Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 2488000
😂😂😂😂 OllaChuga Oc mnatisha sana mnanunua na kutoa mikataba ya miaka mingi mno yaani hapa hawa wachezaji akitokea amechemka mtahangaika sana kuuza....

YNWA
Sasa ni rasmi ndani ya miezi 6 wamiliki wapya wa Chelsea wametumia £460m kwenye usajili😂😂😂leo tena wamenunua huyu dogo Noni Madueke kutoka PSV...

Liverpool nyie mtaota sana jamani yaaani MF mmoja anawashinda... We are damn cursed sio bure

Usajili mpya ni Arthur Melo Captain 😂😂
 
Give the boy time Dokta atakaa sawa... New league new team mate new formation, new expectations nk lakini pia ka join kipindi ambacho we are broken as a team, hana service ya kutosha ili a blossom..team attitude is low, low confidence, low penetration...hata Messi aki join sasa he will struggle 😂😂😂we are done...

YNWA
Aah mi hii team inanipa mateso naipenda sana
 
Sasa ni rasmi ndani ya miezi 6 wamiliki wapya wa Chelsea wametumia £460m kwenye usajilileo tena wamenunua huyu dogo Noni Madueke kutoka PSV...

Liverpool nyie mtaota sana jamani yaaani MF mmoja anawashinda... We are damn cursed sio bure

YNWA
Kuna mda nahisi Boehly-Clearlake utasema sio wamarekani.

Kinachonipa matumaini ni kuona Jinsi walivyowekeza kwenye LA Dodgers na ndio wanachokifanya huku.
 
Kuna mda nahisi Boehly-Clearlake utasema sio wamarekani.

Kinachonipa matumaini ni kuona Jinsi walivyowekeza kwenye LA Dodgers na ndio wanachokifanya huku.
Duh kama hivyo basi jamaa ni waumini wa tumia pesa upate pesa.. Kwa maana kwamba timu ikiwa na ubora kila nafasi inakua kata mti panda mti anatoka Sterling anaingia Mudryc au Madueke...

FSG kule New World kunako timu yao ya Boston wanazomewa balaa hakuna kombe au uwekezaji wa wachezaji wa maana.. Timu inacheza business as usual...

Hapa Liverpool kabla hatujajenga kibanda nafasi ya 7 wameona wahesabu faida na hasara zao wachukue chao mapema na wasepe zao.

YNWA
 
Aah mi hii team inanipa mateso naipenda sana
Mateso ni makubwa sana kwa kweli maana Ligi bado sana na gemu ngumu bado zipo za kutosha na wazee wetu moyo unataka miguu inakataa.. Wamiliki wanategemea Klopp to pull them out of this man made situation lakini hata Klopp has limits he has worked wonders in th past n miracles operating kwa bajeti finyu ridiculous transfer ideas ambazo sasa zimefika mwisho kwao kwa kua hatuna tena star wa kuuza ili hio pesa iwekezwe kikosini...

Mateso bila chuki. Tumeipenda wenyewe.

YNWA
 
Screenshot_20230120_075533_com.android.chrome_edit_365473188780167.jpg

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom