembo, kwa jinsi unavyokunja sura dakika zote 90 timu inapokua uwanjani tayari imekusababishia uso wako kujaa makunyanzi.Yaani style yangu ya kuangalia mechi hadi Mpira uishe nakuwa hoi taabani.
Nitarusha mguu,mara mkono,mara kichwa
Yaani
Ikifika half time,naenda na kuoga na kunywa maji kushusha presha
LoL Nina moyo mwepesi,naweza hata toa machozi,na vile timu imepoteana sitaki tabu🥲
Klopp hana huo ubavu.Kwanini asibaki tu apewe airtime sana.
Allison anaelekea kuzeeka.
Kwa msimu huu sioni hawa wazee wakitupa msaada sana kusaka ushindi kila wakihojiwa wanaahidi mema ushindi lakini mechi ikija ndio hao hao wanapoteana.Ngoja tuone
Labda kutakuwa na mabadiliko,tuwape muda wageni.
Tatizo siyo fsgKutoka quadruple contender mpaka kwenye othersmaisha haya na Klopp ndio kwanza anataka developement ya players sijui players wapi hao
NASEMA SITAKI MSHTUKO WA MOYO MIE tushakua sugu wa vipigo, chelsea mtufunge ili FSG OUT ipambe moto…
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Jamani Kapteni ni mzima kabisa lakini anasugua benchi na halalamiki kwa kua anajua anatuvusha mazima Champions League 😂😂😂😂...eti kuwazima Madrid
![]()
Ntakua kama Chalii OllaChuga Oc mzee wa LiveScore🤣😂😂😂😂😂Duh kwa mzuka huo utapata presha Miss Liverpool.
Kwa sasa jikaze tu uangalie highlight..
Klopp na vijana wake wakiwa bora wanakua bora kweli kweli mpaka wanapachikwa majina kama yote World Beaters nk na wakipoteana wanapoteana kweli kweli kama sasa nadhani jana ni gemu ya 9 wanapoteza msimu huu hii ni pigo kubwa sana.
YNWA
😂😂😂😂😂Chugga man hata Livescore hatumii tena hicho kifua hana alishasepa... Hayupo FA hayupo Carabao na EPL nafasi ya 9 wakati alituaminisha humu huu msimu wake anakuja moto fire sanaaaaa.Ntakua kama Chalii OllaChuga Oc mzee wa LiveScore🤣