Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nat philips huyu akipewa nafasi ni zaidi ya milenda milenda konate, matip na Gomez, sijui kwanini klop hampi nafasi huyu mwamba
Konate?

Konate is the future of LFC, if anything we need to build our backline around him.

Nat Phillips ni orthodox Centre Back, type ya CB ambaye ata-flourish kwenye a deep block oriented team, ni dream CB kwa coaches kama Sean Dyche, Tony Pulis, Sam Alladyce, Nuno, Chris Wilder, Bruno Lage, even Unai Emery & Julien Lopetegui

He's not a "typical" Klopp CB, Klopp CBs strength ni Pace/ball recovery & being able to create/pump attacks from the back, Nat Phillips got no pace/creativity sense, he's just a "pure" defender, ndiyo maana Klopp akiamua kumtumia huwa anamtumia zaidi kwenye basic/bland 442.
 
Klopp is confused fella. If he is not making tactical mistake then he is making squad mistakes...

That happens when the usual 1st 11 is broken out of form and Klopp forced to alter new ideas new bench or young players coming in to the squad ambao hawajacheza kwa pamoja competitive games mara kwa mara.

Klopp was used to play Same Front guys(Mane n Salah rarely got injured) same MF guys same Defence sasa introducing new bench boys and new ideas when th team is low in confidence lost n confused will always be a challenge but the sooner they play together mara kwa mara th better we become compact and lethal...

Ushindi wa Wolverhampton na sare ya jana ni mwanzo mzuri na imekua wiki nzuri kwa hali tulionyao japo tumekutana na timu ambazo nao wamepoteana but matokeo yatawajenga wachezaji 'wapya' wajitune zaidi na wale wa zamani wakishaona uhakika wa namba ni ushindani nao watazidisha umakini...

YNWA
I think Klopp needs a new assistant Coach.

Ljinders amepewa room kubwa sana ya ku-present new ideas, but naona zote zina-backfire at the moment, playing Salah as a touchline winger was Lijnders idea, he even boosted about it kwenye medias, and that was the first cause of our downfall this season.

I dont think it was klopp alone who was refusing Plan B MFs from Ward, and its largely making sense now kwa Klopp kuamua kurudi kwa Matheus Nunes, i'm 100% sure it was Ljinders who vetoed this signing, having a ball to feet MF, who is so good at recycling possession, resisting press, good & strong hold-up play, pacey, ball player etc, kusinge-align na idea ya Lijnders kumchezesha Salah as a touchline winger, maana to play Salah there ilikuwa ni lazima Trent a-occupy a lot of space kwenye our Right MF, ambao kungezuia sana explosiveness ya Nunes, play Henderson & Elliott ilikuwa ni safe option, ambayo matokeo yake yamekuwa ni mabaya sana.

Now Klopp ameanza kurudi kwenye basics, ambapo rule namba moja ya kurudi kwenye basic ni kujaribu ku-shape your defensive line (backline + MF).
 
Steve wanted to send message to FSG that kwamba ile nyongeza ya mkataba wa Klopp ulikua hauhitajiki..

Unajua EPL bhana haina kibonde kama sokoni timu ikiwa makini basi uhakika wa kufanya vyema na bahati iwepo pia...

Stev alipewa sapoti na wamiliki na wapo ambitious wanahitaji kua nafasi ya 5 mpaka 8 sasa yeye sokoni kaingia kichwa kichwa kwa kufuata hisia badala ya data and he lost the dressing room n th rest is history.
Team well loaded na vipaji Buedia, Witkins, Cash, Ramsey, Luiz nk

YNWA
Unlike other retired star players, SG ni kama Zidane, wanakipawa cha ku-command authority because katika kipindi cha miaka yote waliyocheza mpira walifanikiwa ku-influence a lot of kids ambao wengi ni footballers sasa, so kunakuwa na ile sense ya respect na royality kwenye team, ndiyo maana Zidane alifanikiwa sana madrid, because Kina Kroos, Modric, Benzema, Bale, Casemiro, Varane, Carvajal, Vazquez etc, wameishi na kukua wakimshuhudia Zidane akicheza mpira katika highest LEVEL, so ilikuwa ni lazima wajitoe uwanjani for him, its nature.

ni kama SG, ni moja kati ya wachezaji wachache sana wakiingereza waliofanikiwa kupata global appeal, na ku-draw in huge number of admirers across the world, ndiyo maana at one time Club ilikuwa inamtumia ku-attract players, moja kati ya our negotiation tool kipindi kile ilikuwa ni "utacheza na Steven Gerrard", na SG alikuwa instructed numerous times kuwapigia simu our targets kuwa-convince kuja LFC, ndiyo maana hata alipoenda Rangers alifanikiwa kubadilisha atmosphere mapema sana, at Aston Villa, alifanikiwa kuwapelekea Coutinho from Barcelona, watu watasema kwakua alicheza nae, but SG alimpeleka Camara at Aston Villa, alimpeleka Diego Carlos at Aston Villa, but at the end hata kwa pull aliyonayo, nilikuwa sioni akifanikiwa at Villa, maana job ilikuwa too big for him kwa kipindi kile, na aliwahi sana kuondoka Rangers.

Alipofukuzwa Aston Villa, nilikuwa naombea sana asikubali kazi za Championship clubs, au relegation fodder PL clubs, kwasababu zingemuharibia zaidi CV yake as a coach and a legendary player, but hii ya kutaka kwenda Poland haijakaa vizuri kabisa, alitakiwa a-hold out for Midtable bundesliga & Liga 1 clubs, na akae huko ajinoe na kujikomaza for a while, but path anayotaka kuchagua now, haitomsaidia/kumuongezea chochote kwenye his coaching career.
 
Kushabikia Liverpool ukiwa na BP ujue ni kujitafutia matatizo makubwa sanaHii timu hua inakupa raha sanaaa na ikianza maumivu basi ni maumivu haswa case study msimu wa 2020 2021 ilikua balaaa tupu mpaka Alison anafunga ile goli la kutupeleka Champions League tulikua hoi sana....

Jikaze ndugu tumeipenda wenyewe

YNWA
We are few signings away & few tweaks kwenye management & adminstration area, kurudi kama zamani.

We are eyeing Paul Mitchell (Monaco DOF), kuja kuchukua nafasi ya Julian Ward, he's good.

Big miss itakuwa ni Ian Graham tu, sidhani kama tutaweza kum-replace, but i believe Paul Mitchell & Klopp will work vizuri sana.

Paul Mitchell track-record yake ni nzuri sana, from Southampton, to spurs mpaka Monaco

At Souhampton he managed to sign the likes of Clyne & Yoshida, we ended up signing Clyne from them, at Spurs his track record ni very impressive, he signed Son, Alli, Aldeweirled etc

Na, he was responsible kwa kum-sign Tchouamen for Monaco kutokea Bordeaux, na nadhani alifahamiana zaidi na Klopp kwenye ile debacle ya Tchouamen kipindi cha usajili wa dirisha kubwa, maana strong rumuors ni kuwa Klopp amemchagua yeye mwenyewe binafsi.
 
Finished club.
We are few signings away & few tweaks kwenye management & adminstration area, kurudi kama zamani.

We are eyeing Paul Mitchell (Monaco DOF), kuja kuchukua nafasi ya Julian Ward, he's good.

Big miss itakuwa ni Ian Graham tu, sidhani kama tutaweza kum-replace, but i believe Paul Mitchell & Klopp will work vizuri sana.

Paul Mitchell track-record yake ni nzuri sana, from Southampton, to spurs mpaka Monaco

At Souhampton he managed to sign the likes of Clyne & Yoshida, we ended up signing Clyne from them, at Spurs his track record ni very impressive, he signed Son, Alli, Aldeweirled etc

Na, he was responsible kwa kum-sign Tchouamen for Monaco kutokea Bordeaux, na nadhani alifahamiana zaidi na Klopp kwenye debacle ya Tchouamen, maana strong rumuors ni kuwa Klopp amemchagua yeye mwenyewe binafsi.
20230123_163841.jpeg
 
For playing defence in EPL speed is of the essence man.. Now playing dynamic LB for Klopp system means speed to attack and speed to defend if th3 situation requires... Tsimikas is good in defending and that left foot can put a proper cross but he lacks speed especially vs speedy teams we will suffer... Robertson is not fully finished he still can do a proper job on his day but he has no 2 more seasons as 1st LB of the club...

During Summer 2022 i really thought Klopp will go for Bremer but he didn't that would have been cool to fore plan future partnership ya CB area, right now we have a weak leaking defence regardless VVD anacheza ama la probably due to MF inakua bypassed easily na mashambulizi yanakua mengi kiasi wanachoka mpaka wanaachia... Without a proper working MF lawama kwa defence hazitaisha kabisa..
We need to offload MF wafuatao
Keita
Ox
Henderson
Jones
Fabinho
Thiago
Milner
Elliott acheze RW that his favourite

Mabeki we need to offload
Gomez
Matip

Forwards we neee to offload
Firmino.
Fabio need a quick 1 season loan.

Lets wait June 2023 mipango endapo klabu haijauzwa itakua aje.

YNWA
Kwenye MF, i think Thiago should stay, we will need him kwenye ku-see out games in the neae fufure, ni aina ya wachezaji ambao watacheza kwa muda mrefu sana baada ya kuhit 30, mfano Modric, Pirlo au hata Moutinho at Wolves, ni tactical players ambao huwa hawawewi phased na speed ya mchezo, hata Rodri wa Man city atacheza mda mrefu sana, tactical players huwa wanadumu sana, we cant sell Thiago, especially kama tunafanya re-build, same kwa Firmino.

Maana ukiwa unafanya re-build, kuna familiar faces ambazo bado zinakuwa na uwezo wa ku-offer vitu tofauti zinatakiwa ziwepo bado, ndiyo maana nili-suggest pia Mane apewe hata a 24 months contract, maana kuna vitu ana-offer our young attackers hawana, ndiyo maana kuna dis-connect kidogo kati ya Salah na our new attackers, hence tulikuwa tunahitaji Mane awepo ili kipindi ambacho new attackers wana-bed in, attacking force yetu ipo bado kwenye shape.

Aina ya style ambayo Klopp amemchezesha Gakpo ni kama ile anayocheza Firmino, but tumeona kuwa Gakpo needs a lot of time kujifunza new ways, sasa wakati Gakpo anapata muda wa ku-bed in taratibu tunakuwa na mchezaji wa kuziba Void, ni same wakati ule Milner alivyokuwa anaziba void wakati kina Fabinho wana-bed in.

Ni suala tu la kuwa na good phase-out plan, now give Firmino a 12-24 months contract, Nunez is 22, Gakpo is 23, Carvalho is 20, let them bed in kwa nafasi, i mean, watapata a lot of minutes kuliko Firmino, but siku wakiwa hawatoshi au kuna makosa kulingana na Klopp anavyokuwa anataka wacheze kunakuwa na mtu wa kumgeukia kwenye Bench (Firmino), same kwa Thiago, maana targets zote za viungo ni under 22, so you'll need Thiago (a world class MF) to narture them, not Henderson, Milner or Keita.

and sababu ya kusema Thiago na Firmino ni kwasababu they are still good at what they do, na wana-offer vitu tofauti sana, on the SLIGHTEST ningeweza kuwaachia Thiago na FIrmino kuondoka kama tungewa-sign Enzo Fernandez & Joao Felix/Julian Alvarez hizi ni like to like Thiago & Firmino profiles.

Yes, i'd sell Fabinho, na bado nashikilia msimamo wangu pia we need to start phasing out VVD & Robertson, phasing-out siyo kuuza right way, ni kununua similar profiles kwenye nafasi zao ambazo zitakuja ku-take over position za wahusika taratibu, mfano mdogo tu ni kwa Konate na Matip, thats proper phasing out plan, now hata Matip akiondoka Konate anakuwa tayari ameshazoea na yupo comfortable, tunahitaji similar profile ya VVD, Josko Gvardiol is 21, and a LFC fan through and through, kama atakuwa bei sana, get Evan Ndicka for a good price (he's 23)

VVD, will be 32 later this year, injury yake ya ACL, imeondoa kabisa bust yake na quick ball recovery plays, na side-effect zingine za ACL ni muscular injuries na knocks za mara kwa mara, sasa na kwa umri wake now, tunatakiwa tuwe na plan kuhusu mbadala wake.

Robertson, physical oriented player, anagemetea sana Pace & his physical engine, Yes anamzidi sana Kostas pace, but kostas ni tactical LB, na inaweza isiwe LFC but atadumu muda mrefu zaidi kwenye mpira kuliko Andy, ukiachana na his monstorious pace & physical stance, Robertson hana kingine kikubwa anacho-offer, kuna age ikifika tutahitaji awe anafanya over-laps kama sasa na atashindwa, atabakia kuwa mzigo kama Henderson, ndiyo maana tunahitaji sana new LB, regardless na uwepo wa Kostas.

Man, LFC tunayoiona sasa ni kutokana na. kutokuwa na proper phasing out plan, kina Henderson, Keita, Ox, Milner etc wanacheza week in, week out, kwasababu hatuna direct mibadala yao, Elliott & Carvalho are not MFs lakini wamekuwa wakilazimika kucheza hayo maeneo kama senior MFs wakiwa hawapo, hii ni FAILURE, hasa kwa team kubwa kama LFC.
 
Chelsea ndani ya miezi 6 tu wamesajili kwa pesa kutumia pesa nyingi zaidi ya Liverpool kwa misimu minne iliyopita na ukumbuke wamiliki wa Chelsea ni wapya hawajaoja utamu wa ela ya kumiliki supa power club pale Uingereza kama ambavyo wamiliki wetu FSG chini ya Klopp wamefaidi...

Tuna wamiliki wa ajabu ma opportunitist namba moja kwao kushiriki Champion League ndio target huku mashabiki tukitegemea kila dirisha tuone usajili wa maana kumkimbiza kipara kumbe wao ni ushindi kumaliza big 4 kuza brand ya Liverpool kwa miaka kadhaa aafu uza klabu kwa faida... We have been played by this Yankees big time yaaani they had a mission they have succeeded now wanasaubiri kupokea cheki kutoka kwa waarabu worth £3.5 billions+ huku wao walinunua timu over £310m...

YNWA
Chelsea will get Top 4 kama wakimpata Caicedo.
 
I am not against it.

Kuna post yangu moja nilisema kuwa itakuwa ngumu sana kum-keep Kelleher now.

He's 24 man, na ni very good GK, offers lazima zingekuja nyingi, na kwa uwezo wake asingekubali kuendelea kuwa number 2, its just nature.

ni time ya Marcelo Pitaluga kuchukua nafasi as a number 2, kama Kelleher akiondoka this window or summer.
 
Kelleher wants to start games mara kwa mara, and we cant offer him that.

Case ya Kelleher ni tofauti na Adrian, Adrian yuko mwishoni mwa his career, Kelleher ndiyo kwanza anaanza, he's 24, hawezi kukubali kuendelea kuwa number 2 at LFC wakati anapokea offers kutoka clubs zingine za kwenda kuwa number 1, hata kama ni midtable clubs.

The least we can offer Kelleher kwasasa ni EFL games, juzi hapa Klopp alisema kuwa Alisson ni his FA cup GK, kabla ya zile blunder za Alisson against Wolves, that was poor man-management from Klopp.

Msimu ujao kama Kelleher akibaki, the least tutamu-offer ni EFL, FA and Europa League games, na ni 50/50 kwenye Europa League, hatujui mkataba wa Alisson unasemaje kuhusu hilo, maana Klopp kumpa FA cup game Alisson at Anfield against Wolves (first tie) wakati Kelleher was fit ilikuwa ni absurd.

kama amepata/atapata offers za kwenda kucheza as number 1 kwenye clubs zingine, i'd let him go.

as much as i hate FSG, i wouldnt want to be selfish kama wao, na siwezi kuwalaumu kama Kelleher akiamua kuondoka, he needs to grow as a player, he's 24 and a very good Goal-Keeper, kwa umri wake na kwa ubora wake, keeping him kwaajili ya EFL cup games haitakuwa fair especially kama. amepata offer nzuri.

Being a number 2 GK kwenye football ni hard sana, ni case tofauti sana na wachezaji wa ndani, maana kupata game-time inakuwa ngumu sana, especially kama number 1 ni world class, atleast ukiwa mchezaji wa ndani unaweza ukapata dk 15-30 mara kwa mara, au sometimes ukaanza games kutokana na rotation, i think Fabio Carvalho msimu huu amekuwa na appearances nyingi sana kuliko Kelleher, na he rarely plays.

So let the kid go, let him go and grow somewhere, he played his huge part at LFC, he's 24 na yupo mwanzoni kabisa mwa his career, kama ana-feel anahigaji ku-grow zaidi, just let him go.

Mwenzake Ward ni number 1 at Leicester now, and you know what, i think Leicester will bid for Kelleher, Ward is not having a good time there.

Time ya other kids, ku-take the chance and kujifunza kwa Alisson, i think a 20 year old Pitaluga will be ready next season.
 
Chelsea will get Top 4 kama wakimpata Caicedo.
Are we this broke kushindwa Caicedo kwa hali yotote ile hata kutoa Phillips kwa mkopo na kulipa hilo dili kwa awamu kadhaa kama FSG hawataki kulipa ela sababu dirisha likisogea hivi itakua ngumu kumpata kwetu sababu wenyewe Brighton watakua hawana muda wa kupata replacement unless iwe direct cash....

Last time we waited for a player ro sign for us didn't work as planned that was Kieta we had to wait almost for a full season kumpata n damn how i wish he had chosen Barcelona 😂😂😂...

Kovacic na Caiceido will be fire sana.

YNWA
 
I think Klopp needs a new assistant Coach.

Ljinders amepewa room kubwa sana ya ku-present new ideas, but naona zote zina-backfire at the moment, playing Salah as a touchline winger was Lijnders idea, he even boosted about it kwenye medias, and that was the first cause of our downfall this season.

I dont think it was klopp alone who was refusing Plan B MFs from Ward, and its largely making sense now kwa Klopp kuamua kurudi kwa Matheus Nunes, i'm 100% sure it was Ljinders who vetoed this signing, having a ball to feet MF, who is so good at recycling possession, resisting press, good & strong hold-up play, pacey, ball player etc, kusinge-align na idea ya Lijnders kumchezesha Salah as a touchline winger, maana to play Salah there ilikuwa ni lazima Trent a-occupy a lot of space kwenye our Right MF, ambao kungezuia sana explosiveness ya Nunes, play Henderson & Elliott ilikuwa ni safe option, ambayo matokeo yake yamekuwa ni mabaya sana.

Now Klopp ameanza kurudi kwenye basics, ambapo rule namba moja ya kurudi kwenye basic ni kujaribu ku-shape your defensive line (backline + MF).
Shinda kuu ni Klopp aisee ni he lets others dictate issues klabuni here n there just because we are heading for the same course doesn't mean wote wana uwezo kama Klopp.... Lijnders is good but he is trying too had to be mridhi wa Klopp by any means necessary na hapo anafeli asubuhi sababu huu sio wakati kuleta influence klabuni akidhani itambeba wakati Klopp anaachia ngazi...

Old school coaches were simply the best... If Salah has delivered in th past playing primary as RW cum RS why bother to change him now at his age knowing that will affect his output...

Klopp get the bite from th fans, bosses, media when the going get rough he need to put his house in order owning all what's being planned, ideas n all... He has to ger back to basics maana currently ww are being outplayed, outrun, losing simple passes, simple marking nk mpaka unajiuza walimu huko Kirkby wanafundisha nini...one major Foot ball basics is never lose a pass in dangerous area where we can be hurt because that will cost us tazama goli la kwanza la Brighton, magoli mawili ya Brentford kote tulipoteza mipira eneo la hatari na tukapigika.. Zamani ilikia ndio sisi tuna wa harass wapinzani mpaka wanapoteza mpira na tunaanzisha mashambulizi hili tulifanikiwa mpaka kwa Manchester City tazama gemu Wembley Liverpool vs Manchester City pale Mane akimtia presha kipa wao mpaka akafunga goli... Right now we are being given our very own tactics and tunafungwo kirahisi sana...

Elliott EPL shoes are still too big for him boy has potential lakini sio Messi huyu dogo he has limit and playing him at the left side is suicidal kwa kua hata kule Righy side ana struggle balaa... Give Brighton some cash na Elliott or Jones and get Caiceido at Anfield 😂😂

Henderson is one lucky fella, old Captains pull the team out of this kind of mess we are in lakini yeye anajificha hukooo wengine wapata lawama...

YNWA
 
NEW: Fenway Sports Group are seeking new shareholders at Liverpool with a full takeover of the club now looking less likely. #lfc [liverpool echo]

FSG are still looking for investors to come in with a cash injection with additions to the squad much needed, as per @LivEchoLFC
 
Firmino alikuwa ni mlevi sana off the pitch, ni kama Jack Grealish.

but nadhani aliamua kubadilika baada ya kukamatwa kwa ile case yake ya kuendesha akiwa amelewa, think baada ya case yake kuwa resolved, club itakuwa ilimkata wages za kutosha.
Kumbe Kuna hadi walevi wachezaji
 
Unlike other retired star players, SG ni kama Zidane, wanakipawa cha ku-command authority because katika kipindi cha miaka yote waliyocheza mpira walifanikiwa ku-influence a lot of kids ambao wengi ni footballers sasa, so kunakuwa na ile sense ya respect na royality kwenye team, ndiyo maana Zidane alifanikiwa sana madrid, because Kina Kroos, Modric, Benzema, Bale, Casemiro, Varane, Carvajal, Vazquez etc, wameishi na kukua wakimshuhudia Zidane akicheza mpira katika highest LEVEL, so ilikuwa ni lazima wajitoe uwanjani for him, its nature.

ni kama SG, ni moja kati ya wachezaji wachache sana wakiingereza waliofanikiwa kupata global appeal, na ku-draw in huge number of admirers across the world, ndiyo maana at one time Club ilikuwa inamtumia ku-attract players, moja kati ya our negotiation tool kipindi kile ilikuwa ni "utacheza na Steven Gerrard", na SG alikuwa instructed numerous times kuwapigia simu our targets kuwa-convince kuja LFC, ndiyo maana hata alipoenda Rangers alifanikiwa kubadilisha atmosphere mapema sana, at Aston Villa, alifanikiwa kuwapelekea Coutinho from Barcelona, watu watasema kwakua alicheza nae, but SG alimpeleka Camara at Aston Villa, alimpeleka Diego Carlos at Aston Villa, but at the end hata kwa pull aliyonayo, nilikuwa sioni akifanikiwa at Villa, maana job ilikuwa too big for him kwa kipindi kile, na aliwahi sana kuondoka Rangers.

Alipofukuzwa Aston Villa, nilikuwa naombea sana asikubali kazi za Championship clubs, au relegation fodder PL clubs, kwasababu zingemuharibia zaidi CV yake as a coach and a legendary player, but hii ya kutaka kwenda Poland haijakaa vizuri kabisa, alitakiwa a-hold out for Midtable bundesliga & Liga 1 clubs, na akae huko ajinoe na kujikomaza for a while, but path anayotaka kuchagua now, haitomsaidia/kumuongezea chochote kwenye his coaching career.
Kuna tatizo kubwa pale Aston Villa in the dressing.. Its crisis managing a divided broken dressing room... Alivyotemwa Dean Smith and Steve G kupewa kazi alitumia wachezaji wale wale na kushinda mechi kuokoa msimu wao na wakabaki kwenye Ligi na ajabu wachezaji wale wale walijitoa sana kwa ajili ya Steve na ajira yao maana kubakia ligi kuu ilikua ni lazima kwa uwekezaji ule.. Sasa msimu huu target ilikua wasogee mpaka nafasi za kucheza Europa lakini ikawa matokeo sio rafiki sana kwa Steve na mashabiki wakasema he need to go...

Sasa hivi wachezaji wale wale wana deliver kwa Unai matokeo mazuri tu yaaani kazi kweli kweli.

Sina hakika kama kuodoka kwa Michael Beale pale Aston Villa na kwenda kua kocha QPR kuliadhiri Gerrard kiasi gani pengine inaweza kua moja ya sababu pia kwa kua walikua wote almost miaka mitatu tangu Gerrard aingie kwenye full management.

He has a strong character, now he need a strong advice... I would advise apate klabu na sio timu ya taifa kwa sasa azidi kupata uzoefu wa kutosha.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom