Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pamoja na kumpa Lawama Klopp, changamoto kubwa zaidi Henderson kuanza kila mechi na hakuna anachofanya uwanjani ....na hapo bado Fabinho amekuwa mdebwedo kuliko maelezo......

Huku nyuma sasa, ndo hakuna wanalofanya zaidi ya kukata viuno uwanjani.....

Kama shabiki nnaeipenda Liver, kiukweli naumia sana.....

Naamini hichi ni kipindi cha mpito, tutarejea to tena...

Once a Red, Always A Red
 
Nyinyi Liverkinda, mishale ya saa 1930 msikose kuangalia kandanda safi kutoka kwa vijana wa town.

IMG_20230111_001129.jpg
 
Huoni kama huo mkono Kuna mguu ,wameedit
Ila Pain killer huyu Rodri pale alicheza faulo lakini refa na var wakaona powa tu lakini jana Kipara anataka kulia ilikua aje goli la Fernadz kuruhusiwa huku Rashfod akiawa offside... Kipara aelewe sometimes yes sometimes no aache maneno.

😂😂😂😂Atulie.

YNWA
 
Brighton wanachezaji mpira kwa malengo, kila pasi iwe imepigwa nyuma au mbele ujue ina maana yake, ukienda hoyehaye unaumia, ni kama draft unapocheza na bingwa, kila kete unaona ya moto, muda wote upo underpressure, unapigwa force, unapigwa dynamic play hadi unachoka
 
Liverpool fans are now calling for a protest against their owners

#FSGOUTNOWView attachment 2482073

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Klopp kawauza wamiliki kasema £45m ndio ilikua bajeti pekee dirisha hivyo klabu haina ela ya kuingia sokoni tena yaaani hata Klopp kasema bila ku pepesa maneno pesa haipo 😂😂😂😂Yaaaaani tuna wamiliki wa ajabu sana. Yaaani pesa yote ya bajeti imekwenda kwa Cody sasa cha kujiuliza huyu Cody mbona hatumhitaji dirisha hili na wamemnunua wa nini kama pesa ilikua ni hio tu. Bure kabisa maamuzi ya ajabu kwa kua ela haipo hii ingewekezwa MF na sio pale mbele.

Hali iko wazi kwa sasa hatuna majeruhi MF wote ni wazima kabisa lakini mkuu umeona jana Klopp katoa kituko mfumo ulifeli 4 3 1 2 yaaani Thiago acheze 10 ilikua worst gamble jana..

Kwa kweli waadamane tu labda watatoa angalau pesa anunuliwe mchezaji mmoja box to box.

Suluhisho ni hii timu iuzwe tu hakuna namna... Natazama namna uongozi wa Chelsea wanavyompa sapoti amateur coach Potter sokoni huku wakiwa hata kombe la kahawa hawakashinda lakini haijawazuia kuingia sokoni kujenga kikosi tena ununuzi wa kimkakati wakitazama umri.. Liverpool we so doomed tuna pound for pound manager lakini wamiliki wameshindwa kabisa kumtumia vyema kuzoa makombe mengi kwa proper backing anavyohitaji Klopp.

#FSGOut

YNWA
 
Klopp is just an arrogant person
Wish you heard his Press duties on Friday how he had a go to the press guys just because they asked what next in the transfers..haha Klopp was on 🔥 🔥 🔥...
Surely this man has lost its... Keita has shown some improvement of late then u wonder why choose Thiago Henderson Fabinho vs Seagulls knowing th trio are already unrecognisable why not put Kieta there n see how it's comes...

Klopp is a stressed man. I mean huko mazoezini kwa kweli walikua wanajiaadaa kucheza mfumo ule na kama kweli basi hawa wachezaji hawauelewi yaaani jana Lallana 35yrs alionekana Messi dictating the game tempo without sweating...

Sasa imagine vs Real Madrid a few weeks away tutakua na hali gani.

#FSGout
 
Brighton wanachezaji mpira kwa malengo, kila pasi iwe imepigwa nyuma au mbele ujue ina maana yake, ukienda hoyehaye unaumia, ni kama draft unapocheza na bingwa, kila kete unaona ya moto, muda wote upo underpressure, unapigwa force, unapigwa dynamic play hadi unachoka
Maelezo safi sana.
 
Time for the Yankees to take a walk..wamevuna vya kutosha wapishe waje waarabu nao wavune.
We are tired of this mess.

Klopp is damn too loyal...
ETG shown CR7 who is the boss, same to Maguire yaaani if Klopp had same attitude towards players who under performs wakidhani wapo irreplaceable then mpaka sasa huyu mzee wetu angekua na Epl trophies za kutosha lakini kuedelea kuwakukubatia baadhi ya hawa wachezaji wakongwe ndio anguko lake..

YNWA
 
Hivi huyu Elliott kama MF huko mazoezini anaweza sana lakini akija real game hana madhara...

Ben ana kipaji lakini bado sana mikiki ya EPL tena aingie wakati tumeshapigika ugenini mh pale Klopp alichemka na pia dogo anakua lively kama akicheza upande wa kulia nyuma ya Salah jana Klopp kumatupia upande wa kushoto na dogo alionekana kabisa haelewi majukumu yake.

Klabu kubwa kama Liverpool kua ba benchi dhaifu vile ni aibu kubwa regardless ya majeruhi yaliyopo.

YNWA
 
Time for the Yankees to take a walk..wamevuna vya kutosha wapishe waje waarabu nao wavune.
We are tired of this mess.

Klopp is damn too loyal...
ETG shown CR7 who is the boss, same to Maguire yaaani if Klopp had same attitude towards players who under performs wakidhani wapo irreplaceable then mpaka sasa huyu mzee wetu angekua na Epl trophies za kutosha lakini kuedelea kuwakukubatia baadhi ya hawa wachezaji wakongwe ndio anguko lake..

YNWA
Naye aondoke tu,tumemchoka
 
They are too busy milking the club too much we have had enough of their nonsense

We cant afford that grief they cause we have have had enough those thirty years when we were cursed to not have our hands on even a single EPL championship
 
Wish you heard his Press duties on Friday how he had a go to the press guys just because they asked what next in the transfers..haha Klopp was on 🔥 🔥 🔥...
Surely this man has lost its... Keita has shown some improvement of late then u wonder why choose Thiago Henderson Fabinho vs Seagulls knowing th trio are already unrecognisable why not put Kieta there n see how it's comes...

Klopp is a stressed man. I mean huko mazoezini kwa kweli walikua wanajiaadaa kucheza mfumo ule na kama kweli basi hawa wachezaji hawauelewi yaaani jana Lallana 35yrs alionekana Messi dictating the game tempo without sweating...

Sasa imagine vs Real Madrid a few weeks away tutakua na hali gani.

YNWA
Huyu babu naye mvuta bangi tu.
Kukubaliana na wamiliki kwamba pesa hazipo ndio bangi zenyewe.
Waondoke wote,wakatafute sehemu nyingine watakayoendeleza kufanya upumbavu wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom