Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,844
- 16,298
Mi ninacho mkubali Klopp hua hana hasira wala chuki na wachezaji wa timu pinzani hata akifungwa, leo kiroho safi kabisa baada ya mpira kuisha kaenda kuwakumbatia wachezaji wa Brighton akiwapongeza huku akiachia lile tabasamu lake mwanana kabisaaaaaa.View attachment 2481312
This man he promised this seao2 will be our happy season yaaani na tu book na mahoteli kwenda finals.. Haha bado tu book jamani ama in playstation mode.
YNWA
Hakika Jürgen Klopp ni mtu na nusu kwa kweli.
Mitano tena kwa Klopp ake.






