Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Man City fans wants to win trophies.

Scousers huwa wanatoa standing ovations kwa kina Henderson.

Ndiyo maana hata FSG wame-relax.

Thats the difference between us and Man City.
Ebwana au tuwakodishe wale mashabiki wa Ethad Army yaani at half time walikua full kununa yaaani hawaelewi inakua aje gemu ya pili wanachezea kichapo aafu ile sasa ni Ethad na Conte hanaga utani pale Hahaha... Wish ile half time talk was recoded yaaani Pep was roaring maana uzuri wa Pep hanaga brake yeye hua anakuja mazimaaa anawaponda wala hanaga kesho ni pale pale...

In the meantime ma Scouser tunajaza ma bendera ya mafanikio ya zamaniiii utadhani ndio sasa... Hii klabu inahitaji sana mabadiliko... Kuanzia mentality ya wachezaji, mwalimu, makocha na mashabiki maana we are damn so relaxed quoting past n past...

FSG wao hawana hasara tushinde makombe au la kwa sababu hata mishahara ya wachezaji Liverpool inalipwa through incentives or bonus za mafanikio hivyo bila Carabao, UCL FA hata wage bill itapumua kwa kua wao wame cap wages na success ya klabu yaaani hawa Yankees ni matatizo.

YNWA
 
"New" fans, wangeshuhudia ile pre season ya Fernando alivyo-join LFC, angekejeliwa sana kwenye hii platform.
El Nino na El Nino kweli i remember the Yankees took a loan to buy the boy then they couldn't pay back the loan and its full crisis... yaaani hatunaga bahati ya wamiliki kama Chelsea 😂😂😂

YNWA
 
He went to Aston Villa mapema sana, the job was too big for him.

angebaki Rangers tu, kwenye kufundisha team ya taifa at that a age, ni setback kubwa sana.
Ila Steve bhana how earth did he believe in Chambers na Coutinho watakua salama...

Rangers was the right league for him to learn more about strategies and he knocked down Celtic to win the SPL that was a proper start..

To head to Poland means less competitive games hapa anakua desperate.. Not th right move for his age. Hata Jose aliwagomea Ureno sababu kule hakuna mishe za wekedi ni mpaka International break nk.

YNWA
 
Machungu unayatolea kwa mchezaji ambaye hana hata games zaidi ya 4?

So shida zote za LFC msimu huu, unakuja kuzitolea kwa Gakpo?

and kama ni fan mkongwe na umepitia nyakati ngumu za LFC before, unakuwaje. triggered kirahisi hivyo na bad patch ya sasa?

Team ina Klopp kama head coach, World Class Keeper, World Class CBs, World Class CM & a DM, World Class Fullbacks, World Class attackers etc, utafananisha na kipindi gani kingine kibovu? tunajua fika kuwa uzembe ulifanyika summer wa ku-tosign MFs na tunalipa kwa huo uzembe kwasasa, ilishatokea na huwezi kurekebisha, move on, fight na ulichonacho.

hizi huwezi kuziita nyakati ngumu hata kidogo, we won 2 trophies last season, tulibakiza two games, ku-complete a quad, hii ni sleep-up, na it was coming from miles away, kutokana na aina ya owners tulionayo, hata Man City performances zao zimeshuka sana msimu huu, but advantage waliyonayo ni ukubwa wa kikosi, sisi tunaumia zaidi kwasababu hatuna depth na injuries kwa Diaz & Jota.

But, sleep-up was bound to happen, na haikupi sababu ya ku-toa hasira zako kwa Gakpo.
Hasira zangu hazipo kwa gakpo you took me bad
 
Hizi ni nyakati ngumu kwa team tukubaliane kutokukubaliana

Usituite new fans sasa pia sababu miaka hio hatukuwepo jf Usituite new fans sasa

You can give your ideas and opinions without despising others
 
Henderson ni artist wa ku-get away with murder, ni mchezaji ambaye hapendi kuwa dropped kabisa, proper reds huwa wanasema ni winner kwasababu ya kutopenda kuwa dropped, but wachezaji wengine wakilalamika kuwa dropped, wanakuwa abused.

hata ile game ya Newcastle, tuliyo-draw 1-1, Henderson got subbed off, akawa anatoka kama mfalme, when we were chasing a second goal, but Klopp yupo so blind na jamaa, na one of his favs, wachezaji wengine wakifanya kama vile, wanakuwa dropped haraka sana.

Personally, ukimtoa Keita, Klopp hakuwahi kuwa-treat vizuri kina Shaqiri, Takumi, Ben Davis, Sturridge, Grujic even Origi.

The way alivyomuondoa Sakho at LFC bado mpaka sasa inanipa ukakasi mkubwa sana.

Klopp favs at LFC ni Henderson, Milner, Alisson, VVD, Matip, Robertson & Firmino, and honestly i fear for VVD, Matip & Robertson because wanaweza kuwa our new Hendo & Milner, Matip sidhani kama anastahili new deal now, and i can see Klopp akimpa deal mpya VVD ambaye uwezo wake umepungua kutokana na ile injury, kwasasa kulitakiwa kuwe na plans za kuanza kuwa-phase out VVD & Matip kabla haijawa too late.

Then i'd cash on Robertson now wakati bado you on demand, i like Andy, but game yake ni kama ya Henderson, anategemea zaidi physical side of his game, sasa hiyo stance ikiisha, ndiyo inakuwa kama Henderson, anakuwa mzigo kwenye flanks, na sababu kubwa ya kuisha ni kwasababu anakuwa over-played, tuna kostas, but huwa anapata nafasi mpaka robertson aumie, ambapo siyo sawa.

Think, i'd move on Fabinho too, kama hatataka ku-take role ya kuwa second fiddle kwa young core inayokuja.
Real Madrid are strong admirers wa Fabinho though at 29 am not sure they are still interested... Umesema powa though i don't advocate for full blown clear out ya wachezaji ingekua powa we do away with dead woods kuanzia Matip, Gomez, Milner, Henderson, Jones, Chamberlain, Kieta, Henderson na Phillips hao kwa kweli they need to go tuanze kuwa na bench lenye kiu ya makombe... Robertson abakie kwa kua Tsimikas hana speed ya EPL especially vs quick team with quick transition he goes awol...

VVD abakie kuwaongoza new signings klabuni lakini ikifika 2024 nae asepe zake that how Klopp should shape his squad.

Klopp hana kifua mbele ya Henderson hata lile swali kama yupo too loyal kwa baadhi ya wachezaji walimaanisha Henderson, Thiago, Fabinho kwa kua wamekua butu lakini wamo tu 1st 11. At least sasa amejua we are watching him properly kuwang'ang'ania wale jamaa. Japo alisema changes will come i guess ileni plain promise huo uwezo hana kwa sasa. Ngoja amalize nafasi ya 6 atajua nini kimetu cost maana maswali yatakuwepo, ma pundits will write what happened for the whole season n we all know kwanza itakua Midfield ndio kikwazo.

YNWA
 
Machungu unayatolea kwa mchezaji ambaye hana hata games zaidi ya 4?

So shida zote za LFC msimu huu, unakuja kuzitolea kwa Gakpo?

and kama ni fan mkongwe na umepitia nyakati ngumu za LFC before, unakuwaje. triggered kirahisi hivyo na bad patch ya sasa?

Team ina Klopp kama head coach, World Class Keeper, World Class CBs, World Class CM & a DM, World Class Fullbacks, World Class attackers etc, utafananisha na kipindi gani kingine kibovu? tunajua fika kuwa uzembe ulifanyika summer wa ku-tosign MFs na tunalipa kwa huo uzembe kwasasa, ilishatokea na huwezi kurekebisha, move on, fight na ulichonacho.

hizi huwezi kuziita nyakati ngumu hata kidogo, we won 2 trophies last season, tulibakiza two games, ku-complete a quad, hii ni sleep-up, na it was coming from miles away, kutokana na aina ya owners tulionayo, hata Man City performances zao zimeshuka sana msimu huu, but advantage waliyonayo ni ukubwa wa kikosi, sisi tunaumia zaidi kwasababu hatuna depth na injuries kwa Diaz & Jota.

But, sleep-up was bound to happen, na haikupi sababu ya ku-toa hasira zako kwa Gakpo.
Simply hujanielewa sijasema gakpo sio mzuri my idea was simple Kila mchezaji YouTube ni mzuri and I was simply talking in a funny way

Gakpo nmemfahamu kitambo na nlkua naona anafanya makubwa kwenye his last team
Pia ma fans mara nyingi mchezaji akitangazwa huwa wanaenda kumwangalia YouTube na YouTube hakuna mchezaji mbaya and that was simply my meaning
 
Mechi za mtego za Arsenal

Vs Liverpool , Anfield

Vs Man City, home $away

Vs Newcastle

12 pts hizo, wakichomoka hapo basi ni mabingwa
Anfild najiokotea alama zangu tatu kama namsukuma mlevi tu

NB: picha haihusiani na maelezo hapo juu
20230120_204218.jpg
 
Nunez Ile ni mashine itakaa Sawa, Ila gakpo ni garasa kabisa pale tumepigwa, madhara ya clip za YouTube yatadhiirika tu muda c mrefu.
I believe in gakpo as how i believe in nunez kwamba ata copy with how i still believe with fabinho kurudi form na wengine wengi

I still believe our Liverpool team will be back stronger than ever
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom