Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

77af5d61-4fde-45b0-9767-18a4774c4279.jpg
 
Klopp aondoke.
Ujinga wake umetufikisha hapa..
Kwa akili ya kawaida tu,huwezi kumuacha Mane aondoke ila umewashikilia mibabu,unaipambania kuongezwa mkataba.


Klopp aondoke,Makocha no wengi,hayupo pekeyake na kwa sasa hana maajabu yoyote.
Daaah mmetisha, I wish Chelsea ingekuwa inahangaika kumtafuta Kocha wakati huu hakika tungejinyakulia Klopp fasta

Timu yenu ina uduwanzi wa kutoweka mzigo wa kutosha katika usajili kama Arsepimbi na Mwantesa Utd, ulitegemea kila siku Wachezaji wenu waendelee kuwa washindani milele bila ya kuongezewa nguvu za Wachezaji wengine wapya jinsi ilivyo Mwa-City kama vile Wachezaji wa Liverpool hawatumii damu?

Klopp ni bonge la Kocha kuliko hata Pep Kipara, hana ubaguzi wa rangi wala chuki binafsi na Mchezaji yeyote ndani ya klabu yenu ya Liverpool isipokuwa kamati yenu ya uwekezaji bora wa Liverpool FC ndiyo inayomkwamisha hadi hivi sasa Kocha bora wa dunia Jugen Klopp.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Daaah mmetisha, I wish Chelsea ingekuwa inahangaika kumtafuta Kocha wakati huu hakika tungejinyakulia Klopp fasta

Timu yenu ina uduwanzi wa kutoweka mzigo wa kutosha katika usajili kama Arsepimbi na Mwantesa Utd, ulitegemea kila siku Wachezaji wenu waendelee kuwa washindani milele bila ya kuongezewa nguvu ya Wachezaji wengine jinsi ilivyo Mwa-City kama vile Wachezaji wa Liverpool hawatumii damu?

Klopp ni bonge la Kocha kuliko hata Pep Kipara, hana ubaguzi wa rangi wala chuki binafsi na Mchezaji yeyote ndani ya klabu yenu ya Liverpool isipokuwa kamati yenu ya uwekezaji bora wa Liverpool FC ndiyo inayomkwamisha hadi hivi sasa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwanini akubali kukwama?
Kwanini asikomae kudai??

Hii hali naye anaipenda.,Asingeipenda angekuwa mstari wa mbele kupinga ulafi wa hao wamiliki.
 
Kwanini akubali kukwama?
Kwanini asikomae kudai??

Hii hali naye anaipenda.,Asingeipenda angekuwa mstari wa mbele kupinga ulafi wa hao wamiliki.
Misimamo ni kipaji usitegemee misimamo waliyokuwa nayo Makocha kama akina Jose Mourinho, Antonio Conte au Alex Ferguson ndiyo atakuwa nayo Kocha yeyote duniani, haipo na hakunaga.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Yani kumuuza mane sijui ilikuwa tamaa au ni Ego ya kochaa kudhani angemuongezea mshahara angefaidi sanaaa... Ona sasa timu imevunjikaaa anaanza kuteseka kuijengaa upyaa
Halafu alikuwa kimya ,
Origi,Mane wakaondoka

Ila eti anasapoti Babu Milner kuongezwa mkataba
Na kuna watu wanamtetea eti hana makosa.
 
Hawa wasitudanganye na tunaona kabisa.
Liverpool hii hii inayopewa kichapo Kila siku eti imetoa golikipa😁

Allison naye sikuhizi ashachuja.
WC ameiangisha timu yake Brasil kizembe tu.
Allison bila kupewa ulinzi wa kutosha ni ngumu kutopigika aisee. Mashambulizi kama mawe..

Brazil kuna vipaji haswa tatizo wanafuata majina makubwa kutengeneza timu ya Taifa.

YNWA
 
Klopp aondoke.
Ujinga wake umetufikisha hapa..
Kwa akili ya kawaida tu,huwezi kumuacha Mane aondoke ila umewashikilia mibabu,unaipambania kuongezwa mkataba.


Klopp aondoke,Makocha no wengi,hayupo pekeyake na kwa sasa hana maajabu yoyote.
Klopp kashasema yupo mpaka 2026 labda wenye timu wamwambie kibarua kimeisha ila yeye anasema yumoo sana wala haodoki.

YNWA
 
Kwahiyo wewe katika yote yanayojadiliwa umeona hilo tu?
Jamaa si ajabu amekupiga gap parefu kielimu

Na kiswahili anajiforce tu kutumia.
Huwa anatumia sana kiingereza.
Save ua energy Miss Liverpool tuungane pamoja tupige magoti mpaka Henderson, Milner, Ox, Keita, Gomez, Matip 😜wasepe otherwise ma stress mpaka Henderson amalize mkataba 2026 sio leo ujue😁😁😁😁

YNWA 😁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom