Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kila timu ina utaratibu wake MosDef na ndio maana halisi ya naona Liverpool ni ya kipekee sanaaaa
Kuna sababu kwanini tulikaa 30 years bila PL title, local LFC fans wengi sana hawanaga ambitions.

it took them ages kuanza protests kipindi cha Hicks & Gillett, na walianza protests baada ya club kuzama shimoni kabisa.

Now, wanawa-treat FSG kama gods, FSG didnt save LFC, they bought us at that time kwasababu we were so cheap, na mpaka sasa wamerudisha 100% ya pesa waliyoweka at LFC, with HUGE profit margin, kuongezea wanataka kuuza club kwa region ya 3-4bn, ni captalist ventures ambao hawana mapenzi yeyote na club, but scousers are too blind.

The last time we had a big spending spree ni wakati tumemuuza Coutinho, ni zaidi ya miaka mitano, ndiyo maana hata sishangai team inavyo-struggle now, it was coming, but scousers wapo so comfortable.

Spurs fans leo walikuwa na protests, they want Levy out, but sisi LFC fans ukiwa FSG out especially kwenye platforms za scousers utapata a lot of abuses na racist remarks, na fans wengi wanaotaka FSG waondoke ni wale ambao wapo outside na Liverpool City, 90% ya scousers bado wanataka kuendelea na FSG.

na sioni bright future at LFC kama tukiendelea na FSG.
 
Attachments

  • JamiiForums-496235102.jpeg
    JamiiForums-496235102.jpeg
    34.3 KB · Views: 11
Hivi Captain wewe ni old fan eeh?
😂😂😂Bila ule mkopo wa kumnunua Torres pengine hawa FSG wasingeipata hii timu kwa sababu moja ya sababu Gillet na Hicks iliwalazimu kuuza timu ni kwa sababu Royal Back Of Scotland waliwakalia kooni kulipa pesa walizokopa kununulia Liverpool na madeni mengine ambayo kimsingi waliashinswa kulipa.. FSG wakaona fursa kwa kua Liverpool ina mvuto kibiashara na mafanikio ilikua ni fursa ambayoF SG na Werner asingekumbali ipite hivi hivi hivyo 2010 wakatoa £310m wakauziwa klabu.. Ilikua vita sana mahakamani maana wale ma Yankess karibu wagome ... Ule mkopo ulikua moja ya sababu ya timu kua na crisis kulipa madeni kwa wakati..

Hii klabu jamani hua haikoso kutufia dimu... Muda utasema.

YNWA
 
Kuna sababu kwanini tulikaa 30 years bila PL title, local LFC fans wengi sana hawanaga ambitions.

it took them ages kuanza protests kipindi cha Hicks & Gillett, na walianza protests baada ya club kuzama shimoni kabisa.

Now, wanawa-treat FSG kama gods, FSG didnt save LFC, they bought us at that time kwasababu we were so cheap, na mpaka sasa wamerudisha 100% ya pesa waliyoweka at LFC, with HUGE profit margin, kuongezea wanataka kuuza club kwa region ya 3-4bn, ni captalist ventures ambao hawana mapenzi yeyote na club, but scousers are too blind.

The last time we had a big spending spree ni wakati tumemuuza Coutinho, ni zaidi ya miaka mitano, ndiyo maana hata sishangai team inavyo-struggle now, it was coming, but scousers wapo so comfortable.

Spurs fans leo walikuwa na protests, they want Levy out, but sisi LFC fans ukiwa FSG out especially kwenye platforms za scousers utapata a lot of abuses na racist remarks, na fans wengi wanaotaka FSG waondoke ni wale ambao wapo outside na Liverpool City, 90% ya scousers bado wanataka kuendelea na FSG.

na sioni bright future at LFC kama tukiendelea na FSG.
Yaani Kuna watu wanatamani hawa walafi mabahili waendelee kushikilia umiliki wa timu?

Kweli uchawi upo
 
Bila ule mkopo wa kumnunua Torres pengine hawa FSG wasingeipata hii timu kwa sababu moja ya sababu Gillet na Hicks iliwalazimu kuuza timu ni kwa sababu Royal Back Of Scotland waliwakalia kooni kulipa pesa walizokopa kununulia Liverpool na madeni mengine ambayo kimsingi waliashinswa kulipa.. FSG wakaona fursa kwa kua Liverpool ina mvuto kibiashara na mafanikio ilikua ni fursa ambayoF SG na Werner asingekumbali ipite hivi hivi hivyo 2010 wakatoa £310m wakauziwa klabu.. Ilikua vita sana mahakamani maana wale ma Yankess karibu wagome ... Ule mkopo ulikua moja ya sababu ya timu kua na crisis kulipa madeni kwa wakati..

Hii klabu jamani hua haikoso kutufia dimu... Muda utasema.

YNWA
Aliyeturoga alishakufa na vifaa vyake
 
Personally, nitakuwa tempted ku-cash out on Fabinho in the summer, 25-30m will do it, need to sell him akiwa bado ana value in the market, think Serie A and spain clubs watakuwa tempted.

Sijawahi kuona umeandika lolote kuhusu Calvin Ramsey....why hachezi?

Halafu Nicolo Barela je hawezi fit kwenye system ya Klopp?
 
Sijawahi kuona umeandika lolote kuhusu Calvin Ramsey....why hachezi?

Halafu Nicolo Barela je hawezi fit kwenye system ya Klopp?
Calvin Ramsay anacheza u21, he's a youngster, injuries didnt help pia, maana alivyokuja at LFC alikumbana na msongamano wa injuries, so anapewa a lot of game-times at the academy ili kuwa fit zaidi, though juzi juzi (early this month) hapa alipata a straight red card against Spurs u21,

Kuna clubs (Swansea wakiwa front-runners) zimepiga hodi kuhusu ishu ya loan move, but LFC bado haijarespond.

Nicolo, ni typical Klopp player, but he will turn 26 this february, na Inter Milan wame-stamp a big selling fee on his head, kwa owners tulionao ni ngumu sana kuspend zaidi ya £60m-£80m kwa mchezaji wa miaka 26, though wenzetu kama Man City, Bayern, PSG, Chelsea, United, Madrid, Barcelona etc, huwa hawaoni shida ku-take calculated risks kama hizo..

Na pia Barella mwenyewe anaweza kuwa mgumu sana kutoka nje ya Italy, but he is a World Class Player.
 
Nat philips huyu akipewa nafasi ni zaidi ya milenda milenda konate, matip na Gomez, sijui kwanini klop hampi nafasi huyu mwamba
 
I think, hii MF ndiyo inatakiwa ianze against Chelsea.

test it mpaka HT, kama mambo hayendi, put Fabinho on the pitch.
Klopp is confused fella. If he is not making tactical mistake then he is making squad mistakes...

That happens when the usual 1st 11 is broken out of form and Klopp forced to alter new ideas new bench or young players coming in to the squad ambao hawajacheza kwa pamoja competitive games mara kwa mara.

Klopp was used to play Same Front guys(Mane n Salah rarely got injured) same MF guys same Defence sasa introducing new bench boys and new ideas when th team is low in confidence lost n confused will always be a challenge but the sooner they play together mara kwa mara th better we become compact and lethal...

Ushindi wa Wolverhampton na sare ya jana ni mwanzo mzuri na imekua wiki nzuri kwa hali tulionyao japo tumekutana na timu ambazo nao wamepoteana but matokeo yatawajenga wachezaji 'wapya' wajitune zaidi na wale wa zamani wakishaona uhakika wa namba ni ushindani nao watazidisha umakini...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom