Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp is confused fella. If he is not making tactical mistake then he is making squad mistakes...

That happens when the usual 1st 11 is broken out of form and Klopp forced to alter new ideas new bench or young players coming in to the squad ambao hawajacheza kwa pamoja competitive games mara kwa mara.

Klopp was used to play Same Front guys(Mane n Salah rarely got injured) same MF guys same Defence sasa introducing new bench boys and new ideas when th team is low in confidence lost n confused will always be a challenge but the sooner they play together mara kwa mara th better we become compact and lethal...

Ushindi wa Wolverhampton na sare ya jana ni mwanzo mzuri na imekua wiki nzuri kwa hali tulionyao japo tumekutana na timu ambazo nao wamepoteana but matokeo yatawajenga wachezaji 'wapya' wajitune zaidi na wale wa zamani wakishaona uhakika wa namba ni ushindani nao watazidisha umakini...


YNWA
Mkuu tumefikia hatua ya kufurahia matokeo ya sare tena Anfield kwakweli tuna hali mbaya.
 
Mkuu tumefikia hatua ya kufurahia matokeo ya sare tena Anfield kwakweli tuna hali mbaya.
Sidhani kama kuna hali mbaya zaidi ya hii tena ndugu kwamba unakwenda kutazama mechi ya Liverpool vs Brighton ukiwa na matokeo mfukoni aisee kwamba ni kichapo tu.. Hakuna hali ngumu zaidi ya hii ndugu... Kwenye mbio za ubingwa hatumo...

YNWA
 
Aliyeturoga alishakufa na vifaa vyake
Nani huyo Can, Buvac, Gini au Mane haha tutulie sidani iingie kung'ang'ania magalasa...

Milner was deemed surplus to requirement Manchester City wakamwachia je iliwafanya wawe dhaifu hapana wameshina EPL 5 nadhani tangu ameodoka Ethad.. Point ni kwamba tuwe wepesi wa kuwaachia wachezaji wakifika ukomo kushindana kwenye levo za juu sanaaa... Kwa sasa tuna wachezaji wengi ambao ni aidha wakacheza Amerika ambapo levo ya ushindani ipo juu ama wakacheza timu zinazosidikiza wengine kweny ubingwa na sio timu inayopamba kushinda makombe...

We need solutions now sokoni.. Without UCL tunakosa mvuto sokoni na pia hata kushindania wachezaji na timu inayocheza UCL wanakua na chance zaidi yetu.

YNWA
 
Angekaa at Rangers hata kwa misimu mitatu, create your foundation & long-term playing style identity.

But, ali-jump mapema sana kwenda Aston Villa, it was a big jump.
😂 😂 😂 Steve wanted to send message to FSG that kwamba ile nyongeza ya mkataba wa Klopp ulikua hauhitajiki..

Unajua EPL bhana haina kibonde kama sokoni timu ikiwa makini basi uhakika wa kufanya vyema na bahati iwepo pia...

Stev alipewa sapoti na wamiliki na wapo ambitious wanahitaji kua nafasi ya 5 mpaka 8 sasa yeye sokoni kaingia kichwa kichwa kwa kufuata hisia badala ya data and he lost the dressing room n th rest is history.
Team well loaded na vipaji Buedia, Witkins, Cash, Ramsey, Luiz nk

YNWA
 
Kutoka quadruple contender mpaka kwenye others maisha haya na Klopp ndio kwanza anataka developement ya players sijui players wapi hao

NASEMA SITAKI MSHTUKO WA MOYO MIE tushakua sugu wa vipigo, chelsea mtufunge ili FSG OUT ipambe moto…
Kushabikia Liverpool ukiwa na BP ujue ni kujitafutia matatizo makubwa sana😂😂😂😂Hii timu hua inakupa raha sanaaa na ikianza maumivu basi ni maumivu haswa case study msimu wa 2020 2021 ilikua balaaa tupu mpaka Alison anafunga ile goli la kutupeleka Champions League tulikua hoi sana....

Jikaze ndugu tumeipenda wenyewe 😂😂

YNWA
 
Milner was deemed surplus to requirement Manchester City wakamwachia je iliwafanya wawe dhaifu hapana wameshina EPL 5 nadhani tangu ameodoka Ethad.. Point ni kwamba tuwe wepesi wa kuwaachia wachezaji wakifika ukomo kushindana kwenye levo za juu sanaaa... Kwa sasa tuna wachezaji wengi ambao ni aidha wakacheza Amerika ambapo levo ya ushindani ipo juu ama wakacheza timu zinazosidikiza wengine kweny ubingwa na sio timu inayopamba kushinda makombe...


YNWA

Nadhani hii kitu iko kwa wajeruman, nikikumbuka Tuchel ndie aliyefanya Azplicueta akaongeza mkataba wakat uwezo wake ushaisha nachoka.
 
Nadhani hii kitu iko kwa wajeruman, nikikumbuka Tuchel ndie aliyefanya Azplicueta akaongeza mkataba wakat uwezo wake ushaisha nachoka.
Chelsea chini ya mdada Mrusi walikua makini sana kwa wachezaji wenye umri zaidi ya miaka 30 ilikua ni mwaka mmoja with option ya kuongeza mmoja mpaka pale watapata mbadala wake.. Hata Manchester City lazima mchezaji awe special kweli kweli ndio watakomaa ili aliesajiliwa kuka kuridhi namba akae sawa..

Azplicueta du j huyu mwamba amecheza chini ya makocha zaidi ya 5 hapo darajani tangu ametua.. Nadhani kwa kua hua haumii sana na team leader inampaga mileage kupewa nyongeza..

Huku kwetu usishangae Milner, VVD, Fabinho, Thiago wakapewa miwili zaid 😂😂😂we are so doomed.

YNWA
 
Watched Robertson leo, i think its time Kostas aanze kupata run of games, na tuanze kujiangaa kutafuta new LB, Robertson is. physically finished, just a matter of time kabla hajapata breakdown ya moja kwa moja kama Henderson, Fabinho & Matip.

We need a new young CB kum-partner Konate, and start to phase out VVD.

VVD, Henderson, Robertson, Matip, Fabinho, Thiago, Ox, Milner, Salah wote ni above 29, we need to start a gradual clear-out.
For playing defence in EPL speed is of the essence man.. Now playing dynamic LB for Klopp system means speed to attack and speed to defend if th3 situation requires... Tsimikas is good in defending and that left foot can put a proper cross but he lacks speed especially vs speedy teams we will suffer... Robertson is not fully finished he still can do a proper job on his day but he has no 2 more seasons as 1st LB of the club...

During Summer 2022 i really thought Klopp will go for Bremer but he didn't that would have been cool to fore plan future partnership ya CB area, right now we have a weak leaking defence regardless VVD anacheza ama la probably due to MF inakua bypassed easily na mashambulizi yanakua mengi kiasi wanachoka mpaka wanaachia... Without a proper working MF lawama kwa defence hazitaisha kabisa..
We need to offload MF wafuatao
Keita
Ox
Henderson
Jones
Fabinho
Thiago
Milner
Elliott acheze RW that his favourite

Mabeki we need to offload
Gomez
Matip

Forwards we neee to offload
Firmino.
Fabio need a quick 1 season loan.

Lets wait June 2023 mipango endapo klabu haijauzwa itakua aje.

YNWA
 
Afu sasa, juzi nimefurahi kuona Klopp anasema something needs to change at the club, then jana nikaona kwenye presser yake kuna indications zote zinazoonesha kuwa anataka kumpa Milner another 12 months contract.
Milner is one lucky fella... I can't see anything that boy brings to to this team rather enjoying his wages n pumping his game record... Why on earth would we need 38 yrs babu like serious n yet we are saying EPL is ours to take next season haha we are joking... Klopp hajaamka ligi ushindani umerejea balaa na timu nyingi zinfanya analysis kabla ya kununua yaaani ni data driven purchases kulingana na mfumo timu inayocheza sasa kweli Babu Milner anaeza ku offer nini Liverpool playing 4 3 3 attacking using side flanks as wingers when in attack ...

Easy solution sign 2 world class MFs, establish Bajectic as 1st team player recall Morton in June 2023 from Blackburn and we have proper MF working efficiently...

Klopp saying changes ni bla bla za ku buy time dirisha la usajili lifungwe.

YNWA
 
b814097c-c5de-4095-a9e5-7cbd3038e646.jpg
 
PSG, Spurs, Bayern, Barcelona, Chelsea wote wametu-outspend summer iliyopita.
Chelsea ndani ya miezi 6 tu wamesajili kwa pesa kutumia pesa nyingi zaidi ya Liverpool kwa misimu minne iliyopita na ukumbuke wamiliki wa Chelsea ni wapya hawajaoja utamu wa ela ya kumiliki supa power club pale Uingereza kama ambavyo wamiliki wetu FSG chini ya Klopp wamefaidi...

Tuna wamiliki wa ajabu ma opportunitist namba moja kwao kushiriki Champion League ndio target huku mashabiki tukitegemea kila dirisha tuone usajili wa maana kumkimbiza kipara kumbe wao ni ushindi kumaliza big 4 kuza brand ya Liverpool kwa miaka kadhaa aafu uza klabu kwa faida... We have been played by this Yankees big time yaaani they had a mission they have succeeded now wanasaubiri kupokea cheki kutoka kwa waarabu worth £3.5 billions+ huku wao walinunua timu over £310m...

YNWA
 
😂 😂 😂 Steve wanted to send message to FSG that kwamba ile nyongeza ya mkataba wa Klopp ulikua hauhitajiki..

Unajua EPL bhana haina kibonde kama sokoni timu ikiwa makini basi uhakika wa kufanya vyema na bahati iwepo pia...

Stev alipewa sapoti na wamiliki na wapo ambitious wanahitaji kua nafasi ya 5 mpaka 8 sasa yeye sokoni kaingia kichwa kichwa kwa kufuata hisia badala ya data and he lost the dressing room n th rest is history.
Team well loaded na vipaji Buedia, Witkins, Cash, Ramsey, Luiz nk

YNWA
Unamuonea Gerrard
 
Sidhani kama kuna hali mbaya zaidi ya hii tena ndugu kwamba unakwenda kutazama mechi ya Liverpool vs Brighton ukiwa na matokeo mfukoni aisee kwamba ni kichapo tu.. Hakuna hali ngumu zaidi ya hii ndugu... Kwenye mbio za ubingwa hatumo...

YNWA
Siamini Liverpool hii ambayo mwaka jana tu hapo tulikuwa tishio kwa kila timu.
Sasahivi eti hakuna timu inatuogopa🥺
 
Siamini Liverpool hii ambayo mwaka jana tu hapo tulikuwa tishio kwa kila timu.
Sasahivi eti hakuna timu inatuogopa🥺
Timu inatabirika mfumo... Unakumbuka alivyohojiwa Ancelot alisema Liverpool tuna staili moja tu ya kushambulia kutumia Trent na Robertson ambao wanapeleka mashambulizi mbele kuwa supply ma strika wetu sasa hao wakibanwa mashambulizi yasifike then tunakua butu balaaaa na kwa kua sasa MF yetu inapitika kama haipo tunafungwo sisi... Klopp alikua na idea powa sana kusajili Nunez ili aachane na 4 3 3 attacking na atumie 4321 kwa bahati mbaya aliwa over estimate uwezo wa wachezaji wake pale kati bila kujua hawapo flexible kubadilika na wakati ama tu sema tu wamefika mwisho wa kucheza high level high intensity football...

YNWA
 
Mbinguni huendi ati🤣💔
Akija hapa Ihefu itapendeza zaidi
Ebu tusaidie huyu bwana achomoke hapa Anfield leo leo tupumue for real tumechoka na huyu bwana kutembelea nyota za wengine... Akipangwa upande wowote lazima palegee tazama upande wa Trent badala amsaidie yeye ndio kwanza anataka kufunga na kutoa na klosi yasiokua na kichwa...

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom