Tuna wamiliki wa ajabu sana. Wao wanawapanga kubakisha ela klabuni ama mfukoni mwao na si vinginevyo... Ukisoma hio ripoti ya Deloitte utaona kushiriki mpaka fainali Champions League kumechangia parefu sana kuonezeka kwa mapato na pia viingilio vimechangia parefu, sasa unajiuliza swali rahisi bila usajili unadhani kuna uhai kutoboa mpaka fainali Champions League tena Maana kwa hali tulionayo hatuwezi kupita kwa Real Madrid kwa kutegemea Henderson, Keita, Ox, Fabinho. Ripoti ya Deloitte ilitakiwa iwe kielelezo tosha kwamba mechi nyingi za Uefa zina generate mpunga wa maana kwa media pay, na viingilio na kuleta faida kwa klabu.BREAKING: Deloitte have released its annual report. Liverpool generated over €700M, the third highest in world football, in 2022 and have overtaken Manchester United for the first time.
Na kusajili hawataki
#FSG_OUT [emoji35]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bonge la bekiNasikia tunataka kumsajili lukaku aisee
Give the boy time Dokta atakaa sawa... New league new team mate new formation, new expectations nk lakini pia ka join kipindi ambacho we are broken as a team, hana service ya kutosha ili a blossom..team attitude is low, low confidence, low penetration...hata Messi aki join sasa he will struggle 😂😂😂we are done...Gakpo Ana poor positioning sijawahi ona
Hana speed hawa wachezaji wa youtebe hawa
Ndio maana hawataki kuuza share zote maana wanajua kuna mpunga wa maanaDeloitte Money League season 2021 2022
View attachment 2487263
Barcelona mpaka namba 7. Kweli EPL ina mvuto wa biashara wa kipekee.
Kwa kushiriki Uefa mpaka final Liverpool imepanda nafasi nne juu.
YNWA
Hivi ni kweli Mzee Belligham kapewa kazi pale Anfield ?Baba yake Belligham yupo Liverpool kuzungumzia kuhusu mwanae kutua LiverpoolFc. Klopp anamtaka bwana mdogo coming summer.
Waarabu wanunue timu nzima share 💯 hakuna cha minor stake. Hawa FSG wanaweza kuwaambukiza kubana ela aisee.Ndio maana hawataki kuuza share zote maana wanajua kuna mpunga wa maana
Elliott as RAM is crap... Poor ball transition, no link of play between Salah, Trent and Elliott...I wish to see Elliot & Bajcetic next match
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe jamaa umenichekesha sanaGakpo Ana poor positioning sijawahi ona
Hana speed hawa wachezaji wa youtebe hawa
[emoji7][emoji91][emoji108]View attachment 2486819
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ngumu kumeza lakini mambo ndio kama yalivyo.
YNWA
[emoji23][emoji174]View attachment 2486823
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ningekuwa Henderson ningejiodokea longtime maana mashambulizi kwake hayapoi.
YNWA
Acheni utaniView attachment 2488004
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndio ukweli huo... 2023 ndio mwaka wa Nunez.
YNWA
I miss Liverpool [emoji4][emoji23][emoji174]