Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Give the boy time Dokta atakaa sawa... New league new team mate new formation, new expectations nk lakini pia ka join kipindi ambacho we are broken as a team, hana service ya kutosha ili a blossom..team attitude is low, low confidence, low penetration...hata Messi aki join sasa he will struggle we are done...

YNWA
LFC fans are so weird, brother.
 
Wachezaji wa clip za YouTube hao kacheki clip za kibu Denis YouTube

Utafurahi
Gakpo alikuwa ni mchezaji wa PSV.

siyo youtube player.


kama umefahamia Youtube, basi utakuwa so naive & ignorant kudhania kuwa a World Class manager kama Klopp ambaye ana miaka si chini ya 20 kwenye management game, amekubali kum-sign Gakpo kwasababu ya Youtube clips.


Kama unategemea speed na explosiveness kwa a ball to feet winger, then tafuta mchezo mwingine wa kufatilia.


Then hata kama aki-fail au kutofikia matarajio at LFC then we will move on, kuna wachezaji walikuwa more talented zaidi ya Gakpo na wali-fail at LFC, so kabla ya kum-bash mchezaji ambaye hajazidisha hata games 3 at LFC ili uonekane you're so funny, mpe kwanza nafasi ya ku-adjust na ku-settle down.

I gave Henderson & Lovren and other players walio-fail at LFC a SEASON, kabla ya kuanza kuwa-judge, na ndiyo sensible fans hufanya.
 
Gakpo alikuwa ni mchezaji wa PSV.

siyo youtube player.


kama umefahamia Youtube, basi utakuwa so naive & ignorant kudhania kuwa a World Class manager kama Klopp ambaye ana miaka si chini ya 20 kwenye management game, amekubali kum-sign Gakpo kwasababu ya Youtube clips.


Kama unategemea speed na explosiveness kwa a ball to feet winger, then tafuta mchezo mwingine wa kufatilia.


Then hata kama aki-fail au kutofikia matarajio at LFC then we will move on, kuna wachezaji walikuwa more talented zaidi ya Gakpo na wali-fail at LFC, so kabla ya kum-bash mchezaji ambaye hajazidisha hata games 3 at LFC ili uonekane you're so funny, mpe kwanza nafasi ya ku-adjust na ku-settle down.

I gave Henderson & Lovren and other players walio-fail at LFC a SEASON, kabla ya kuanza kuwa-judge, na ndiyo sensible fans hufanya.
I was joking so far you took this so seriously 😂😂😂😂
 
LIVERPOOL FC:
Klopp on spending:

"We are in pretty good hands - we know the responsibility we have. We can't worry too much. You don't need to build a new team every year. You have to allow players to develop and we have a few of those players." #lfc [lfc]


Msome hapo Kloop Captain Marvelous
Curtis jones has hit his ceiling, he will never develop, just ship him. out.


Nat Phillips is 25, ship him out.


Elliot cant develop at RCM, and Klopp never benches Salah, and recently us and Man City we asked for Moussa Diaby.

Carvalho ni 8 or a 10, not LW, he will never develop there.

Doak needs a loan

Morton needs another loan

Kaide Gordon needs a loan


when was the last time Carvalho played at 8/10? this is our most talented youngster, but Klopp is mis-using him.

and on top of that 3 capable MFs hawawezi ku-destroy development ya Carvalho, Ellliot & Stefan.
 
3 games in.
We tuache tuongee ya moyoni bhna

Ndio ana game tatu ndani tunaelewana wacha tutoe hasira

We absolutely know Liverpool team will be strong again sisi mashabiki nguli tumekua na nyakati mbaya kuliko hizi so hichi ni normal na bora kuliko enzi za zamani kati hapo

So just left us hatuwezi fanana left us tutoe shit zetu tupoze machungu
 
We tuache tuongee ya moyoni bhna

Ndio ana game tatu ndani tunaelewana wacha tutoe hasira

We absolutely know Liverpool team will be strong again sisi mashabiki nguli tumekua na nyakati mbaya kuliko hizi so hichi ni normal na bora kuliko enzi za zamani kati hapo

So just left us hatuwezi fanana left us tutoe shit zetu tupoze machungu
Machungu unayatolea kwa mchezaji ambaye hana hata games zaidi ya 4?

So shida zote za LFC msimu huu, unakuja kuzitolea kwa Gakpo?

and kama ni fan mkongwe na umepitia nyakati ngumu za LFC before, unakuwaje. triggered kirahisi hivyo na bad patch ya sasa?

Team ina Klopp kama head coach, World Class Keeper, World Class CBs, World Class CM & a DM, World Class Fullbacks, World Class attackers etc, utafananisha na kipindi gani kingine kibovu? tunajua fika kuwa uzembe ulifanyika summer wa ku-tosign MFs na tunalipa kwa huo uzembe kwasasa, ilishatokea na huwezi kurekebisha, move on, fight na ulichonacho.

hizi huwezi kuziita nyakati ngumu hata kidogo, we won 2 trophies last season, tulibakiza two games, ku-complete a quad, hii ni sleep-up, na it was coming from miles away, kutokana na aina ya owners tulionayo, hata Man City performances zao zimeshuka sana msimu huu, but advantage waliyonayo ni ukubwa wa kikosi, sisi tunaumia zaidi kwasababu hatuna depth na injuries kwa Diaz & Jota.

But, sleep-up was bound to happen, na haikupi sababu ya ku-toa hasira zako kwa Gakpo.
 
I believe in gakpo as how i believe in nunez kwamba ata copy with how i still believe with fabinho kurudi form na wengine wengi

I still believe our Liverpool team will be back stronger than ever
Fabinho will never back to his usual form.

Klopp ran him to the ground.

atakaa sawa, but he wont be "Dyson" anymore.

he's 29.
 
Klopp ana muda wa kufanya makubwa zaidi ndani ya LFC kama ataacha kukaza kichwa.

System yake bado ni nzuri ikipata wafanyakazi (players) wazuri, we had seen last kwenye mechi ya wolves. Wolves waliingia full squad but Klopp opt like he did at Andield and it worked well.

Nothing to lose kwa sasa he has to try Bajcetic + Keita + Thiago kwenye combo ya MF kwenye mechi ya leo.
We just need 3 good MFs to turn things around.

Our attack is stacked, maybe tuanze kutafuta a lethal understudy wa Salah, we are looking at Diaby as per reports, but Man City wants him too.

Elliott cant pull Salah numbers at RW, we need a goal scorer.

Our ST options are stacked (Nunez, Jota, Firmino)

Our LW options are stacked (Diaz, Gakpo & Carvalho (for now).

Think we will need a Centre back in the next 2 transfer windows.
 
Juzi umeona report ya revenues? ni kichekesho na inaonyesha ni jinsi gani tulivyo na tight owners

I know revenues arent equal to profit, but boy, do you know how big your business is kuwa ahead of Manchester United kwenye revenues? it means tumeuza merch(s) nyingi kuliko United, tumeuza match-day tickets nyingi kuliko United, tume-kuwa most broadcated club in the world kuliko United, but inakuwaje we cant spend kama United?

I know half ya revenues imeenda kwenye wages, then nyingine kwenye expenses zingine za Club, but ni swali ni kuwa, kwa amount ya revenue tunayokusanya kwa mwaka, why cant we spend kama other big clubs? then Westham, Wolves, Aston Villa, Forest etc are spending more than despite na kuwa na return ndogo sana ya revenues, why not us?

FSG wanaogopa kuchukua loans, kwasababu wanajua watalipa tu, na hata loans za kutengeneza stands zote zinalipwa na club, wenyewe wanachukua faida tu, hata siku moja hawajawahi kutoa pesa kwenye mifuko yao (ambazo ni faida wanazopata at LFC) kununua mchezaji, they have made billions kipindi chote walichokuwepo LFC, target yao kubwa ilikuwa ni Top 4, maana ukiingia CL inasaidia sana kukuza revenues, suala la trophies lilikuwa ni bonus kwao, until Klopp did the impossible, na the day we won the PL, ilikuwa ni siku ambayo we officially outgrew FSG, hawawezi ku-handle team inayo-compete for major trophies, maana demands ni kubwa.

b
FSG are fake owners... Too bad hakuna bigmouth pundits like Gary Neville anavyo wa bash Glazer family telling them at point blank they make money out of Manchester United all the time, they care less about the club nk.. Hapa kwetu hawa wanapewa sifa tu how they have turned Liverpool to power house with mean net spend on purchases.. Hizi sifa zimewapa vichwa balaa.. Mifumo haidumu milele na ule mfumo wa buy young develop sell at a margin was needed to build the team but now we have outgrown that model sababu ya mambo mengi kuanzia covid, age, other team catching up na kutosikiliza watalaam especially Edwards ooh how i wish he can one day open up what really made him quit...
FSG has been caught pant down no escape plan zaidi ya kuuza klabu sasa. Tuna hali mbaya sanaa... Wanatukimbia baadala ya kumpa mwalimu sapoti sokoni ili ajenge upya pote penye udhaifu...
Idara ya scouting iheshimike na wasikilizwe watalaam ndani ya klabu wakisema data zinaonyesha VVD is on the decline basi mapema anauzwa ama kusajiliwa under study wake... Klopp anaingilia kazi za watu especially Ward na Edwards. Nwa muda utasema lini tutapata taarifa sahihi kwamba klabu imeuzwa yaaani itakua xmas comes early.

YNWA
 
Nunez wont fail at LFC

Kuna watu wanasubiri jamaa a-fail at LFC awe wawe proved right, but it wont happen.

He has everything as a ST.

Explosive STs huwa hawa-fail under Klopp.
Nunez the show stopper mtarajiwa.. His stat are crazy..
If only Diaz can have a quick recovery and Nunez play central Forward only his numbers will increase gradually..

Kwa sasa kuna kipindi unamkuta yupo LF akiamshaamsha...

Klopp knows by playing this boy oftenly only then he will get better.

In Nunez i Trust.. Leo Silva ajiadae.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom