Aiseee tumejikuta mmeshatuingiza king Kwa kweli.Sio mliona Manchester united tunachelewesha deal mkatupiga kikumbo![]()
Angekaa at Rangers hata kwa misimu mitatu, create your foundation & long-term playing style identity.Ila Steve bhana how earth did he believe in Chambers na Coutinho watakua salama...
Rangers was the right league for him to learn more about strategies and he knocked down Celtic to win the SPL that was a proper start..
To head to Poland means less competitive games hapa anakua desperate.. Not th right move for his age. Hata Jose aliwagomea Ureno sababu kule hakuna mishe za wekedi ni mpaka International break nk.
YNWA
Utabili wako umetimiaDah pipa na mfuniko zinakutana
Ila naona kabisa itakuwa draw maana wote vilema

Despising others? for having a different opinion? why should i?Hizi ni nyakati ngumu kwa team tukubaliane kutokukubaliana
Usituite new fans sasa pia sababu miaka hio hatukuwepo jf Usituite new fans sasa
You can give your ideas and opinions without despising others
OkDespising others? for having a different opinion? why should i?
Football in general is about opinions..
Kwenye hii hii platform, nishakuwa abused sana kwa ku-share different opinions, so siwezi kumchukia mtu kwa kuwa na mawazo tofauti.
I just found it absurd and ignorant, ku-call out a new player ambaye anajaribu ku-settle kwenye a very chaotic club & atmosphere right now.
Give him time, he will have shit games, miss big chances etc, but give him time.
Ha ha ha.....eti suluhisho Ni timu iuzweKlopp kawauza wamiliki kasema £45m ndio ilikua bajeti pekee dirisha hivyo klabu haina ela ya kuingia sokoni tena yaaani hata Klopp kasema bila ku pepesa maneno pesa haipoYaaaaani tuna wamiliki wa ajabu sana. Yaaani pesa yote ya bajeti imekwenda kwa Cody sasa cha kujiuliza huyu Cody mbona hatumhitaji dirisha hili na wamemnunua wa nini kama pesa ilikua ni hio tu. Bure kabisa maamuzi ya ajabu kwa kua ela haipo hii ingewekezwa MF na sio pale mbele.
Hali iko wazi kwa sasa hatuna majeruhi MF wote ni wazima kabisa lakini mkuu umeona jana Klopp katoa kituko mfumo ulifeli 4 3 1 2 yaaani Thiago acheze 10 ilikua worst gamble jana..
Kwa kweli waadamane tu labda watatoa angalau pesa anunuliwe mchezaji mmoja box to box.
Suluhisho ni hii timu iuzwe tu hakuna namna... Natazama namna uongozi wa Chelsea wanavyompa sapoti amateur coach Potter sokoni huku wakiwa hata kombe la kahawa hawakashinda lakini haijawazuia kuingia sokoni kujenga kikosi tena ununuzi wa kimkakati wakitazama umri.. Liverpool we so doomed tuna pound for pound manager lakini wamiliki wameshindwa kabisa kumtumia vyema kuzoa makombe mengi kwa proper backing anavyohitaji Klopp.
#FSGOut
YNWA





Watched Robertson leo, i think its time Kostas aanze kupata run of games, na tuanze kujiangaa kutafuta new LB, Robertson is. physically finished, just a matter of time kabla hajapata breakdown ya moja kwa moja kama Henderson, Fabinho & Matip.Real Madrid are strong admirers wa Fabinho though at 29 am not sure they are still interested... Umesema powa though i don't advocate for full blown clear out ya wachezaji ingekua powa we do away with dead woods kuanzia Matip, Gomez, Milner, Henderson, Jones, Chamberlain, Kieta, Henderson na Phillips hao kwa kweli they need to go tuanze kuwa na bench lenye kiu ya makombe... Robertson abakie kwa kua Tsimikas hana speed ya EPL especially vs quick team with quick transition he goes awol...
VVD abakie kuwaongoza new signings klabuni lakini ikifika 2024 nae asepe zake that how Klopp should shape his squad.
Klopp hana kifua mbele ya Henderson hata lile swali kama yupo too loyal kwa baadhi ya wachezaji walimaanisha Henderson, Thiago, Fabinho kwa kua wamekua butu lakini wamo tu 1st 11. At least sasa amejua we are watching him properly kuwang'ang'ania wale jamaa. Japo alisema changes will come i guess ileni plain promise huo uwezo hana kwa sasa. Ngoja amalize nafasi ya 6 atajua nini kimetu cost maana maswali yatakuwepo, ma pundits will write what happened for the whole season n we all know kwanza itakua Midfield ndio kikwazo.
YNWA
Hatujachafukwa lakini hawa FSG ni miyeyusho sanaaaa angalia hiyo report ya Deloitte utaona ni kiasi gani cha mapato tulichoingiza na mishahara huwa inalipwa kutokana na bonuses ya ushiriki kwenye michuano mbalimbali. Sasa tutashiriki vipi kwa kikosi chenye wazee kibao na wachezaji wengine ni wa Wodini sio kwenye pitch????.Ha ha ha.....eti suluhisho Ni timu iuzwe
Amaa kweli wadau wa majogoo mmechafukwa
Sent using Jamii Forums mobile app
You're missedThat was a shocking game of football
You are lovedYou're missed
Ngoja na mimi nijitupie Utube,kiwango changu kionekaneSimply hujanielewa sijasema gakpo sio mzuri my idea was simple Kila mchezaji YouTube ni mzuri and I was simply talking in a funny way
Gakpo nmemfahamu kitambo na nlkua naona anafanya makubwa kwenye his last team
Pia ma fans mara nyingi mchezaji akitangazwa huwa wanaenda kumwangalia YouTube na YouTube hakuna mchezaji mbaya and that was simply my meaning
Kweli aisee,Hatujachafukwa lakini hawa FSG ni miyeyusho sanaaaa angalia hiyo report ya Deloitte utaona ni kiasi gani cha mapato tulichoingiza na mishahara huwa inalipwa kutokana na bonuses ya ushiriki kwenye michuano mbalimbali. Sasa tutashiriki vipi kwa kikosi chenye wazee kibao na wachezaji wengine ni wa Wodini sio kwenye pitch????.
Hawa FSG ni kichefuchefu sana. Angalia Arsenal, Newcastle, Man U mambo yalivyo. DeepPond
Le captain mtoto wa BabaReal Madrid are strong admirers wa Fabinho though at 29 am not sure they are still interested... Umesema powa though i don't advocate for full blown clear out ya wachezaji ingekua powa we do away with dead woods kuanzia Matip, Gomez, Milner, Henderson, Jones, Chamberlain, Kieta, Henderson na Phillips hao kwa kweli they need to go tuanze kuwa na bench lenye kiu ya makombe... Robertson abakie kwa kua Tsimikas hana speed ya EPL especially vs quick team with quick transition he goes awol...
VVD abakie kuwaongoza new signings klabuni lakini ikifika 2024 nae asepe zake that how Klopp should shape his squad.
Klopp hana kifua mbele ya Henderson hata lile swali kama yupo too loyal kwa baadhi ya wachezaji walimaanisha Henderson, Thiago, Fabinho kwa kua wamekua butu lakini wamo tu 1st 11. At least sasa amejua we are watching him properly kuwang'ang'ania wale jamaa. Japo alisema changes will come i guess ileni plain promise huo uwezo hana kwa sasa. Ngoja amalize nafasi ya 6 atajua nini kimetu cost maana maswali yatakuwepo, ma pundits will write what happened for the whole season n we all know kwanza itakua Midfield ndio kikwazo.
YNWA
