Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ebu tusaidie huyu bwana achomoke hapa Anfield leo leo tupumue for real tumechoka na huyu bwana kutembelea nyota za wengine... Akipangwa upande wowote lazima palegee tazama upande wa Trent badala amsaidie yeye ndio kwanza anataka kufunga na kutoa na klosi yasiokua na kichwa...

YNWA
Unaonaje akatua hapo kwenye timu zenu za daslam🤣
 
Timu inatabirika mfumo... Unakumbuka alivyohojiwa Ancelot alisema Liverpool tuna staili moja tu ya kushambulia kutumia Trent na Robertson ambao wanapeleka mashambulizi mbele kuwa supply ma strika wetu sasa hao wakibanwa mashambulizi yasifike then tunakua butu balaaaa na kwa kua sasa MF yetu inapitika kama haipo tunafungwo sisi... Klopp alikua na idea powa sana kusajili Nunez ili aachane na 4 3 3 attacking na atumie 4321 kwa bahati mbaya aliwa over estimate uwezo wa wachezaji wake pale kati bila kujua hawapo flexible kubadilika na wakati ama tu sema tu wamefika mwisho wa kucheza high level high intensity football...

YNWA
Ngoja tuone mwisho wa hizi drama
 
Ngoja tuone mwisho wa hizi drama
Mwisho tenaa hahaha tegemea paleeee ujenge kibanda nafasi ya 6 ama ya 7 tutashiriki Europa Conference League 😂😂😂hata sijui kombe linafanana aje duh...

Mwisho uwe na maji ya baridi sana kuanzia April maana pale ndio reality check itaanza kutua kwa spidi kali sanaaaaa....

YNWA
 
You never know
Pengine tungekuwa pazuri
😂😂😂😂Kama anajua anajua tu hakuna cha pengine alipewa mkwaja akakimbia kununua useless buys matokeo yake hata aliowakuta pale wakamgeuzia kibao kwamba hawaelewi nini anafundisha kocha akishapoteza heshima ya trust ya wachezaji wake vipigo vinafuata maana wanakosa harmony na cohesion na baada ya vipigo mashabiki wanaanza kuzomea na taa inawaka kwamba kibarua kinaelekea mwishoni...

Apate timu hukoo Championship panamfaa... Unamuona Kompany na Burnley wapo motooo 🔥 kusaka kupanda tena EPL msimu ujao.

YNWA
 
Kama anajua anajua tu hakuna cha pengine alipewa mkwaja akakimbia kununua useless buys matokeo yake hata aliowakuta pale wakamgeuzia kibao kwamba hawaelewi nini anafundisha kocha akishapoteza heshima ya trust ya wachezaji wake vipigo vinafuata maana wanakosa harmony na cohesion na baada ya vipigo mashabiki wanaanza kuzomea na taa inawaka kwamba kibarua kinaelekea mwishoni...

Apate timu hukoo Championship panamfaa... Unamuona Kompany na Burnley wapo motooo kusaka kupanda tena EPL msimu ujao.

YNWA
Poor Gerrard
Nimeumia

Bobby naomba picha
 
Poor Gerrard
Nimeumia

Bobby naomba picha
😂 😂 😂 Here comes Bobby
Screenshot_20230123_081109_com.android.chrome_edit_473089614209579.jpg



YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom